Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan ukilinganisha na hotuba za watangulizi wake ni fupi fupi sana hadi zinaboa. Vipi ndo itifaki zimebadilika ama Kuna tatizo mahali? Naomba kuwasilisha.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mhe. Waziri Mkuu ametambua uwepo wa viongozi mbalimbali uwanja wa Uhuru huku akisoma list, lakini katika list hiyo Mme wa Mhe. Rais ajatajwa kama tulivyozoea wake wa viongozi wakitajwa katika...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais Magufuli afuta safari za viongozi wa serikali kwenda kupokea Mwenge Rais Magufuli afuta safari za viongozi wa serikali kwenda kupokea Mwenge - MUUNGWANA BLOG ais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Interchange ya ajabu sana hii. 1. Kutoka kimara kwenda buguruni kuna wakati foleni inavuka ubungo maji 2.pamoja na ukubwa lakini hakuna sehemu za kupita wapita kwa miguu. 3. Kuna nafasi kubwa...
12 Reactions
82 Replies
7K Views
Chachu na kasi kubwa ya maendeleo huendana na mfumo thabiti wa kuitawala katika serikali. Mfumo bora wa kiutawala huleta msisimko kwa watendaji, watumishi na wananchi kujitoa kwa dhati kuleta...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana, Mama Samia anahitaji uungwaji mkono katika kuijenga nchi hii. Mama ni muungwana na anayo nia ya dhati ya kuiendesha nchi kwa mujibu wa katiba. Pamoja na yote anayosema na nia...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Mimi nina elimu ya juu ya biashara nimekuwa nikimfuatilia Mh Kishimba hasa juzi alipokuwa CBE ana mawazo makubwa yanayowazidi wasomi wengi. Mama anaweza kumpa uwaziri ila asiwe na wizara Maalum...
2 Reactions
4 Replies
569 Views
MHESHIMIWA UMMY MWALIMU: UNAJUA KUWA WITNESS MAKOTI ALIYEPIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO SASA AMESIMAMISHWA KAZI KULE MOROGORO? Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu! Amani iwe kwako! Miezi...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu nimekuwa anafuatilia matangazo ya maadhimisho ya sherehe za miaka 60 ya Uhuru kupitia TBC. Kinachonishangaza ni watangazaji wa TBC wanatangaza kuwa tunaadhimisha miaka 60 ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ANAYEGAWA MALI ZA MAREHEMU NI MSIMAMIZI WA MIRATHI NA SI MAHAKAMA. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Unapokwenda kufungua shauri la mirathi mahakamani haimaanishi kuwa unakwenda kuiomba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema miradi ya kifisadi ya madini ya mgodi wa Buzwagi na Nzega ina saini ya Jakaya Kikwete kipindi hicho akiwa waziri wa Nishati na madini, kwa hiyo...
9 Reactions
73 Replies
48K Views
Tanzania inaadhimisha miaka 60 ya uhuru tangu kuondoka kwa wakoloni wa Kiingereza nchini mnamo 1961. Tanzania imepiga hatua katika Mambo mbalimbali bàada ya Uhuru huo kisiasa, kijamii na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
UFAFANUZI. Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na...
13 Reactions
39 Replies
5K Views
Huu ni ujumbe wa maadhimisho ya kumbu kumbu ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika ninaoupeleka kwa watu wote na hasa Vijana wa Tanzania . Unapokuwa kwenye nchi kama Tanzania , ambayo SIASA NI UADUI...
15 Reactions
53 Replies
3K Views
Msanii wa miondoko ya reggae Ras Mtimanyongo amesema leo tunasherehekea kumbukumbu ya siku ya Uhuru wa Tanganyika uliopatika kwa njia ya mazungumzo yaliyoongozwa na baba wa taifa aliyelipiwa nauli...
1 Reactions
2 Replies
841 Views
Kamisheni ya vyuo vikuu nchini(TCU), inapaswa kutoa tamko juu ya uhalali wa shahada ya heshima aliopewa Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma na si kukaa kimya kama hawahusiki ili hali jambo...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Abuu Kauthar Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika, awamu sita za uongozi kuanzia mwaka Desemba 9, 1961 hadi leo Desemba 9, 2021. Kila awamu ilikuwa na mambo yake kutokana na mazingira ya wakati huo...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wenye ICDs inasemekana wameshaanzisha ushirika na wakubwa huko TPA ili makontena yawe yanaelekezwa kwao kama zamani kabla ya Utawala wa JPM kuzuia makasha mengi kuelekezwa ICDs hadi pale tu...
10 Reactions
60 Replies
7K Views
Adamoo na wenzake ni makomandoo waliohitimu. Kwa taarifa zilizopo mafunzo ya ukomandoo siyo mchezo. Ilikuwaje wakanyong'onyezwa na mateso ya polisi yakiwemo kunyimwa chakula, kufungwa kitambaa...
6 Reactions
86 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…