Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimeona Dangote anawashawishi kina Museveni na Ruto kwamba Yuko tayari kujenga Kiwanda Cha Mafuta chenye Ukubwa kama kile Cha Nigeria kwenye Bandari ya Tanga ikiwa atapata ushirikiano kutoka...
1 Reactions
0 Replies
212 Views
Viongozi wa dini wametakiwa kushiriki kikamilifu katika maridhiano. Taifa linahitaji kurejesha maadili na kushinda majeraha ya ghasia. Hii ni dhamira ya pamoja ya Watanzania wote. #RipotiYaChande...
0 Reactions
1 Replies
133 Views
Rais Samia amesema; "Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki...
3 Reactions
15 Replies
578 Views
  • Redirect
Kwa pamoja Watanzania wanaweza kujenga mustakabali imara. Ripoti ya Tume inatoa mwongozo wa kurekebisha na kuwajibisha wahusika. Mshikamano wa kitaifa ndio ufunguo wa amani ya...
0 Reactions
Replies
Views
Wale wale waliokuwa wanashangilia mapendekezo ya tume ndiyo hao hao hawajatekelezi na wengine kuagiza kuvunjwa kwa sheria hizo hizo. Yaani Polisi ya sasa inavunja sheria kuliko hata Polisi ya...
3 Reactions
7 Replies
702 Views
Wakuu Masiku kadhaa yaliopita nilipatana na kìjana mmoja mwenye uraia wa USA na mwenye asili ya Afrika. Tulipata kuzungumza mawili matatu nilimsikia akisema amekua na shauku kubwa sana kujua...
2 Reactions
8 Replies
207 Views
Top mmoja kateleza katika maongezi kavujisha Taarifa sehemu kwamba Report ya Chande Tayari imewataja watu fulan na wanaweza wakapotea hivo wakamatwe kabla ya Juma kuisha na ikibidi wakamatwe leo...
13 Reactions
40 Replies
1K Views
Wallah tena nawaambia, ukiwa kwa mbali unaweza kudhani macho na masikio vinakudanganya maana muonekano wake unakufanya udhani ni mtu mwenye busara na maarifa, kichwani kuna nondo za kutosha, na...
9 Reactions
15 Replies
515 Views
Naona ugumu kukichafua cheo cha Jaji kwani ni adhimu na chenye heshima kwa anayestahili kuheshimiwa nacho na Wewe Chawa, Chande umejivua cheo hicho, acha nisionekane mtovu wa nidhamu kwa wakubwa...
4 Reactions
4 Replies
217 Views
"Lakini pia, Mheshimiwa Rais, kulikuwa na madai ya kuwepo makaburi ya halaiki. Kulikuwa na madai hayo kupitia vyombo vya habari vya kimataifa na mitandao ya kijamii kuhusu uwepo kwa makaburi ya...
1 Reactions
12 Replies
443 Views
Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha...
0 Reactions
1 Replies
143 Views
"Kuna kijana mmoja, Usariva Harusha, mwenye umri wa miaka kumi na sita. Alishawishiwa, alipewa Shilingi elfu hamsini ashiriki, na walimuahidi—na kwa maneno yake—walimuahidi watampa Shilingi...
3 Reactions
21 Replies
585 Views
Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele...
0 Reactions
13 Replies
310 Views
  • Poll Poll
Na.M M Mwanakijiji Uwezekano wa Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa (maafisa wake) kutolewa kafara kwa umwagikaji wa damu Oktoba 29 mwaka jana. Pamoja na maelezo marefu na ahadi za "tumeipokea...
44 Reactions
81 Replies
2K Views
Umejaribu kubalance lakini hesabu zinakukatalia. Zaidi umejichafua tu kupalilia uongo.
4 Reactions
3 Replies
188 Views
Why Nawashanga watu kuiponda ripoti ya 29 wakati mliujua ukweli kabla ya utafiti huo kufanyika na haya ni baadhi ya maswali tulikuwa tunajiuliza baada ya kuteuliwa kwa tume yenyewe. 1. Nani...
18 Reactions
35 Replies
533 Views
Wasalam watanzania Poleni kwa kusahau report ya CAG kutokana na kuwabize na kulinda nyeti zenu🙏 Kwanza Mimi sio mwandishi mzurii ila jitahidini kusoma hivyo kwani najilaumu kwa kukataa shule😭...
1 Reactions
3 Replies
164 Views
Nchi imepoteza mabilioni kuunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29. Leo Tume ya Chande imetoa ripoti na kumkabidhi Rais. Cha kushangaza ni Rais kusema ripoti ya Tume ni ya kwake yeye kama...
0 Reactions
2 Replies
215 Views
Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona...
7 Reactions
14 Replies
563 Views
CHADEMA nao waunde tume yao ya kuchunguza kilichotokea Oktoba29 na kuendelea kisha watoe majibu yake.
4 Reactions
9 Replies
183 Views
Back
Top Bottom