Jambo la kuweza kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan inaonesha dhahiri ni mpole sana na ni rais asiyependa makuu kwa viongozi wa chini yake anaowaongoza hili...
Uongozi wa Mahakama ya Tanzania, umesema Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuongoza sherehe za Siku ya Sheria Februari 2, Chinagali jijini Dodoma, badala ya Februari Mosi, 2022.
Hatua ya...
Yaani chama chetu cha Mapinduzi CCM sijui kina matatizo gani, hakuna kiongozi anayeweza kusimama akataka jina la Mama akaacha kutaja Madarasa. Hivi kuna kubwa zaidi ya hili? Hakuna mradi wowote...
Nilikuwa nasikiliza kipindi cha maoni kinachorushwa na DW, ndipo nikamsikia huyu mtu anaitwa Mohamed Said akitoa maoni yake kuhusu miaka 60 ya uhuru, ingawa kabla nimewahi kusoma makala zake...
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesema bunge linapotangaza kupokea muswaada na kuhitaji mawazo ya wananchi, ni muhimu wananachi kutumia fursa hiyo kupeleka mawazo yao.
Amesema hayo...
Kama ilivyo ID yangu - yaani New Page. Baada ya JPM kuondoka niliamini tunaanza ukurasa mpya. Nilikuwa wa kwanza kwanza kuonesha kuwa hii ni Awamu ya Sita na si ya Tano, ingawa ilibishiwa sana...
CITI BANK imeahidi kuisaidia Tanzania kupata mikopo yenye masharti nafuu kutoka katika Benki hiyo pamoja na washirika wake kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ukiwemo mradi wa ujenzi...
Kwanini Watanzania wa leo tunaamini kwenye inflation? Kwanini tunaamini Sana kwenye ushindi wa asilimia 100%? Kwanini tumepumbazika na cooked data? Kwanini tunawaza sana kwamba tukishinda kwa...
Wanabodi naomba mnisaidie kuelewa shida iko wapi, maana tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini, tumeshuhudia vyama tofautitofauti vya upinzani vikiibuka na kujipatia wafuasi wengi na...
Bahati mbaya nimeshindwa kuziweka picha zake hapa. Lakini nimechunguza tangu Ndugai amkorofishw hacheki cheki tena na amevaa sura ya ukali. Ningeshauri asiwe hivyo tunataka awe na sura ya ucheshi...
Tunakumbushana tu kwamba mzee Juma Duni Haji aliwahi kuwa mwanachama wa Chadema na mwaka 2015 alikuwa mgombea mwenza wa nafasi ya Rais wa JMT.
Hivyo mzee Duni ana mapenzi mema na Chadema pamoja...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
Sasa nimeielewa Nia ya serikali ya awamu ya 6 Chini ya mama SSH iliposema itapitia mikataba yote ya awali upya ikiwemo wa Bagamoyo na Liganga/ Mchuchuma kabla ya...
Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR...
Ombi langu kwa wanachuo mnaoenda kuanza first year na mnaoendelea na masomo jiandaeni kisaikolojia na mjipange kisawasawa kujigharamia masomo. kiukweli kwa kauli hii jamaa kamaliza. Haoni hatari...
Hakika aliyewaita wasukuma washamba hakukosea.
Mbunge wa Geita vijijini Dr Joseoh aka Musukuma amewaomba wapiga kura wake wamoe miaka mingine 20 ya ubunge ili aibadili Geita iwe kama Dar es...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo...
Takribani mashahidi wanne hadi sasa wameshatoa ushahidi wao lakini kati ya hao wote sijaona ushahidi wenye nguvu ya kuwatia hatiani watuhumiwa wa ugaidi.
Shahidi badala ya kuthibitisha uhusiano...
Habari Wakuu,
Leo tena shahidi wa 12 Denis Urio anaendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri katika kesi ya...
Ningemshangaa sana Dr.Tulia Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri wa Tanzania kama asingechukua fomu za kugombea kuchaguliwa kuwa Spika.
Unapokuwa kwenye wadhifa Fulani wewe na wanaokuzunguka...