CCM yatoa ratiba ya kuomba kuteuliwa kugombea nafasi ya Naibu Spika wa Bunge

Baraka Mina

JF-Expert Member
Sep 3, 2020
581
574
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewatangazia wabunge wa Chama hicho ratiba ya mchakato wa nafasi ya unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

FB_IMG_1644037255306.jpg
 
Daktari Hamisi Kigwangala tayari ameshachukua fomu,Bila shaka naibu spika atakuwa mwanaume ili kuweka usawa.

Binafsi natamani kumwona mbunge kama Jerry Slaa, Hamfrey Polepole au Josephat Gwajima anakuwa naibu spika.
 
Tangu uhuru hatujawahi kuwa na Spika au Naibu Spika kutoka Znz…alisikika mpambe wa Mjumbe mmoja wa Kamati kuu kule Mara
Daktari Hamisi Kigwangala tayari ameshachukua fomu,Bila shaka naibu spika atakuwa mwanaume ili kuweka usawa.

Binafsi natamani kumwona mbunge kama Jerry Slaa, Hamfrey Polepole au Josephat Gwajima anakuwa naibu spika.
 
Yeyote tu anatosha, course hakuna muuujiza au badiriko lolote kiitikadi au kimfumo atakuja nalo, kila kitu anakuta kipo yeye ni kuvaa joho na kutekeleza tu.
 
Daktari Hamisi Kigwangala tayari ameshachukua fomu,Bila shaka naibu spika atakuwa mwanaume ili kuweka usawa.

Binafsi natamani kumwona mbunge kama Jerry Slaa, Hamfrey Polepole au Josephat Gwajima anakuwa naibu spika.
Endelea kuota kwani hulipii ndoto.
 
Back
Top Bottom