Ombi alolotoa Zitto Kabwe kwa Rais linadhihirisha Mbowe siyo Gaidi vinginevyo ACT wazalendo inakumbatia Ugaidi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,768
141,632
Kiongozi mkuu wa ACT wazalendo Zitto Kabwe kwa kumuombea " Wepesi" mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kuhusiana na kesi ya ugaidi inayomkabili ni dhahiri Freeman Mbowe siyo Gaidi kwa sababu ACT wazalendo na CCM ndio vimeunda serikali kimantiki.

Vinginevyo itakuwa ACT wazalendo inakumbatia Ugaidi kwa sababu swala la kutaka kuwauwa viongozi wa serikali siyo dogo ukizingatia ACT ina makamu wa Rais na mawaziri wawili serikalini Zanzibar.

Ombi la Zitto Kabwe kwa Amiri jeshi mkuu linafikirisha sana!
 
Imedhihirisha kesi mchongo zinavyokuwa
 
Back
Top Bottom