Katika nyumba kuna Baba na Mama. Kwa kawaida Baba ndo kiongozi wa nyumba/ familia. Wakati huu Baba akiwa kiongozi wa nyumba/familia, wanatokea baadhi ya wanafamilia kumtukana sana Baba tena matusi ya nguoni na kuziweka hadharani hata siri zile za ndani kabisa na Mama akishuhudia hayo yote.
Punde Baba anatoweka na Mama anachukua majukumu ya Baba. Kwa namna ya pekee kabisa, Mama anaamua kuwakaribisha nyumbani wale waliokuwa wakimtukana Baba.
Je, katika mazingira hayo, Mama huyu unaweza kumuweka kwenye kundi gani?