Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyekuwa mkurugenzi wa usalama wa taifa kipindi cha serikali ya awamu ya tano bwana Diwani Athumani inasemekana amekuwa akiishi chini ya ulinzi mkali sana. Diwani Athumani tangu aondoke...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo. Siku hizi ukweli hautokani tena na...
4 Reactions
47 Replies
606 Views
Kutokana na kuzorota kwa hali ya usalama Nchini Tanzania, ni dhahiri sasa upo umuhimu wa kila mwananchi kujilinda "KWA NJIA YOYOTE" Katiba ya Tanzania imesisitiza hilo na ndio maana ndani yake...
8 Reactions
25 Replies
545 Views
The swearing-in of newly appointed Justices of Appeal on 26th May 2026 was far more than a constitutional ceremony marking the apex of a judicial career. It was a sacred moment a public covenant...
1 Reactions
5 Replies
246 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan amefika Ikulu ya Kremlin nchini Urusi kukutana na Rais wa Shirikisho la Urusi Mh Vladmir Putin na kufanya mazungumzo maalumu ya...
8 Reactions
104 Replies
2K Views
Baada ya kuwaua kwa risasi sasa mnarudi kwao kama mbwamwitu huku mmejifunika ngozi ya kondoo. Mchana unasema Tanzania ni moja na ndugu tusibaguane usiku mnawateka na kuwakata vichwa. Elewa hao...
3 Reactions
4 Replies
176 Views
Mahakama ya Wilaya ya Arumeru imewaachia huru watetezi wa haki za binadamu Jackson Martine Kabalo na Joseph Chaviruka Mrindoko, maarufu kama “Wachokonozi”, baada ya upande wa mashtaka kushindwa...
4 Reactions
16 Replies
369 Views
  • Redirect
Watawala sikiliza ujumbe huu toka huko X: Damu haifutwi kwa propaganda Damu haifutwi kwa kuteka zaidi Damu haifutwi kwa kuua zaid Damu haifutwi kwa kwenda Urusi Damu haifutwi kwa kufunga watu...
3 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Kama mnakumbuka mama samia alikuwa ziarani hapo urusi baada ya muda kidogo wakatoa taarifa kwamba air tanzani itaanza safari za moja kwa moja hadi urusi Kumbe kilichojificha ni kwamba air tanzania...
0 Reactions
– Replies
– Views
Ni swali tu, Mwenye majibu atusaidie
4 Reactions
21 Replies
644 Views
Yule mbunge kutoka Zanzibar akiiona hii picha anasemaje moyoni kwake?
1 Reactions
15 Replies
448 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa lugha ya kiswahili imekuwa sana kwani hata alipokuwa nchini Urusi waandishi wa habari wa nchi hiyo walikuwa...
3 Reactions
17 Replies
558 Views
Kwanza jiulize wewe binafsi unaushawishi gani kwenye taifa letu kisiasa? Chama chako kina ushawishi gani? Mwenyekiti wa chama chako? Leo hii usimame jukwaani wewe kapuku wa wa baraza la wazazi...
7 Reactions
7 Replies
202 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amewatolea uvivu viongozi wakuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
5 Reactions
31 Replies
585 Views
https://youtube.com/shorts/iz-L9D8Tvug?si=Hj5zabg1oScnBzUu
1 Reactions
4 Replies
145 Views
Hawa ndio wabunge ambao hupata nafasi kwa namna ile ambayo siku zote tunaipigia kelele. Ukimsikiliza tu anaongea unajua kichwani hamna kitu isipokuwa ndio basi tena. Aina hii ya wabunge ni wengi...
4 Reactions
17 Replies
501 Views
  • Redirect
https://www.instagram.com/p/DZQOZf3sr-r/?igsh=Ynk3NjZ0NnJja3A0
0 Reactions
– Replies
– Views
.Binafsi nafarijika kuona nyuzi za ukosoaji wa serikali yetu kwani mitandao ndo kisemeo chetu wanyonge. .nami niengeze sauti yangu kwa wakosoaji kama ifuatavyo 1. Wengi wanaonyesha kukerwa na...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…