Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Maagizo ya waziri wa Nishati Mh. January ni kwamba kutokana na Wananchi kutopewa habari juu ya mikakati pamoja na kukatika umeme basi kitengo husika kimefeli hivyo kitengo hicho kibomolewe na...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Huyu bwana stahili yake ni kukuhoji kwa muda mrefu sana. Yaani kielelezo kimoja kinaweza kwake kikawa na maswali Zaidi ya 25. Ana utaratibu wa kuhoji mpaka kufikia muda wa kuhairisha ili siku...
95 Reactions
218 Replies
17K Views
Umoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone...
9 Reactions
72 Replies
6K Views
Mkurugenzi wa Magonjwa ya kitropiki kutoka WHO , Dr Mwele Malecela amesema wataalamu wa sekta mbalimbali wafanye kazi kwa kuzingatia weledi bila woga. Dr Mwele kwa sasa anafanya kazi Makao Makuu...
6 Reactions
58 Replies
6K Views
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la ufadhili wa maendeleo ya Kilimo duniani (IFAD) Bi. Jacqueline Machangu-Motcho...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Licha ya kuwa wapo watanzania wanamlaum Rais John Pombe Magufuli kwa mambo kadhaa lakini huko nje ya mipaka yetu Kuna watu wanamkubari Sana kwa jitihada zake za kuliletea taifa letu miradi ya...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! Nazungumzia Rais kushitakiwa amalizapo muda wake (kama alifanya makosa akiwa madarakani). Asili ya sisi Waafrika (watu weusi) ni kupenda kukomoana, majungu na visasi...
1 Reactions
55 Replies
3K Views
Nimegushwa na kauli hii ya Wakili wa Serikali katika kesi ya Mbowe na wenzake; Wakili wa Serikali Nassoro Katuga: Mheshimiwa Jaji Tumesikia Hoja ya Wenzetu Kutoka kwa Wakili Peter Kibatala...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Kinacholisumbua taifa letu la Tanzania kwa sasa ni kwamba watu hawajakaa kwenye nafasi zao kama walivyojaaliwa na mwenyezi Mungu kwa karama walizopewa. Kazi za Wito yaani kiutumishi kwa mujibu wa...
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Dr. Mwele alijua yuko sahihi na wao walijua yuko sahihi ndio maana hadi leo hawaachi kumtaja. Tundu Lissu alipigwa risasi zaidi ya 16 si kwa sababu alikuwa na kosa, bali kosa lake ni kuuzungumza...
4 Reactions
42 Replies
4K Views
Rais wetu mpendwa mleta maendeleo mtetezi wa wanyonge,ombi letu kwenye matukio makubwa kama haya ya kitaifa Rais muondoeni mkuu wa mkoa kwenye ratiba Aje yule kaimu japo sisi/mimi ni ccm na...
24 Reactions
106 Replies
14K Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeunda Baraza la Mawaziri kivuli ambalo jukumu lake litakuwa kuisimamia na kuishauri serikali. Zitto Kabwe amesema chama chake kimeamua kuziba ombwe lililosababishwa na...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Wanabodi, Inabidi tusome nyaraka za wakati katika kipindi ambacho wapinzani wanaishiwa nguvu. Labda kupungua kwa ushawishi wa vyama vya upinzani umesababishwa na chama tawala. Vile vile labda...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Rais wa nchi akizindua mitambo ya umeme pale Kinyerezi hapa jijini DSm amesema "Nilianza kazi ya Urais na mgao wa umeme, namaliza pia na mgao wa umeme, kazi kweli kweli". Rais wa nchi yetu...
9 Reactions
131 Replies
15K Views
Wanabodi Niko eneo la Kinyerezi kuwaletea Uzinduzi wa Mtambo Wa Gesi wa Kinyerezi 1 unaifanywa na Rais Dr. Jakaya Kikwete. Kwa sasa wangeni mbali mbali wakiwemo mabalozi wanaoziwakilisha nchi...
0 Reactions
69 Replies
14K Views
Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo; AWAMU YA 6 KAZINI Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Waziri mkuu mh Majaliwa Kassim Majaliwa amesema patahitajika umakini mkubwa sana kama itaonekana kuna haja ya kuligawa Shirika la Umeme Tanesco. === Picha: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Waziri...
2 Reactions
36 Replies
3K Views
Waswahili wanasema unapoupanda mti wa mchongoma miba inakuwa juu hivyo macho yanaona na unaikwepa ILA wakati wa kushuka miiba iko chini na nyayo/miguu haina macho hapo ndio kwenye kasheshe. Ndipo...
13 Reactions
45 Replies
4K Views
Lengo la ziara hii ni lilelile la siku zote, KUSAMBAZA MOTO WA KONGAMANA LA KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI. Hivi ndivyo walivyopokelewa.
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…