Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo...
Kutokana na mwenendo wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano kutoa mawazo yake na kuanza kubezwa na vijana wa CCM akiwemo Anthony Diallo wasifikri kwamba Ndugai ni mwepesi kama wanavyodhani...
Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na...
Hizi nyimbo zinaanzia chipukizi.
CCM ni chama cha umma na kila mwana JF ana hati maliki kwa kununua au kulipia kadi yake kwenye shina.
Kataa wahuni; CCM ni ya watanzania.
Hakuna mwenye CCM kama...
Chuki iliyopo mtaani kuhusu Tanesco kukata umeme hovyo ni kubwa na inatisha!
Shughuli nyingi za kujikwamua kiuchumi hasa kwa vijana mfano Saloon, uchomeleaji wa vitanda, milango na madirisha...
Katika watu ambao historia ya Tanzania huwa haiwatendei haki basi Rashid Mfaume Kawawa anaongoza - ni nadra Sana kusikia historia sahihi ya Kawawa.
Mara nyingi Historia yote ya Nyerere inaweza...
Ukubwa wa deni haujaanza leo, Spika hajaanza kuwa Spika awamu hii leo, Madeni ya serikali yapo hata katika bunge la leo, malipo ya hovyo yanafanyila hata katika bunge la leo. Kwa nini Spika akemee...
Mwaka mpya 2022 Mimi nimejipanga kuua nza na kesi , na nilitamani wakali wangu awe Fatuma Karume Sasa sijui nifanyeje ebu nishaurini.
Kimsingi msingi wa kesi ni wao kula mamilioni ya fedha...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr Anthony Diallo ametoa tamko la chama mkoa kuhusiana na swala la mikopo linalojadiliwa nchi nzima kwa sasa.
Diallo amesema kukopa hakukwepeki na mikopo ilianza...
Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali...
Huu ndio wakati ambao mbunge wa Mtama Nape Nnauye anapaswa kuishikia bango hoja yake ili mkopo wote wa tsh 82 trillion uliokopwa kuanzia awamu ya 1 hadi ya 6 ifikishwe bungeni kwa mjadala wa WAZI...
Naomba kuweka wazi mimi ni shabiki, mkereketwa, number one fan wa Rais Samia Suluhu Hassan. Nampenda haswa ile kindakindaki.
Naumia sana MTU yeyote anapomkosoa kwa chuki, anapomkejeli...
Tusikubali kufungwa vinywa, tuelezwe kama Rais Samia anasafiri ndio maana tumeweza kupata mikopo je Magufuli alisafiri usiku kwenda kukopa na kurudi usiku pasipo wasaidizi wake kujua?
Kama sio...
Hakika ninawaambia, wanaccm mliopo madarakani hivi sasa hamko salama endapo msipoushuguhulikia mgawanyiko huu wa kitaifa.
Kuna nyakati tuliheshiana, tulibishana na kupinganga kwa hoja tu lkn...
Kumekuwa na minong'ono ya hapa na pale kuwa watu/wanasiasa Wengi wamekuwa waongeaji tofauti na ilivyokuwa katika utawala wa Magufuli, na kwamba sababu kuu ni kwasababu aliyepo madarakani ni...
Wahenga wakishasema wamesema na ukipuuzia waliyoyaonya utakiona cha mtema kuni hapahapa duniani.
Baada ya Rais wa awamu ya tano Magufuli kufariki dunia Chadema wakiongozwa na Mbowe, Lissu na...
Kuna kundi wanajiita wenye CCM. Hawa ni watoto wa wakubwa wastaafu.
Wanaojiona kana kwamba chama ni mali yao. Nawasihi sana wote wanaoitakia mema Tanzania wawakemee hawa watu.
Hivi karibuni...