Nionavyo: Ccm inategemea huruma za Chenge, Lowassa na Rostam kujivua gamba

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Kwa hali ilivyo sasa hivi ni Kwamba CCM haiwezi kumfukuza Chenge, Lowasa wala Rostam, kitu kilichokuwa kinapanfwa ni wao kuwaomba hao Jamaa wajitoe. Huu ni Mchezo wa Kuigiza ambao CCM wameshaona itakula kwao maana Pamoja na Kuja na Staili ya Kujivua Gamba naona Sasa wanaitwa Chama Cha Magamba

CCM wanaendelea kunegotiate na RA, EL na AC, wajivue Nyadhifa zao je hii Itasaidia? Asante Dr. Slaa kuliona hili Mapema na Kutibua Mpango Mzima
 
KATIKA KUNDI LA WANA-CCM 10 UTAKAOKUTANA NAO POPOTE KULE 8 NI
MAGAMBA SUGU NA WEZI WA MALI YA UMMA WA TANZANIA

Katika kundi lolote la wana-CCM 10 utakaokutana nao popote pale 8 ni MAGAMBA SUGU KWA UFISADI na wameibia sana Umma wa Tanzania, kuwadhalilisha sana na hivi sasa wanajitahidi kuendeleza ghiliba za hapa na pale kana kwamba tumewafahamu leo.

Hivyo, wakati wote usikiapo mwana-CCM yeyote yule akifungua mdomo kuongea popote pale na juu ya lolote lile, cha msingi jiulize kama utakua unamsikiliza mmojawapo kati ya wale 8 au 2 waliosalia na uadilifu wa Mwalimu Nyerere.

Na usiishie hapo tu, endapo utajikuta unamsikiliza mmojawapo mwana-CCM kutoka katika Gamba Family basi pale pale kamueleze kwamba tangu dakika hiyo wewe kama mwananchi uliyedhalilishwa saaana na vitendo vyao vya kifisadi na kuishi katika lindi la umasikini wa kutupwa, umeamua KUMVUA KIMOJA PAMOJA NA CHAMA CHAKE ili ngozi yako iweze kunawiri tena!!!!
 
Hivi hawa Jamaa bado tu hawajaaamua Kujitoa Kwa Hiyari yao Kukiokoa Chama?
 
Mi navyoona hawa mapacha watatu ndo wamiliki wa bendi(ccm) na huyu bwana mkubwa ni kama amepewa featuring 2 so ni kama mzee Yusufu, cdhan kama anaweza kuamua nan atoke kwenye bendi wakat co yake...2namlaumu bure 2
 
Hivi Bado tu wanaenedelea na Mazungumzo yao?
 
Siku ya 92! Inaonekana kuna Mambo ya Msingi bado hawajakubaliana
 
Kwa hali ilivyo sasa hivi ni Kwamba CCM haiwezi kumfukuza Chenge, Lowasa wala Rostam, kitu kilichokuwa kinapanfwa ni wao kuwaomba hao Jamaa wajitoe. Huu ni Mchezo wa Kuigiza ambao CCM wameshaona itakula kwao maana Pamoja na Kuja na Staili ya Kujivua Gamba naona Sasa wanaitwa Chama Cha Magamba

CCM wanaendelea kunegotiate na RA, EL na AC, wajivue Nyadhifa zao je hii Itasaidia? Asante Dr. Slaa kuliona hili Mapema na Kutibua Mpango Mzima

Uko sahihi sana nimetoka kupost a similar post kwenye ile thread aliyoanzisha counterpunch kwamba RA kujiuzulu leo..kwa maoni yangu wanaweza kumuomba RA akajiuzulu na wakafanikiwa lakini si Lowassa na Chenge hapa watashindwa..Kwa Lowassa ndio hawataweza kabisa..na hawathubutu kwanza..wataishia kumuomba,baadaye watakausha wakiona yuko kimya
 
