Tulishiriki kutunga Sheria za TCRA, Humprey Polepole kwanini Unalia kuitwa na TCRA?

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Humprey Polepole na Mimi wote tulikuwa wapiga tarumbeta, Vinanda na vinubi wakati wa JPM

Utofauti wetu ndani ya chama na sisi Yeye Humprey Polepole aliendekeza dharau kwa kuwa ni mtu wa kuja chamani, Sisi wengine na waomba msamaha wote kama Nape tuliogopa usalama wetu na Matumbo yetu

JPM alikuwa Mwamba, Sio Mwamba tu alitengeneza Longrun Leadership ya kuona hakuna mwenye mawazo na akili zaidi yake hapa TZ

Sikuwahi andika habari za Polepole Humprey hapa JF kwani niliona ana IQ ndogo sana enzi za JPM

IQ ndogo hupimwa kwa uwezo wa kufikiri wa Mtu nje ya box hasa Uvumbuzi na uwezo wa kutabiri yajayo

Polepole hana la maana kwenye Press yake na waandishi wa habari, Lengo kuu ilikuwa kutafuta ahueni kwa mkono wa sheria atakaokutana nao TCRA

Sheria za TCRA hizo hizo Bwana Cypirian Musiba alipendelewa kutukana wazee ndani ya chama huku Humprey Polepole akimsaidia Cypirian Musiba kudhalilisha watu wakati wa JPM

Polepole Humphrey kabla ya kuhitaji msamaha wa wananchi lazima atambue mtu akifariki na lake halipo hapa Duniani

Leo JPM alishaoza na hata tukiamua fukua kaburi Lake tutapata mifupa tu na si suti alizozikwa nazo

Nakiri watu wengi tulitumia uhuru vibaya wakati wa JPM hasa wale waliopata access au ukaribu wa moja kwa moja kama Makonda, Sabaya, Polepole Humprey na Genge lake

Ninaunga mkono mbinu zote za kumshughulikia Humprey Polepole ziwe unclassified au Classified kama za TCRA

Hakuna kitu cha bahati mbaya hapa Duniani,

You harvest what you Planted

The higher the Risk the higher the Return or Loss

Pole alijipendekeza sana kwa JPM akijua the Man will last longer lakini Leo anavuna ujinga na upuuzi wake

Kuomba msamaha sio ujinga, Mimi niliomba msamaha hapa JF na hata ndani ya Chama niliwaomba wale niliowakosea

TCRA Futeni Channel ya huyo Humprey Polepole
 
Kiturilo

Hakuna sheria inayoenda Bungeni bila kupitiwa na Katibu wa ccm na Mwenyekiti wa chama

Mwenyekiti ambaye ni Rais hawezi ruhusu mjadala wa kukandamiza ccm Bungeni

Bunge ni Rubber Stamp tu kuidhinisha maamuzi ya Chama

You are so young kuelewa mambo ya nchi hii

Bunge ni jina tu, Bunge lipo Ulaya na Marekani sio hapa Tz..
 
Ni hawa hawa! Nape si ndo alitetea kuzuia Bunge live?

Leo hii ameishia kujiita ina wenyewe. Ina wenyewe ya nyoko!

kwani tunataka kiongozi wa chama au serikali? Wote hawa waende huko CCM wakajikombe.
Ni yeye au ni godfather
 
Hao hao ndiyo walikuwa washauri wakuu wa mtakatifu jiwe.

Walikuwa wanaamini kupitishwa kwa sheria hizo kutawabana wapinzani wa kweli hapa nchini ambao ni cdm.
 
Kiturilo

Hakuna sheria inayoenda Bungeni bila kupitiwa na Katibu wa ccm na Mwenyekiti wa chama

Mwenyekiti ambaye ni Rais hawezi ruhusu mjadala wa kukandamiza ccm Bungeni

Bunge ni Rubber Stamp tu kuidhinisha maamuzi ya Chama

You are so young kuelewa mambo ya nchi hii

Bunge ni jina tu, Bunge lipo Ulaya na Marekani sio hapa Tz..
Nakubaliana na wewe na hiyo inathibitisha kuwa hata ule uchaguzi wa kumpata spika inakuwa ni kiini macho tu
 
Siyo wakati wa JPM watu walitumia uhuru vibaya ila hata sasa. Ni suala tu la ni nani ameshika makali. Imetoka timu ya JPM ilikyokuwa imelewa madaraka ikadhani hakuna mwisho na imeingia timu ya Samia iliyolewa madaraka ikidhani hakuna mwisho!
 
Kuna watu wametekwa,wamefungwa,wamefilisiwa,wameuwawa ,wameteswa n.k
Wakati yeye alikuwa katibu wa CCM na uwenezi wa CCM.
Hakuongea Leo anaongea nini?
wa kuongea akina lisu,lema,mbowe.mdude,Roma.
Ambao wameonya machungu ya utawala sio yeye.
 
Back
Top Bottom