Wakuu,
Hii wiki na zaidi ilikuwa muda wa vyombo vya dola kuandamana, yaani wajuba wametoka barabarani hadi na vifaru😂😂 kama wapo vitani vile kumbe ni kutisha wananchi wasitoke kesho!
Safari hii...
Watanganyika tumejenga tabia ya kutafuta mchawi wa matatizo yetu kila kukicha — tukimlenga kiongozi, chama, au mtu fulani. Wengi leo wanamlaumu Dkt. Samia, wengine CCM, wengine wafanyabiashara, na...
"Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya...
Ni asubuhi leo desemba 9, 2025 katika maeneo ya Tegeta Kibao jijini Dar es salaam, Askari Polisi wakifanya ukaguzi wa kila gari yakiwemo mabasi yanayotokea Kaskazini (Arusha, Moshi na Tanga).
Mwandishi wa Habari wa BBC akionesha hali ilivyo katika Jiji la Dar es salaam leo Desemba 9, 2025, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 64 kumbukumbu ya siku ya uhuru.
Ikumbukwe kufuatia madai ya...
azama hali ilivyo hii leo mapema kabisa asubuhi katika jiji la Mbeya hususani katika maeneo ambayo yamekuwa na mikusanyiko mikubwa ya watu ikiwemo eneo la Kabwe.
Hii inafuatia kuwepo kwa vuguvugu...
Polisi ahsante sana kwa kuendelea kutangaza maandamano haya, mnafanya kazi nzuri mnatangaza nchi nzima, nyie jifanyeni kama mnasema hayatakuwepo kumbe ndio mnayatangaza kwa kasi ya ajabu.
Hakuna kutulia, mpaka Haki ipatikane. Kama madai yetu hayatotimia basi tutakuja na J12.
By doing so uchumi utayumba, hamtopata watalii, mtamwaga bajeti kwenye ulinzi Hadi mkome.
Madai
1. Lissu...
Usiseme hutafikiwa, bali jiulize utafikiwa lini kwakuwa hata waliokaa kimya walifikiwa zile siku 5 za giza nene Tanganyika..
Ukiliangalia hili jambo kimwili unaweza usipate majibu ya kuridhisha...
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu, kwenye gazeti la Nipashe la leo
Kwa vile nimetumia dhana ya ukichaa, naomba anza bandiko hili kwa kuisoma kwanza dhana yangu ya ukichaa, ndipo some bandiko hili...
Nimerudi nyuma kukumbuka kipindi kile cha JPM na waziri mkuu.
Tokea ile hotuba Who are You kufanya sasa wazee hawapishwi siti.
Kwa nini kila mtu anatoka kumuongelea wakati kuna protocal za...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema amemwagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi, Camillus Wambura, kuhakikisha kuwa ukamataji wa watuhumiwa unafanyika kwa kufuata misingi ya...
Marekani inathamini ushirikiano wake wa muda mrefu na watu wa Tanzania, ambao umeleta ustawi kwa wananchi wetu na usalama katika kanda hii. Hata hivyo, hatua za hivi karibuni za Serikali ya...
Kwa mfano, nasema kwa mfano!
Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini...
Viongozi wetu walijisahau sana watu walikuwa wanatekwa Kila baada ya muda mfupi Yani utadhani mfuga kuku anachagua kuku wa kuchinja bandani kwake. Na viongozi hawakuonyesha kushtushwa hata kidogo...
Kundi la Wasanii kutoka Arusha, maarufu kama 'Wadudu Official', limetoa wito mahsusi kwa Serikali kusikiliza madai yao kwa uwazi, weledi na kupitia majadiliano yenye heshima ili kuepusha...
Siyo kawaida yao, safari hii hatusikii cha nywinywi wala nywinywinywi. kila mtu anaagiza kukwepa responsibility. Samia kaogopa hata kujitokeza kwenye TV kulihutubia taifa anatuma tu watu wamsemee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.