Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Jul 15, 2012.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nawaletea maelezo live
   
 2. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tunasubiri mwagika
   
 3. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Mkuu leta habari hiyo. Au kama kuna sehemu kwenye mtandao tunaweza kusikiliza live tupe link
   
 4. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #4
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,094
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Au yamechakachuliwa mkuu maana hata huku wamo
   
 5. i

  ibange JF-Expert Member

  #5
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kanisa la Ufufuo halijawahi kutangaza kuwa kuna mtu alikuja kutubu
   
 6. TAMKO

  TAMKO JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mchungaji Gwajima amesimama na anaanza ufafanuzi
  Update:

  Anasema yeye anafafanua kwa habari ya washirika wake ambao wamesikia taarifa husika. Kwanza amen za na kuwauliza washirika wake ni nani amesikia taarifa hizo na kwa ujumla umati wa maelfu ya waumini wameitikia

  UPDATE

  Kwamba kwenye siku ya ibaada majira ya tarehe Tajwa huu mwananchi mmoja alizuka kanisani, na akakutana na walinzi wa kanisa. Na wakamhoji shida yake nini, na kwa kuwa alikuwa na Shari kubwa aliwaambia lengo lake ni kumwona mchungaji kiongozi

  UPDATE
  mtu huyo aling'ang'ania kwa Shari kumwona mchungaji kiongozi na kwa utaratibu si rahisi kumwona yeye pasipo kujua sababu.. Kwa hasira akaanza kuropoka kwamba yeye ni mafia na kwamba yeye ndiye aliyemteka Ulimboka

  UPDATE

  BAADA YA hapo walinzi si hao wakajua si mtu mwema, Wakampeleka polisi..

  UPDATE

  Baada ya hapo walinzi hao wakapigiwa cm polisi kwa ushahidi zaidi, na walipofika huko wakamtambua huyo kijana, na kweli huyo kijana mbele Yao akakiri kwamba alifika hapo kanisani.. Na pia kwamba aliropoka maneno yote mbele Yao . Na akakiri mbele Yao kwamba yeye huwa Ana roho inamuingia na kuwa Kama mwendawazimu na kuanza kuropoka maneno ambayo hata yeye hajui yanapotokea.. Hivyo walinzi pamoja na Polisi walikubaliana kwamba mtu huyo ni Kama mwendawazimu na ni Velma mambo hayo wakayapuuza na Kila mtu aende lee na shughuli zake.. Walinzi hao wakarudi kanisani na kuripoti taarifa za mtu huyo kwamba kuna mtu walimkamata na kumfikisha kituoni na baada ya hayo walipigiwa simu wakatoe ushahidi.. Na matoke yake yote..

  Siku ya tatu ndipo

  UPDATE

  NIMEPATA AUDIO CLIP YAKE NADHANI NIFANYA KUIUPLOAD HUMU
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Thanks maitario, your quick update is appreciated
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Ibada imeshaanza au bado? Manake katika madhehebu mengine mpaka ifike wakati wa maubili inaweza kuchukua zaidi ya saa moja
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kova nae atakuwa mchungji siku si nyingi!
   
 10. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #10
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupe update basi
   
 11. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Haya hiyo point moja, Kova kashapigwa bao la kwanza dakika ya pili ya mchezo
   
 12. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  dah!madhabahu sasa kugeuka majukwaa ya siasa....
   
 13. Daniel Anderson

  Daniel Anderson JF-Expert Member

  #13
  Jul 15, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 879
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwagika mkuu tupe habari wapate aibu yao ya mwaka wauaji hawa
   
 14. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #14
  Jul 15, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  enhe! Tiririka
   
 15. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #15
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  What's not happening?
   
 16. i

  ibange JF-Expert Member

  #16
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Jumapili iliyopita niliongoza waumini kulaani waliomteka Dr Ulimboka, tukalaani serikali kwa kushindwa kuchukua hatua na pia madaktari kwa vifo vilivyotokea
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Mods please unganisha hii na ya Maitario,tufuatilie moja
   
 18. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #18
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Cd imekwama au haupo kanisani
   
 19. i

  ibange JF-Expert Member

  #19
  Jul 15, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Baada ya ibada ya jpili alikuja mtu ambaye yupo kama kichaa akasema anataka amwone Mch Kiongozi. Walinzi walimkatalia kwa vile hawakumwelewa. Mtu huyo akasema anataka kumweleza mchungaji kuhusu wao kumteka Dr Ulimboka
   
 20. Litvinienko

  Litvinienko JF-Expert Member

  #20
  Jul 15, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 313
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hilo kanisa lake ni eneo kazawadiwa na serkali,
  Viwanja vya Tanganyika pekaz
  Lazma watakuwa washampa offer he cannot refuse
  .....waiting!
   
Loading...