Alichoandika Gerson Msigwa leo kwenye ukursa wake wa X
Kuna shida gani namba ya Mtumishi wa Umma kuwekwa hadharani? Mbona kwenye website ya Bunge kwenye kila profile ya Mbunge wameweka namba zao...
Maadhimisho ya Miaka 62 ya Muungano: Rais Atoa Msamaha kwa Wafungwa 1,369
Katika kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Rais ametoa msamaha kwa jumla ya wafungwa 1,369. Kati...
Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo...
Siasa ni kama biashara ,ni ngumu sana kama haujajipanga vema kukabiliana na mazingira ya ushindani na mshindani wako ukitambua ni Chama chenye nguvu.
Nasema haya kwa sababu siku za karibuni...
Waziri wa Anthony Mavunde, leo Aprili 27, 2026 amewasilisha hotuba ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027 bungeni jijini Dodoma, ambapo ameomba jumla ya tsh trilioni 174,983,580,000...
Wakuu,
Akizungumza kwenye kongamano la UVCCM la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano Rais Samia amesema huko tunapoendea mshikamano wa kitaifa unaendelea kupungua
"Nimeacha neno mshikamano. Na hapa...
Sijui labda hamjitambui au labda hamjui mpo kwenye kitengo hicho kwaajili gani.
Au ndio mmejimezesha ujinga na kuaminishwa na kujiona mpo kwaajili ya watawala.
Waziri wa Madini Anthony Mavunde akiwasilisha Taarifa ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Aprili 27, 2026 Bungeni Dodoma, amesema:
"Tume ya Madini...
Kuna zoezi linafanyika la kuvunja majengo ya NHC pale Kariakoo .
Sasa napata ukakasi kwamba yakishavunjwa hayo majengo ya Serikali bango linaonyesha anajenga jengo sio NHC tena kwa maana mmiliki...
Tanzania whitewashes post-election massacre of thousands of protesters
Kipchumba Ochieng
President Samia Suluhu Hassan and her Chama Cha Mapinduzi (CCM) government has released a report into the...
Aprili 23, 2026, Jaji Chande alieleza kuwa atakutana na vyombo vya habari ili kufafanua zaidi ripoti aliyoiwasilisha kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Alisema kuwa mambo mengi yaliyomo kwenye ripoti...
Hamjambo Wote!
1. Wakati nilipokuwa Mdogo nilisikia na kusoma sifa za watu Fulani ambao walipewa utukufu na sifa ambazo zingine zilikuwa sio za kawaida.
2. Wapo niliowasoma ambao walikuwa...
“Vita dhidi ya umasikini bado inaendelea, nikasema nitaisaidiaje Serikali kwa kidogo nilichonacho ili niwasaidie wenzangu, kuna vilio kila siku watu wanakopeshwa mikopo umiza, unakopeshwa Pikipiki...
Waratibu walitumia mbinu mbalimbali ikiwemo kuwatumia watu wasio na ufahamu wa kina na vijana waliokata tamaa katika jamii.
Walifanya hivyo huku wakihakikisha vitendo vya ghasia vinafanyika kwa...
Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA
Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi...
Guys guys
Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania.
Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100...
Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi, Kusema Ripiti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa
Maana ya Tume ni kuweka vitu vyote wazi, kufungua milango yote ya nyumba nzima na kuruhusu mwanga...
"Kama kila moja aliona kwamba anastahili kugombea hatunyimani nafasi...lakini kwamba hatukuona athari tuliona athari kwa sababu tulishakubaliana juu ya nafasi za kugombea ila ikawa ghafla sana...
Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina
Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.