Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,745
- 239,396
Bila kumung'unya maneno niingie moja kwa moja kwenye hoja yangu .
Bila shaka yaliyosemwa na Majaji wa Mahakama ya Rufaa kila mtu ameyasikia , ofisi ya DPP imetajwa kutumikishwa na ukweli umedhihirika , ni wazi kwamba Mh Lema amekomolewa makusudi , Dhaliliko kuu la nchi hii tangu wakoloni waondoke .
Sasa nataka kufahamishwa faida walizopata waliopanga njama hii ya kishamba , tujulishane waliochoambulia kisiasa , kiuchumi ama hata kingine chochote walichofanikiwa kufaidika nacho .
Mmoja wa waliotajwa kuhusika na njama hizi chafu anaitwa Mrisho Gambo , huyu ni RC wa Arusha ambaye matendo na kauli zake zinamuonyesha waziwazi kuhusika , sasa yeye binafsi au aliyemtuma ama labda chama chake wamepata nini , kimaendeleo , kiuchumi ama kisiasa ? Sitawagusa polisi , maana hii si taasisi huru , hawa wamezoea kutumwa tu , na ndio maana chadema ilishaweka angalizo kwamba ikishatwaaa nchi hii ( kama tunavyotarajia ) italivunjilia mbali jeshi hilo , na kama kutakuwa na umuhimu litaundwa upya