Nchi hii ni wapi tunakwenda & nani atalikomboa taifa hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi hii ni wapi tunakwenda & nani atalikomboa taifa hili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, Jan 19, 2010.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  NIAKA MINGI IMEPITA TANGU TAIFA HILI LILIPO PATA UHURU WAKE, ILA KILA SIKU KUNAPO KUCHA TAIFA HILI LIMEKUWA KAMA GARI KUU KUU NA KILA BAADA YA MWENDO FULANI LAZIMA LISIMAME NAKUFANYIWA MAREKEBISHO, TAIFA LIMEKUWA NA VIRAKA NA VIPURI VYA KILA MAHALI NDAN YA INJINI HII VIMECHONGWA CHONGWA KIASI SPEED YA KWANZA YA HILI GARI IMEPUNGUWA NAKUWA 20KM/HR OR 10KM/HR. JAMBO BAYA NALAKUSIKITISHA KILA KIONGOZ AMEKUWA AKIFURAHIA KUENDESHA GARI HILI BOVU NAKUJIVUNIA KUWA GARI INAKAS NA HARI HATA KAMA IPO IMESIMAMA NA WANANCHÌ WANAPIGA MAKOFI. TAIFA LISILOKUWA NA SERA YA KWELI YA ELIMU TANGU MSING MPAKA VYUO? TAIFA LISILO NA MWANGA WA KWELI KTK MAENDELEO NA WANANCHI NA WASOMI WAKASEMA KWELI KAZ IMEFANYIKA, TAIFA LISILO KUWA NA SERA YAKITAIFA KUWATUMIA WASOMI WAKE WAKUBWA KAMA DKT NA PROF, TAIFA LINALO ONGOZWA KWA HISIA ZA WAZIR FULAN NA WATU WAKE, TAIFA LINAONGOZWA KWA SIASA ZISIZO TEKELEZEKA, TAIFA LINALO TUKUZA MANENO YA WANASIASA KULIKO WATAALAMU WAKE, TAIFA LINALOONGOZWA NA NGUVU ZAKUTOKA NJE KULIKO KUJIONGOZA LENYEWE, TAIFA AMBALO RAIS ANAWEZA KUONGEA KUNA FEDHA ZINAZUNGUKA ZUNGUKA PALE BOT WHILE KUNA SHERIA NA MIONGOZO YAKUTUNZA FEDHA NAKUZITUMIA KWA MATUMIZI MENGINE PINDI KAMA KAZ ZILIPOKUWA ZIMEKUBALIWA KWENDA HAZIKUENDA AU HAZIKUPATA MPOKEAJI KAMA EPA, TAIFA AMBALO MAJAMBAZI NA MAJIZI YAKIMA TAIFA YANAONA MAHAL PAKUKIMBILIA KUTOKANA NA UJINGA AU UDHAIFU WAKIUSALAMA, TAIFA AMBALO HALINA VISION NA VIJANA WAKE? NA MWISHO JAPO SIO MWISHO TAIFA LILILOKUBAL KUPITIA WAZIR FULAN KUUWA VIPAJI MAALUMU ILIKUFANYA MASHULE BINAFSI WAWACHUKE NA NCHI IKATULIA. HIVI JAMAN NAULIZA TUNAENDA WAPI? INANIUMA KIASI MACHOZ YANANITOKA JAMANI EMBU ANGALIEN NCHI ZA WENZETU, EMBU ITAZAMEN CHINA JAMAN EMBU ITAZAMEN MAREKAN JAMAN TAZAMEN KENYA, TAZAMEN SA, TAZAMENI GHANA NINANI ATABISHA HAWA WATU WAMEDHAMIRIA KUUTEKA ULIMWENGU KWAKUWA NA CHUMI IMARA NA SERA MADHUBUTI. VIONGOZ HAWA NIMASIKINI WAFIKIRA NA UKITAKA KUJUWA WASIKILIZE MANENO YAO SII MKAPA SII J.KWETE "SISI NI MASIKINI" BILA WOGA WALA HATA KUTETEMEKA NA UKU WAKITOA SMILE WANASEMA SISI NI MASIKINI. MIM NASEMA JAMAN HAWA MARAIS NA MAWAZIRI WANAO TUITA SISI MASIKIN THS YEAR 2010 TUWAFUTE KABISA KTK HISTORY YA SIASA TUKITAKA KUSONGA MBELE WE MUST HAVE VISIONAL LEADER. J.ROLLEN RAIS MSTAAFU WA GHANA ALIJI APIZA KUFUTA RUSHWA NA UKANDAMIZAJI KTK WATU WA GHANA AND REAL HAKULALA AKAFUTA KIZAZI KIZIMA CHA MAJAMBAZ WA SERIKALI, SISI HAPA TUNAWALEA NAKUWAPAMBA KTK MAGAZETI NAKUWAFANYA MAARUFU NO ACTIÔN! HAYATI BABA WATAIFA J.K.NYERERE AKASEMA YANI "UNAPEWA MTU UNA AMBIWA HUYU AMEIBA NA DATA HZ APA WEWE BADO UNAMCHELEWESHA? MIM NAWASHANGAA SANA" MWISHO WAKUMNUKU. HILI SIO TAIFA LAKUWA NA DEFICTY BUDGET HILI SIO TAIFA LAKUTEMBEZA MABAKULI NJE BALI NI TAIFA LAKUJA KUOMBWA MAANA SISI NI MATAJIRI WAKILA KITU, TANGU WASOMI, ARDHI, MADINI, BAHARI NA ANGA. HILI TAIFA NILAZIMA LITOKE HAPA NAKUSONGA MBELE, TAIFA HILI NILAZIMA LIMPATE MTU ATAKAYE SEMA GARI HILI NI KUU KUU NAHALIENDAN NA SPEED NA TEKINOLOJIA YA KISASA HVYO TULIBADILISHE NAKULETA JIPYA NASISI TUMSHANGILIE NASIOJIPYA LAKUAGIZA ILA TUUNGANISHE NGUVU ZETU NA KUFANYA GARI LETU JIPYA. MIM NA LAANI APSOACH ZA VIONGOZI WETU NAKUSEMA NIZAKIZAMAN KIASI LAITI TUNGEJUWA TUSINGEWAPA NAFASI, MZAZI ANAYE WAAMBIA WATOTO WAKE KILA SIKU MANENO YAKUKATISHA TAMAA. ABRAHAM LINCOLN AKASEMA NILAZIMA KTK KIPINDI CHAKE WARUSHE NDEGE NA IKAWA JE SISI HAPA?. AWA JAMA WAKISHA PATA UONGOZ BASI MATUMBO, NAFAMILIA ZINAPUMZIKA NAKUSAHAU MASIKIN WATAIFA ILI AMBAO IKIWA WATA PATA KIONGOZ MZURI ATAWAWEZESHA KU SAVE ANGALAU HATA TSH200 PER DAY AMBAYO KWA WIKI WATAKUWA NA TSH1400. AMBAPO KWA MWAKA ATAKUWA NA TSH50400. TAIFA LINAKOSA WATU WAKUWASAIDIA WAONDOKANE NA UMASIKINI ILA KUWAONGEZEA UMASIKINI. INAUMA NA INAKATISHA TAMAA. NILAZIMA TU CHANGE NA MUDA MFUPI NITAKUJA NA MAWAZO YANGU WHAT TO DO KUPATA GOOD LEADER. MUNGU IBARIK TANZANIA MUNGU UWABARIKI WATU WAKE. Thank u.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Jan 19, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,578
  Likes Received: 3,877
  Trophy Points: 280
  Can you kindly edit and arrange your work properly, like putting some paragraphs. Your idea and vision is good; however, any change we need should start individually from where we are!
   
