Vita vya wazalendo

Paul Makonda

Member
Jul 8, 2011
97
186
UZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza.

Kwenye Vita vya Uzalendo, Hata Marafiki Huwa maadui. Na wapo Marafiki ambao huanza kuhofia Hatma ya Wazalendo.

Nia Thabiti na Moyo Shupavu Pekee Vifuani Mwa Wazalendo Vitainua Taifa.

Hatutaacha Kupambana na WAFITINI wa TAIFA na MAFISADI eti sababu hatujui Hatma Yetu, Tunatengeneza Hatma ya Taifa halafu Hatma Yetu Itajitengeneza Yenyewe.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Hakuna ulichoongea we dogo. Jana mzalendo Warioba kapewa nishani na mwenyekiti wako. Jiulize...
 
Mtoto mdogo unajifunza propaganda za miaka ya 47.. Think big, kijana mdogo namna hiyo badala ya kupambanua mambo unatumika sababu ya tumbo. Shame on you...
 
Unachekesha kweli kweli Makonda.

Juzi Vijana wa BAVICHA walikukamata vyema. Wamekufukua kweli kweli.

Uzalendo gani unaopigania wewe ukishirikiana na watu wa Richmond uliokuwa kila siku ukitumwa kwenda kuwatukana. Unakumbuka maneno uliyokuwa ukiniambia in confidence kuhusu CCM, Serikali ya Kikwete, uliokuwa unatumwa kuwatukana na waliokuwa wanakutuma?

Unakumbuka maneno uliyokuwa unaniambia in confidence baada ya vipindi vya Tv pale Mlimani kuhusu CCM, Serikali ya Rais Kikwete, wanaokutumia na wale unaotumwa kuwatukana? Najua unakumbuka?

Uzalendo gani huo mnaojenga na hao viongozi wako wanaomaliza twiga wetu bungani au mnafikiri Operesheni Tokomeza ilivyoibua wakubwa zaidi walioko kwenye chama chenu na serikali, mkaamua kuivuruga makusudi ili kuharibu move ya kuwakamata vigogo?

Uzalendo gani mnaojenga na viongozi wanaomtukana Mwalimu Nyerere kila siku mchana na usiku.
 
Title tu nikajua tumevamiwa na vitoto vya facebook.
Makonda ni msaka tonge, --------- kama kon.dom na mwishowe utatupwa jalalani na hutajua uende wapi kwa sababu hukuutambua wakati.
 
UZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza.

Kwenye Vita vya Uzalendo, Hata Marafiki Huwa maadui. Na wapo Marafiki ambao huanza kuhofia Hatma ya Wazalendo.

Nia Thabiti na Moyo Shupavu Pekee Vifuani Mwa Wazalendo Vitainua Taifa.

Hatutaacha Kupambana na WAFITINI wa TAIFA na MAFISADI eti sababu hatujui Hatma Yetu, Tunatengeneza Hatma ya Taifa halafu Hatma Yetu Itajitengeneza Yenyewe.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Are you sure wewe ni MZALENDO?Wa nchi gani CCM au?Hebu piti hoja ya kijana mwenzio Mchumbuzi halafu uje useme uzalendo wako ni wa nchi gani.

Mdogo wangu fikiria NJE ya boksi hao unaowasupport wamebakiza miaka michache tu kujiondokea lakini una miaka mingine 30 ya kuishi kama kiongozi amka asubuhi imefika.

Simamia unachoamini siyo unachoambiwa ukiamini.
 
wadau naombeni niwe wa mwisho kwenye huu uzi,nimefunguwa kusoma nikifikr kuna cha maana lkn ni upuuzi tu!!
 
kweli ccm ni majinga sna sijapata kuona muone na huyu mwehuuuuuuuuuuuuu, sijui katumwa na bibi yakee
 
UZALENDO ni Pamoja na Kuwa na Msimamo kwa Yale Unayoyaamini Ni Mazuri kwa Taifa bila Kujali kwamba nani anakupuuza na kwa nini Anakupuuza.

Kwenye Vita vya Uzalendo, Hata Marafiki Huwa maadui. Na wapo Marafiki ambao huanza kuhofia Hatma ya Wazalendo.

Nia Thabiti na Moyo Shupavu Pekee Vifuani Mwa Wazalendo Vitainua Taifa.

Hatutaacha Kupambana na WAFITINI wa TAIFA na MAFISADI eti sababu hatujui Hatma Yetu, Tunatengeneza Hatma ya Taifa halafu Hatma Yetu Itajitengeneza Yenyewe.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Hii nayo ni thread?
 
Kukaa kimya ni bora zaidi kuliko kuzungumza linalokinzana na nafsi yako mwenyewe
 
Unachekesha kweli kweli Makonda.

Juzi Vijana wa BAVICHA walikukamata vyema. Wamekufukua kweli kweli.

Uzalendo gani unaopigania wewe ukishirikiana na watu wa Richmond uliokuwa kila siku ukitumwa kwenda kuwatukana. Unakumbuka maneno uliyokuwa ukiniambia in confidence kuhusu CCM, Serikali ya Kikwete, uliokuwa unatumwa kuwatukana na waliokuwa wanakutuma?

Unakumbuka maneno uliyokuwa unaniambia in confidence baada ya vipindi vya Tv pale Mlimani kuhusu CCM, Serikali ya Rais Kikwete, wanaokutumia na wale unaotumwa kuwatukana? Najua unakumbuka?

Uzalendo gani huo mnaojenga na hao viongozi wako wanaomaliza twiga wetu bungani au mnafikiri Operesheni Tokomeza ilivyoibua wakubwa zaidi walioko kwenye chama chenu na serikali, mkaamua kuivuruga makusudi ili kuharibu move ya kuwakamata vigogo?

Uzalendo gani mnaojenga na viongozi wanaomtukana Mwalimu Nyerere kila siku mchana na usiku.

uwongo na unafiki ni mbaya sana.boro umemwambia huyu mnafiki.kijana mwenye mawazo mfu.hana hata aibu anajikombakomba tu kwa sababu ya njaa!
 
Back
Top Bottom