Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Polisi wakitaja ongezeko la uhalifu,wanatoa takwimu. Mpaka sasa polisi hawajafanya hivyo. Kwa vile zimetokea spectacular murders, watu wameingia wasiwasi. Na huyu rais always anatafuta nafasi ya...
1 Reactions
5 Replies
682 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewatangazia wabunge wa Chama hicho ratiba ya mchakato wa nafasi ya unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2 Reactions
6 Replies
820 Views
Mbunge wa Kongwa na Spika aliyelazimishwa kujiuzulu baada ya kutofautiana na Mwenyekiti wa CCM , Mh Ndugai hayupo Mkoani Mara ambako kunafanyika Sherehe za miaka 45 ya chama chake . Taarifa...
17 Reactions
67 Replies
5K Views
Leo kwenye maadhimisho ya Miaka ya Mapinduzi ya zanzibar kumetokea jambo la kushangaza na ambalo la kihistoria! Yani watu wote wanaokuja kwenye uwanja wa Amani wanapewa maji ya bure tena...
9 Reactions
66 Replies
4K Views
Rais Samia, jana akiongea na mawaziri aliwaambia wajipimie ila wasivimbiwe tena mbele ya TV ya umma. Nilipigwa na butwaa ila nikahisi mambo yafuatayo. 1. Rais hajui kwamba mali anazowaambia...
18 Reactions
192 Replies
13K Views
Nahisi huruma sana jinsi hii kitu inayolazimishwa legacy ya Magufuli kwa sababu, kwanza ni nature ya Mwanamke kuwa na Huruma, pili asili ya mtu na makuzi yake. Ninapojaribu kuwaza jinsi ambavyo...
38 Reactions
291 Replies
20K Views
Rangi za Chama Cha Mapinduzi Wapendwa wana JF Imekuwa ni kawaida sasa kwa viongozi wengi wa CCM kuvaa mangu ya kijani na kuonyesha kuwa wao ni wapenzi na Makada wa chama hicho. Nafahamu kuwa...
9 Reactions
550 Replies
103K Views
Aliyekuwa mjumbe wa Tume ya katiba iliyoongozwa na Jaji Warioba na ambaye kwa sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Kabudi amesema Katiba ya Tanzania ni madhubuti ndio maana imetuvusha...
9 Reactions
134 Replies
12K Views
MIAKA MINGI IMEPITA TANGU TAIFA HILI LILIPO PATA UHURU WAKE, ILA KILA SIKU KUNAPO KUCHA TAIFA HILI LIMEKUWA KAMA GARI KUU KUU NA KILA BAADA YA MWENDO FULANI LAZIMA LISIMAME NAKUFANYIWA...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Tumbuatumbua ktk serikali ya Magufuli imetia fora. Hii imewakumba hadi viongozi wa viwango akiwepo DC Majid Mwanga wa Bagamoyo ambaye hakuwa na hadhi ya kuwa DC bali RC mkoa Fulani. Huyu Mwanga...
1 Reactions
50 Replies
10K Views
Ninamkumbuka afande Awadh Juma wakati akiwa RTO Kinondoni na baadae ZTO Dar es salaam kwa namna alivyowanyoosha wavunja sheria za usalama barabarani. Jamaa ni noma akitoka tu getini kwake pale...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa vile Utu wa binadamu wote ni sawa mbele ya sheria za Dunia na Mwenyezi Mungu, tunaomba sisi raia tusio na mlengo wowote, tulioguswa na mauaji na majaribio ya unyang'anyi wa haki ya kuishi kwa...
0 Reactions
14 Replies
832 Views
MABADILIKO MAPYA YA SHERIA, BILA UPELELEZI KUKAMILIKA HAKUNA KUPELEKA KESI MAHAKAMANI. Na Bashir Yakub. WAKILI. +255 714 047 241 Mabadiliko muhimu ya Sheria yanakuja kupitia muswada wa...
11 Reactions
36 Replies
3K Views
Japo tuna bunge ambalo nalo kila mmoja anajua namna lilivyopatikana, je, haliwezi likatenda jambo jema kwa wananchi? Jeshi la Polisi, kwa nyakati tofauti tofauti limethibitika kuwa halifai kabisa...
19 Reactions
47 Replies
3K Views
Katika Mambo makubwa ambayo Mwalimu Nyerere aliheshimika na legacy yake itabaki kwenye vichwa vya Watanzania,ni umoja na mshikamano wa Kitaifa. Tanganyika chini ya dola ya Mwingereza ilitawaliwa...
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Sisi wakazi wa kingolwira majengo mapya (mtaa wa bomba la mafuta). Kuna miundo mbinu ya maji iliwekwa zamani na miradi ya Mh Mariam ditopile ambayo ilifika kwetu na maji tulikuwa tunapata vizuri...
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa ameipongeza serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kazi yake hasa ukamilikaji na kuanza kutumika kwa daraja la Tanzanite na kuziomba kamati za Bunge za...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
ACT wazalendo imeunda kamati za kisekta zitakazoiwajibisha serikali na KC Zitto Kabwe atatangaza majina ya viongozi wa kila kamati tarehe 6/2/2022 mbele ya Jukwaa la Wahariri. Hii ni sawa na...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
maafsa wapatao wanne jeshi la polisi jijini Dar es salaam,wameuza madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya bilion moja,ambayo yalikuwa yamehifadhiwa kama kielelezo katika kitengo cha madawa ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya...
5 Reactions
49 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…