 3. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Bravooo!
  Nimesoma mpaka naanza kutoielewa mada.
   
 4. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2010
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Anaweza kuwa na point lakini the story design and arrangement are not friendly to the reader.
   
 5. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  Nikweli but the real issue may be kwa vile nimeandika via phone. Ila nashukuru kwa mawazo yako.
   
 6. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  Pia haya ni mawazo binafsi pasipokunakili toka sehem yeyote so nivigumu kuwa ktk series u wish hata hvyo kwa long run nadhani nitakuwa nasomeka vyema zaidi. Rem "MWANADAMU SII KAMA MNYAMA PINDI AKIZALIWA,YEYE HUPITA ATUA KADHA MPAKA KUTEMBEA, SO UWENDA NA TAMBAA AU UWENDA NASIMAMA NAKUANZA KUTEMBEA NA SM TM NAANGUKA ILA WAKATI UNAKUJA NITATEMBEA NA SÍI KUTEMBEA TU ILA KUKIMBIA MAANA HIYO NDIO NDOTO YANGU" Nashukuru kwakusoma na hata kwakupata nafas kunipa makosa yangu nitajitaidi next tm mambo yawe +. God bless u.
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ukombozi wa taifa hili kama ilivyo kuwa uhuru hauta tokana na "Mesiah" mmoja bali itahitaji wananchi wote wakiongozi na kiongozi au kundi la viongozi wenyewe vision na msimamo. Na maanisha nini kuwa mwananchi ndiye mkombozi?

  1. Mwananchi asi kubali kulaghaiwa, kudanganywa na wala kupoewa rushwa ili mradi kumpatia mtu kura ya uongozi.

  2. Mwananchi ajifunze kuasses mafanikio ya kiongozi fulani punda muda wake unapo karibia kuisha. Hii itasaidia kujua kumchagua au kuto mchagua tena na kama kiongozi huyo hata gombea tena itasaidia mwananchi kujua kiongozi wa aina gani ni wa kuchagua au kuto kuchagua.