Asante kaka, niliandika haya Maono Miezi mitatu iliyopita sasa naona kama yanatimia vile. Ha ha ha Akishajivua maana yake anakubali Allegations sasa WAMPELEKE MAHAKAMANI
 
Hapa nasikia wameambiwa watoke kwenye nyadhifa zao. Mioyoni mwao wana siri kubwa na ni kama ule msemo wa WACHA PUNDA AFE MZIGO WA MKUBWA UFIKE. Hii inamaana kama wamekwapua pesa kweli walikuwa hawamiliki Safe Boxes za maofisi yao, na wala Cheque walikuwa hawazishiki wao.Hivi mtandao wao kama kweli umewafanya wanuke kiasi cha kukataliwa mpaka nyumbani kwao yaani CCM je walikuwa wenyewe katika Jahazi?

Na kama ikitokea wakitoka kama Rosti Tamu na hawakusema lolote kama kuwaweka wazi washiriki, Si ni kweli madhambi watakuwa wanafichiana??

Ili dhana yao iwe kweli mpaka na makapi ya magamba yafagiliwe then usafi wa kuzaliwa upya uonekane.

Sasa anasulubiwa mtu kwa ajili ya dhambi za wengine na kuwanufaisha kwa namna fulani.

NINI HATIMA YA HII DHANA NA HATIMA YA CCM???????????
 
mh. ccm ni ina saga na kukoboa,Lowasa nj chenge ndani ya mwezi huu wa 8 wataachia nafasi zao zote na wala hutasikia kulalama wala kupayuka, kauli yao itakuwa ileile "maslahi ya chama" ccm sio cdm mtoto mdogo shibuda amewashinda!
 
Baada ya Rostam kujiuzulu mengi yalisemwa, na kwa shauku kubwa wananchi tukawa tunangoja kwa hamu Lowassa na mzee wa vijisenti nao wajiuzulu.
Muda mrefu sasa umepitaa, Lowassa yuko kimya kabisa, Chenge alisema gamba lake limeanzia kiunoni kushuka chini, kulivua hadi waende na shoka.
Nape nae yuko kimyaaa hadi leo kashindwa kukabidhi barua.
Je ni lini CCM itahakikisha Chenge na Lowassa wanajiuzulu?
 
Bujibuji, haraka ya nini?, rejea bandiko lako usahihishe spelling. BTW, wewe utajiuzuru lini?.
 
Baada ya Rostam kujiuzulu mengi yalisemwa, na kwa shauku kubwa wananchi tukawa tunangoja kwa hamu Lowassa na mzee wa vijisenti nao wajiuzulu.
Muda mrefu sasa umepitaa, Lowassa yuko kimya kabisa, Chenge alisema gamba lake limeanzia kiunoni kushuka chini, kulivua hadi waende na shoka.
Nape nae yuko kimyaaa hadi leo kashindwa kukabidhi barua.
Je ni lini CCM itahakikisha Chenge na Lowassa wanajiuzulu?

Lowasa ni meli wa CCM hakuna wa kumgusa.Na wote waliomsakama kwenye majukwaa atawanyoosha.
 
Na Kumbe hata Kushinda Igunga wanategemea Huruma za Rostam
 
Nasikia chadema ni ccm ya nyerere? ama kweli mmeishiwa...hata kusahau cdm ni ya mtei na watu ukanda uleee..
 
IKumbukeni kama sio lowasa shule za kata zisinge kuwapo,udm nk naomba mfikrie leo angekuwapo lowasa kwenye post mgao usinge kuwepo alikuwa na mipango mizuri ikatibuliwa na mahasimu fikria tena gesi iko lindi lakini tuingie gharama za kuisafirisha kwa mabomba mpaka dsm hivi ikijengwa line kubwa kutoka dsm kwenda lindi iliko gesi na ambapogesi haitakuwa na kikomo kwenye bomba lipi la maana,jifunze sasa ni mwaka mkuu hajamaliza kuunda serikali bado kuna watumishi wanaishi hotelini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom