ACT Wazalendo yaunda Kamati za kuiwajibisha Serikali. Zitto Kabwe kuongea na Jukwaa la Wahariri 6/2/2022. Pengo la CHADEMA lazibwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,939
141,914
ACT wazalendo imeunda kamati za kisekta zitakazoiwajibisha serikali na KC Zitto Kabwe atatangaza majina ya viongozi wa kila kamati tarehe 6/2/2022 mbele ya Jukwaa la Wahariri.

Hii ni sawa na Baraza kivuli la mawaziri ambalo mara ya mwisho lilikuwa chini ya Chadema.

Maendeleo hayana vyama!
 
ACT Zanzibar ambako ina "wafuasi" imekataliwa! You, CCM B aka ACT are fumbling around!
 
Ni vema iwapo sheria ya vyama vya siasa inaruhusu kufanya hivyo. Vinginevyo ni mbwelambwela tu, the programme could be functionless.
 
Zitto amepwaya sana, baada ya ACT kutoka kwenye reli ya kupambana na CCM na kubakia kuiunga mkono serikali sasa wamebuni upuuzi mpya.
 
ACT Zanzibar ambako ina "wafuasi" imekataliwa! You, CCM B aka ACT are fumbling around!
I believe this, wanzanzibar mpaka sasa hawana chama chenye msimamo and they're out of organising kujua waende wapi.
 
Back
Top Bottom