  3. Mwananchi ajifunze kumjali mwenzie, Kwa maana aliye nacho ajali yanayo mtokea asiye nacho. Aliye Kusini mwa Tanzania ajali ya kaskazini na aliye mashariki ajali ya magharibi. Tuondokane na ile dhana ya ilimradi mimi nipo sawa basi mwengine shauri zake.

  Mwananchi atakavyo jifunza yote haya basi kwa ujumla wetu sisi tutakua ndiyo wakombozi wa taifa hili. It is a collective effort. Kama wengine hatu changii na wala kuunga mkono basi hata atokee nani hawezi kufanya chochote. Tukumbuke hata Obama alipo taka kuleta change ilichukua taifa zima kumchagua.
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  nipe password yako ni edit.
  maana iko bomba lakini mpangilio tu.
   
 9. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Good! sasa edit basi tupate u-hondo.

  ILA MI NADHANI UTEMBEE MKONG'OTO KWANZA NDO TUKAE SAWA. ATOKEE MJEDA(MWANAJESHI) MMOJA CRAZY ATUNGUE TUNGUEEEE.......TUTWANGANEEEE...TUKIMBIE MAJUMBA YETU YA KIFISADI...JAMAA WABAKE WAKE ZETU, TUSHINDWE KWENDA SUPERMARKET.....YAANI MKONG'OTO UTEMBEE KISAWASAWA, YAANI KISOMALI VILE.

  BAADA YA HAPO HII NCHI NDO ITAKUWA NA ADABU...VINGINEVYO...OOOH CCM DAIMA. CHAMA CHA MAFISADI CCM CCM CCM CCM!!!!

  NGEDERE WAKUBWA!
   
 10. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  TumainEl,
  Uliyoandika yanaeleweka vizuri tu usikatishwe tamaa. Kama walivyoshauri wengine unahitajika mpangilio ili msg isomeke vizuri zaidi.

  Kwa maoni yangu, nchi yetu sasa hivi inahitaji "Mesiah" atakayeweza kujitoa muhanga akajitokeza na kusimamia ukombozi mpya wa nchi yetu. Mesiah atahitaji kutafuta wanafunzi wake watakaomfuata, wakasaidia kuhubiri ili kwa nguvu za Muumba wetu taifa liweze kukombolewa.

  Mesiah huyo kwanza anapaswa awe orator mzuri ili aweze kufikisha ujumbe kwa wananchi na kupata wanafunzi na wafuasi wa kutosha kuweza kuleta mabadiliko yanayohitajika.

  Watanzania wanahitaji na wanalilia mabadiliko kimya kimya majumbani mwao, makazini, mitaani, vijiweni n.k.. Anakosekana mtu wa kusimama na kuwaunganisha wananchi ili vilio vyao viweze kuleta impact, kusikika kuweza kuleta mabadiliko.

  Nani miongoni mwa wakereketwa ana uwezo wa kuwa 'Mesiah' tunayemhitaji?
   
 11. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135

  Je hizo nchi ambazo zimeendeshwe "KISOMALI" pamoja na Somalia yenyewe zime fanikiwa? On what basis(giving an example which shows it has worked) do you say hiyo ndiyo tunayo hitaji?
   
 12. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2010
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Very inspitational. Thought provoking.
  It might take us time lakin change will come. We need kuelimisha watu kwanza kwamba mafanikio yanaonekana kwa macho si mpaka waubiriwe katika majukwaa, vipindi kama MAFANIKIO YA SERIKALI YA WAWMU YA NNE au mawaziri kuzunguka nchi.
  Haiitaji mtu uwe na elimu kubwa kutambua kwamba hii nchi is going down the drain. We are on the wring track. Tumepoteza mwelekeo. Hatuna viongozi. tuna watawala wasio na chembe ya uzalendo. Walafi. Wasanii. bla bla bla kukichA, 'TUMEFANYA HILE NA LILE' na wanaonyesha fugures and statistics wanajua waotu.
   
 13. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2010
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,648
  Trophy Points: 280
  JAMANI MWANIKUNA NAJIHISI NIPO SHALO THE WAY MNA MA POINTS. "WE DON'T HAVE A PROBLEM TO SOLVE WE JUST HAVE A DECISION TO MAKE". NAWASHUKURU WANAMAPINDUZI NINA IMAN TAIFA HILI LITAFIKA PALE TWAITAJI LIFIKE. God bless u all.
   
 14. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #14
  Jan 19, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280

  Mawazo yako ni mazuri lakini hayaeleweki kwa wasomaji wengi. Kuwa na mawazo mazuri hakuna maana kama huwezi kuyafikisha mawazo hayo kwa walengwa; mawasiliano ni jambo la muhimu. Ndiyo maana katika kazi nyingi waajiri wanapima uwezo wa mawasiliano (communication skills) kama kigezo kimojawapo nje ya uweo wa kazi yenyewe (professional qualifications).
   
 15. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #15
  Jan 19, 2010
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Alichoandika Tumaineli

   
Loading...