Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wapinzani walipomwambia Rais avunje Baraza ateue na kuapisha upya niliikuwa mmoja wa waliodhani ni ushauri batili. Wapinzani wakasema kuna watu walitaka Mhe. Rais asiapishwe nikawapuuza nakudhani...
1 Reactions
5 Replies
684 Views
Tangu bunge ili lianze baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 chini ya Spika wa bunge Mh.Anne Makinda,tumeshuhudia vituko kutoka kwa baadhi ya wabunge kwa upande mwingine ubabe wa spika na manaibu wake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni maoni yangu tu, maana hao makatibu wakuu ndio watendaji wakuu wa wizara. Kama waziri hayupo sawa, maana yake hata katibu wa wizara atakuwa hayupo sawa Ni mtazamo wangu tu
0 Reactions
8 Replies
971 Views
Polepole anawakilisha kundi la watu ndani ya CCM ambao hawataki na wasingependa kusikia Rais Samia Suluhu Hassan akifanya vizuri na kuipaisha awamu ya Tano. Polepole na wenzake wasingependa kuona...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Siku zote kilio chetu ni kuona Bunge linaisimamia vyema Serikali. Lakini inasikitisha sana chama cha upinzani kinapotoa baraka Serikali isiweze kuhojiwa na bunge. CHADEMA kimedhihirisha ni chama...
12 Reactions
78 Replies
4K Views
Ninaendelea kuamini na kuwa vyombo vya habari vya magharibi vilikuwa vinalengo la kumchafua Rais wa wanyonge. Haiwekani, kwa visang vinavyoendelea Tanzania habari zetu zisitangazwe kweli kweli...
7 Reactions
7 Replies
672 Views
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Katiba mpya ndio mjadala mkubwa kwa sasa Lakini kama haya mambo ndio yenye gumzo kubwa basi uwepo wa katiba mpya ni swala la lazima na sio...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
"Tumekumbana na changamoto ya kupanda kwa bei za vifaa vya ujenzi. Nondo iliyokuwa inauzwa shilingi 22,000 imepanda hadi shilingi 28,000. Saruji imepanda kutoka shilingi 15,000 mpaka shilingi...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa siku kadhaa sasa fukuto la kutofautiana kimtazamo na maneno baina ya viongozi wakuu wa nchi umezidi kuchukia sura mpya siku adi siku, je ni vita ya panzi furaha kwa kinguru? Ipi faida ya...
0 Reactions
3 Replies
551 Views
Serikali kupitia Mamlaka ya Uthibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta. Taarifa iliyotolewa leo na EWURA inaeleza kwamba, Ikilinganishwa na bei za mwezi...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu mapema mwezi jana mchungaji na mtumishi wa Mungu Askofu Josephat Gwajima alitangaza masaa 72 ya maombi kwa ajili ya kumuondoa Amalek katika nchi. Kwa wengi hatukuweza kumjua na mpaka sasa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwako Mh Rais Samia Suluhu Hassan, Slaam Mh Rais, NAKUSALIMIA KWA JINA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Binafsi nikupongeze kwa kazi kubwa sana na ya kipekee sana ya kusukuma mbele gurudumu la...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
To declare my interest mi siyo mwanasiasa ila nafuatilia siasa hasa vituko vya JOB pale mjengoni. Tangu awamu ya tano ilivyopita ambayo ilijaa KUSIFU NA KUABUDU kwingi ili upate kacheo,Sasa...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Tumewasikiliza wahuni wale hawakujibu hoja ya Ndugai, Wala mama hajajibu hoja. Alichofanya ni kuongezea matusi mengine. Washauri wa Ndugai wangemwambia akae kimya Wala asimtafute mama azungumze...
0 Reactions
8 Replies
970 Views
Nilimsikiliza Mzee Wasira amezungumzia mengi sana hasahasa yanayoendelea. Ila nilichojifunza raisi akiwa madarakani anaogopwa sana, huenda ni kutokana na mamlaka makubwa aliyonayo. Mzee Wasira...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwasababu upinzani haupo bungeni spika amejibadilisha na kuwa mpinzani fake. Tatizo lake wale wabunge wake wa upinzani hata yeye hawamuungi mkono kwasababu hawana mapenzi naye zaidi ya pesa...
2 Reactions
8 Replies
740 Views
Eti jamani, hasa nyie mlio kwenye system hebu tupeni mwanga kidogo; ni kwanini mikataba inayoingia serikali huwa inafanywa kiwa siri kiasi mwananchi wa kawaida hapaswi kabisa kujua. Mathalani hii...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Wiki hii baada ya speech ya Spika naona makada wa CCM,TUndu Lisu pamoja na James Mbatia nao walitoa yao ya moyoni. 1. Makada wa CCM wanasema mama amekopa just 1.3tril ivyo bado tunakopesheka wapo...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Hii ya leo hakika bwana Waziri Nchemba ni zaidi ya utovu wa nidhamu kwa walipa kodi! Unatoa wapi uthubutu wa kudai Serikali ndiyo hulipa madeni na si wananchi?! Kwamba bila kodi ya wananchi...
1 Reactions
6 Replies
975 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…