Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari zenu Mimi Kama mwananchi wa kawaida kabisa naona jinsi gani, CHADEMA kwa Sasa wanachama wake mioyo yao imejaa chuki na roho ya kulipiza kisasi..hasa ukifatilia maoni yao huko tweeter na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. 9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi. 10 Haya! Na tuwatendee kwa akili...
1 Reactions
1 Replies
760 Views
Nimeona mkeka wa baraza jipya la Mawaziri, unajiuliza uchaguzi umeisha au bado tupo Kwenye kampeni? Watu waliopo Kwenye baraza la Mawaziri ni watoto wa familia zilezile zinazoelekea kustaafu au...
69 Reactions
199 Replies
17K Views
8 Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. 9 Akawaambia watu wake, Angalieni, watu wa wana wa Israeli ni wengi tena wana nguvu kuliko sisi. 10 Haya! Na tuwatendee kwa akili...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa upepo wa teuzi unavyoenda na mlengo wa teuzi ushajulikana, unadhani ni wanasiasa gani watateuliwa teuzi zijazo? Mimi naanza na Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, Bernard Kamilius Membe...
1 Reactions
8 Replies
973 Views
Wazee wa Magomeni yote Mapipa, Makuti, Kagera, Mikumi, Kigogo, Mburahati, Tandale hadi Manzese wanasema awamu ya hayati Magufuli iliwarejeshea maji waliyoyakosa kwa zaidi ya miaka 20 kadhalika...
18 Reactions
58 Replies
4K Views
Wakuu; Huu ni unabii uliotolewa na Chief Prophet Nicholaus Suguye mnamo tarehe 26/12/2021 ambapo nanukuu alichosema; "Namuona raisi anaandika majina ya watendaji wake,na kuna watu wapo katika...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
UVCCM TAIFA - Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri. “Tunampongeza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa sehemu kubwa Wilaya nyingi hapa nchini zina Mabaraza ya Ardhi yanayoshughulikia migogoro ya ardhi. Hivi karibuni yameundwa mabaraza mapya ya Ardhi kwa lengo la kukidhi mahitaji kwa wilaya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani kabisa 'Mimate' Kabudi na 'Saa 12 Jioni' Lukuvi ndiyo wautake Urais wa JMT kwa 2025? Tanzania inahitaji mno Critical Thinkers.
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Katika nyumba kuna Baba na Mama. Kwa kawaida Baba ndo kiongozi wa nyumba/ familia. Wakati huu Baba akiwa kiongozi wa nyumba/familia, wanatokea baadhi ya wanafamilia kumtukana sana Baba tena matusi...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Wiki hii palizuka taarifa ya upotoshaji iliyodai Serikali imewarudisha kazini watumishi wa umma zaidi ya 4,000 walioondolewa kazini mwaka 2017 kwa sababu ya kughushi vyeti na watumishi hewa...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwalimu Nyerere alitawala kwa miaka 24 (1961-1985). Kwa mujibu wa katiba ya sasa iwapo rais Samia atatawala kwa katiba ya sasa bila kuibadili, anaweza kutawala kwa muda wa miaka 9, Lakini akileta...
9 Reactions
49 Replies
4K Views
Kipingamizi kikubwa cha mifumo mizuri ya utawala maeneo mbalimbali ni CCM. Na hakika, nchi hii kamwe hatutakuja kuwa na mifumo bora ya kiutawala mpaka CCM itakapokuwa nje ya utawala. Kikwazo...
3 Reactions
5 Replies
668 Views
Wakuu Habari ya Wakati. Katika Kesi ya Hamis Jongo&41 other vs. AG na TRA Jaji Wa Mahakama Kuu (Mgonya J Anazungumzia na Muislam Kushuudia (Affirmation) na Mkiristo Kuapa(oath) Jaji kwenye...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa kawaida joto la kisiasa hupanda na kushuka kwa kila nyakati nchini, pasi na shaka joto lililopo sasa ni matokeo ya tumaini kubwa kwa wananchi kufuatia mabadiliko katika Baraza la Mawaziri...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni Nani asiyechoka na hii kitu inaitwa CCM kwa sasa? Ninaamini hata walioko CCM dua yenu ni ili siku moja asiingie mtu asiyetokana na chama chenu, maana hofu yenu ni pale itakapo walazimu...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Asisitiza nyumba kuvunjwa hata iweje.Hasa nyumba zilizopo ndani ya hifadhi ya barabara. Amsifu polepole kwa kisimamia sheria. Asema kama hawataki zivunjwe washauri wabunge wapeleke mapendekezo...
21 Reactions
328 Replies
52K Views
Walishazoea kufanya ufisadi na kuiba mali za umma na wakati wa uchaguzi wanawalaghai wananchi. Sasa watanzania walishawashutukia. Mwaka 2015 baada ya kuona kuwa walishachafuka kwa ufisadi...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia "poster" yenye Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ya 2002 ambapo Hayati Benjamin W.Mkapa akiwa Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (Mjumbe), na Mhe. Samia Suluhu Hassan...
4 Reactions
4 Replies
807 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…