Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ibrahim Lipumba ataka Serikali ya Mpito kusimamia Maridhiano na Katiba Mpya. Aikataa tume ya Chande. Lipumba amesema Tume ya Chande ilienda kufanya kazi ambayo majibu yashatoka. Amesema Mama...
18 Reactions
32 Replies
727 Views
MPIGIE KURA MWANAMKE KINARA SEKTA YA ELIMU 2026 - CHRISTINA CHACHA Mwisho wa kupiga Kura ni tarehe 20.04.2026 11.59 usiku. Andika jina kwenye comment katika akaunti ya Instagram ya Mwanamke...
1 Reactions
8 Replies
190 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Lucy Kombani, amehoji ucheleweshaji wa fedha za kujikimu kwa watumishi wapya, Aprili 17, 2026 Bungeni, kwa Wiara ya Ridhiwani Kikwete ya Wizara wa Nchi...
0 Reactions
2 Replies
270 Views
Ndugu zangu Watanzania, Bila Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kuwa Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na...
2 Reactions
41 Replies
630 Views
Hahahaha! Hii ndio yenewe mayi! Wanaachia usuzi wanusa wenyewe. Heheee! Na bado. Mwajua jinsi Lisu ako. Hawezi muinamia mapembelosi. Waache wacheze Ngoma yao menyewe. Ukombozi uko pale. Na...
2 Reactions
7 Replies
397 Views
“Hakuna Chama kinachopendwa Nchi hii kama Chadema, na ndicho chama cha kweli cha upinzani hapa Tanzania, kuthibitisha hilo Juzi mmeona furaha ya watanzania Chadema walipofunguliwa kufanya Siasa”...
14 Reactions
14 Replies
429 Views
  • Redirect
Mbunge wa Tunduru Kaskazini kupitia ACT Wazalendo, Ado Shaibu ametaka uwajibikaji na kufanyika kwa uchunguzi huru dhidi ya vitendo vya watu kupotea na kutekwa. Ado ametoa hoja hizo wakati...
0 Reactions
Replies
Views
GHATI CHOMETE AHOJI MKAKATI WA SERIKALI KUKAMILISHA MRADI WA MAJI WA MIJI 28 RORYA–TARIME Dodoma, Aprili 17, 2026 — Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete, akiwa katika...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Naona tofauti na mwanzo. Kutwa anapost mara 3 na zote ni pumba kihoja. Tofauti na enzi za mwanzo. Akitoa hoja ukumbi unawaka kwa hoja. Tumuokoeni anaweza kuchanganyikiwa. Trump kamchanga. Hivi...
3 Reactions
10 Replies
278 Views
Mbunge wa Arusha mjini mh Mrisho Gambo amesema ikiwa mwana wa Mungu Yesu Kristo alipitia mateso yeye Gambo ni nani hadi asiteseke? Gambo amesema ibadani kwamba anapitia mateso lakini Yesu Kristo...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Bila kumung'unya maneno niingie moja kwa moja kwenye hoja yangu . Bila shaka yaliyosemwa na Majaji wa Mahakama ya Rufaa kila mtu ameyasikia , ofisi ya DPP imetajwa kutumikishwa na ukweli...
21 Reactions
218 Replies
17K Views
Mbunge wa Viti Maalum Tanga Husna Sekiboko - jana April 17 akichangia hotuba ya Wizara ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
3 Reactions
14 Replies
367 Views
Kauli za kipuuzi kuwa kawasaliti Watanzania.... Anayesema ni mtanzania ambaye anasema tu Free Lissu huku anatafuna mihogo mibichi na karanga akabambie kicheche. Mnataka akae Jela mpaka lini...
4 Reactions
15 Replies
296 Views
Hayati Samwel Sitta alivekuwa Spika Mstaafu. alidokeza kwamba Zanzibar hawana mito na umeme wote Unatoka Tanganyika. MY TAKE; Je, kwa mauaji ya 29 Oktoba 2025, kwanini Zanzibar tusiwakatie...
5 Reactions
45 Replies
786 Views
Kama alidiriki kuwafanyia Chadema hivi, wanyonge kwake watapata haki kweli? Amewaumiza wengi!
2 Reactions
1 Replies
176 Views
Inasikitisha sana. Ona kwamba Pole Pole na Tundu Lissu, hadi leo, wanashikiliwa na Polisi kwa sababu ya kutupigania Watanzania na Tanzania kama nchi. Sasa kweli Watanzania tumeridhika na hali ya...
6 Reactions
29 Replies
457 Views
SIRI YA MAFANIKIO YA KIFEDHA. 🎯Uhusiano kati ya Kipato na Uwekezaji "Income starts wealth. Investing completes it." Kipato kama mshahara au faida ya biashara ni mbegu tu,huwezi kuwa na shamba bila...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Dunia hailali. Kila siku watu wanaumiza vichwa vyao wafanyaje kukamata fursa ili kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi. Kenya anapambana akamate soko la mizigo la Uganda, Sudani Kusini , Ethiopia na...
4 Reactions
64 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…