Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Usikilizwaji wa Kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu; Halfan Bwire Hassan, Adamu Hassan Kasekwa na Mohammed Ling'wenya inatarajiwa kuendelea...
7 Reactions
255 Replies
29K Views
Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania, "Hakuna kama Samia" Nchi yetu imetajwa kwenye orodha ya nchi kumi zenye gharama ndogo...
16 Reactions
140 Replies
14K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari. Chanzo: Chadema Media...
9 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu nataka kujua, Kwa mujibu wa katiba ya muungano wa Tanzania, Rais wa jamuhuri lazima awe na umri wa kuanzia miaka 45 ndipo anaweza kuwa na sifa ya kugombea urais. Swali jJe, kwa mfano Rais...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Tanzania Yangu ya sasa imekosa alama yaani haina Identify kabisa. Je, ni nini alama ya Taifa letu kwa mgeni? Kwa mfano mgeni akitoka Marekani, China, Hispania au Ufaransa je, atatambua vipi hapa...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Katika pekua pekua nimekutana na hili ni bora niwashirikishe Gonga hiyo link hapo chini:
1 Reactions
208 Replies
36K Views
Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii...
13 Reactions
83 Replies
7K Views
Huo ndio ukweli. Mfumo wa Siasa wa Tanzania hauna mgombea binafsi kama ilivyo Kenya na kwingineko duniani so ili uwe na bunge ni lazima kwanza uwe na vyama vya siasa. Uhuru wa bunge uko wapi...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Mimi mtanisamehe maana bado ni muumini wa Baba wa Taifa Hayati Mwl. Jk Nyerere. Nakumbuka enzi za uhai wake aliwahi kutaja mambo manne muhimu ambayo yeye binafsi aliamini tulitakiwa (na mimi bado...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa CCM inatimiza yale yalioandikwa kwenye ilani na kuahidiwa basi sisi wananchi wa Chato tunaomba tujengewe chuo kikuu kiweze kusomesha vijana wetu na nje ya mkoa na nchi jirani. Kwa hayo yote...
9 Reactions
138 Replies
14K Views
Ukifuatilia kesi inavyoendelea yapo Mambo makuu matatu unayabaini kuhusu shahidi wa Jamhuri SP Jumanne. Kwanza, swali kwamba anatoka kabila gani na kujibu kwamba ni Msukuma Lina maswali mengi hasa...
5 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake. Nukuu ''Mheshimiwa Rais...
23 Reactions
239 Replies
28K Views
Wapendwa watanzania wenzangu, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( salamu maalum aliyoiasisi Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan na ambayo kiitikio ni "Kazi iendelee"). Mimi...
0 Reactions
2 Replies
783 Views
THE TRUTH ABOUT ZANZIBAR REVOLUTION JOHN OKELLO HAKUTAKA Z;BAR IUNGANE NA TANGANYIKA MZEE KARUME ALIKUWA AKIMUOGOPA OKELLO NDIO AKAMFUKUZA Z;BAR MOST Tanganyikans especially of the present...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Duniani kote kuna hii dhana ya mihimili ya mahakama, bunge na serikali kutokuingiliana (separation of powers) na kugawana madaraka bila kuathili mawasiliano kwa maana ya coordination baina yao...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Tulimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan, wakati alipotuahidi kuwa atafanya mabadiliko ya Baraza la mawaziri na kusema wazi kuwa amegundua kuwa kuna baadhi ya mawaziri wameaanza kampeni kuwa ajili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
HISTORIA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KUTOKA 1963 - 1964? Mnamo mwaka 1934 kilianzishwa chama cha AA “African Association, hichi kilifanya kazi ya kupinga ubaguzi dhidi ya watu wa Zanzibar na...
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Tumeshuhudia migogoro isiyoisha ya ardhi na migogoro inayohusiana na kulipwa fidia ilikupisha uwekezaji. Nina habari niliyopenyezewa kuhusu mgogogoro wa chini kwa chini kuhusu ardhi ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Pole na majukumu mheshimiwa Rais na pole pia kwa msiba wa kuondokewa na watanzania wenzetu 14 huko mkoa wa SIMIYU. Mheshimiwa Rais naandika ombi hili nikiwa na masikitiko ya kuwapoteza hao ndugu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…