Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa kawaida mtuhumiwa hupendekezwa adhabu ya kupewa endapo atakutwa na kosa, lakini huyu wakili kataja tu adhabu anazoweza kupewa bila kutumia neno "endapo atakutwa"! Ni kwanini hasa.
0 Reactions
4 Replies
207 Views
🚨 SIRI ILIYOFICHWA: JINSI "UKIRITIMBA WA KIUCHUMI" UNAVYOZUIA MAPINDUZI YA VIJANA TANZANIA. 🚨 Watu wengi wanashangaa kwanini vijana wa Kitanzania hawachukui hatua za kimapinduzi kudai haki zao...
4 Reactions
8 Replies
187 Views
Dunia ya sasa imepoa sana. Kipindi fulani cha nyuma, minyukano ilikuwa mikali sana. Haupiti mwezi watu wanapiga tukio. Mara umesikia mapinduzi ya kijeshi kule, mara wahuni wameteka ndege...
0 Reactions
21 Replies
221 Views
Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini ! Hii ni reactive strategies isiyokuwa na...
15 Reactions
40 Replies
636 Views
Uzi huu ni wa uchambuzi na Tathmini ya Final Submission Ya kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Antipas Lissu (TAL) Vs Jamhuri. Katika Hatua hii ya Kesi "Final Submission". LISSU akijitetea mwenyewe...
17 Reactions
16 Replies
612 Views
Za ndani kabisa. Mitiani imewahishwa yote, kisha serikali ikatenga billion 700 kwa kile inachokiita elinino. Ila ukweli ni kuwa Ama Lissu atafia jela kabla ya hukumu yatehe 6 November au Akina...
11 Reactions
29 Replies
941 Views
Katika malalamiko ambayo madereva wameyatoa leo ni kuhusu kutozwa zaidi ya tozo 20 wakiwa mabarabarani, pia kuna haja ya kuangalia namna ya muundo na uendeshaji wa LATRA unavyofanya kazi. Hata...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Wilaya zetu zina makabila, na mikoa yetu pia ina makabila. Hata hivyo, mfumo wa uongozi wa serikali za mikoa tulionao, ambao kwa namna fulani unapatikana pia katika nchi zinazotajwa kuwa na...
3 Reactions
51 Replies
415 Views
Katika nchi ambayo watu wanatekwa na kuuawa bila uchunguzi, wanapotokea mashujaa na kutangaza mgomo kwa lengo la kuchagiza madai yao ni lazima wapongezwe Nachukua nafasi hii kuwapongeza Madereva...
22 Reactions
103 Replies
1K Views
Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka...
1 Reactions
1 Replies
136 Views
PoliCCM wanajiandaa kuwafungulia viongozi wa madereva kesi ya Uhujumu Uchumi au Ugaidi baada ya Madereva kugoma kuondoa mabasi.
7 Reactions
20 Replies
562 Views
  • Redirect
Tafadhali Samia, usimteke huyu mtu. https://youtu.be/kN1M3NB3Azo?si=INTrtm5ROebQQOp7
0 Reactions
– Replies
– Views
Kwa hizi post za kuwataadharisha mfumo wa majimbo mtu mnaweza kuniona labda nina agenda zangu, No ! natoa tahadhari tu. Hebu wewe mwenyewe angalia kinachoendelea nchi zenye mfumo wa majimbo kama...
1 Reactions
62 Replies
682 Views
Nimeshangaa sana kumbe madereva wa mabasi na malori wanajitambua. Wanamchikia rais huyu dhalimu ambae alijipa madaraka kibabe akiwa kwenye poli la nyika huko Dodoma.
4 Reactions
9 Replies
311 Views
Huyu jamaa ni nani... Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha... Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi...
44 Reactions
203 Replies
4K Views
Unaambiwa hata Mbuyu ulianza kama Mchicha, huku ndiko hali ilikofikia Baada ya kuzidiwa kwa hoja na Madereva Polisi na serikali waweka mpira kwapani, stendi itatumika kufugia paka
4 Reactions
15 Replies
565 Views
Kumefanyika Mabadiliko Ya Baraza La Mawaziri Leo
6 Reactions
113 Replies
3K Views
Kinachonisumbua zaidi ni namna anavyosimulia maamuzi hayo kana kwamba hatma ya Tanganyika ilikuwa jambo ambalo alikuwa na mamlaka binafsi ya kuliamua. Kana kwamba nchi ilikuwa mali yake kiasi...
5 Reactions
31 Replies
397 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…