Hata turuke juu chini na tupige sarakasi za kila aina, zitaundwa tume za kila aina, kamati za amani, maridhiano na blah blah nyingine zote ila mwisho wa siku kama tutaka kuwa na nchi ya...
Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande ameyasema hayo leo Aprili 28, 2026 wakati Tume ya Jaji Othman Chande ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya ripoti hiyo iliyowasilishwa mbele ya Rais Samia...
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman pamoja na wajumbe wa tume wakizungumza na waandishi wa habari...
Wakili Peter Madeleka akizungumzia ripoti ya Jaji Chande, amesema kuwa tume hiyo haikuwa na mamlaka yoyote kisheria kumwamrisha pathologist kwenda kuchunguza vifo vya wanaodhaniwa kufa kwa...
Ripoti Tume ya Samia chini ya uenyekiti wa "Jaji Mstaafu" Othman Chande is full of self - contradictory statements and statistics of the number of deaths
Tunamshukuru Mungu wa mbinguni sana ktk...
Nimeambiwa kuna viongozi mbalimbali wanaenda kuchambua Muhtasari wa Chande, wapo viongozi wa dini na wanasiasa, watuambie wanaenda kuchambua kitu gani ambacho hawakijui au wao wameshapewa ripoti...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres anatarajiwa kumaliza muda wake kama Katibu Mkuu wa tisa aliyeliongoza Shirika la Umoja wa Mataifa kwa miongo miwili, hadi hapo Desemba 31 mwaka...
Wakuu,
Mwenye ujuzi na ufahamu wa namna Serikali au sisi kama nchi kwa ujumla wake tunanufaika na kufungiwa kwa mitandao kama X, JamiiForums, Telegram nk aseme huenda wanastahili pongezi kwa...
Hoja Dhaifu za ‘Wheel Cover’: Kutoka kwa Maria Sarungi
Kwanza kabisa, hoja ya kuunganisha “wheel cover” kutoka kwa Maria Sarungi ni dhaifu sana kimantiki. Hii ni correlation fallacy kuona vitu...
Mifano ya mipango ilikuwa kuwepo kwa vijana wasiopungua 500 katika majengo, misitu na makambi mbalimbali nchini kwa takriban zaidi ya siku 28. Vijana hao walihifadhiwa na kupatiwa mafunzo maalum...
"kua tajiri ni sanaa hakuhitaji phd"
-kidole
baada ya nukuu hapo juu kutoka kwangu niwasalimie wote wana JF haswa wa jukwaa hili pendwa la siasa
taifa letu limefikia hatua muhimu sana...
Jaji Chande ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, ameyasema hayo Leo, 28 Aprili 2026 Jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa tume ya Uchunguzi wakati na baada ya...
Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu akizungumza na Wasafi TV amesema demokrasia yetu nchini, mgombea pekee hatoshi kujipanga kushinda ubunge, bali dola ndio inaamua nani atangazwe mshindi.