Mwanzoni kabisa wa kesi ya Freeman Mbowe na makomandoo, Wakili msomi Peter Kibatala alisema miongoni mwa mashahidi watakaomtetea Mbowe ni pamoja na IGP na DC mstaafu Lengai Ole Sabaya.
Nauliza...
Nimemsikia Waziri Makamba akisema apewe miaka minne Kama Kalemani na Kero zote za TANESCO atakuwa kazimaliza. Kiuhalisia Miaka minne haitoshi kuiweka TANESCO Sawa, na matatizo naona ndo naona...
Moja ya jukumu kubwa la usalama wa Taifa ni kuhakikisha usalama wa nchi ipo salama lakini pia kutengenezea nchi fursa za kupaa kiuchumi.
Kwa locations ya Tanzania ilivyo inwezekana kabisa...
Kamanda Sirro aliorodheshwa Kama Shahidi muhimu kwenye kesi ya utetezi wa kina Mbowe.
Inawezekana Sana atakapofika Mahakamani katika examination in Chief, akawa anajibu maswali kwa jeuri akiamini...
Sijawahi kufanikiwa kuifahamu CHADEMA wala sijawahi kujua ndani ya CHADEMA ni nani anaweza kusaidiwa kwa michango pale anapopatwa tatizo. Nikikumbuka Tundu Lissu alipopatwa na tatizo alisaidiwa na...
Hii kesi serikali ilijiaminisha hatari, Sirro akatangazia dunia kuwa wanao ushaidi wa kutosha wa kumtia hatiani Mbowe, Tena akataja wanao mashaidi 24. Walidhani wataendesha kesi gizani, ndo maana...
Walioanza siyo tu UDOM, ni UDSM na OUT. SUA sijawahi kuwasikia wakitoa digrii za kisiasa kwa wanasiasa. Kwa ufupi wanasiasa wanaharibu elimu ya nchi hii kwa kushirikiana na viongozi wa vyuo ambao...
Ubaya ya kuwa na chama ambacho mwenyekiti ndio one man band. Yaani ndio master minder, mpanga mikakati na hata mhamasishaji.
Kesi imevuruga mipango ya chama chetu kabisa. Uongozi umeyumba kabisa...
Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine.
Rais Samia amesema hayo...
Ni ushauri kwa bunge, wabunge na Spika mpya Dr Tulia Ackson.
Jaribuni kuishauri serikali ili mipango ya kiuchumi ihamishiwe wizara ya Viwanda na Biashara kisha ateuliwe mbunge nguli wa Uchumi...
CCM ni chama cha ukombozi, na vyama vingi vilivyopigania Uhuru wa nchi zao havipo tena madarakani lakini CCM bado ipo tu.
Yafuatayo ni baadhi ya michango iliyosababisha CCM iendelee kubaki...
Huo ndio ukweli. Kama.wewe ni Mtanganyika na una driving licence ya Tanzania hurusiwi kuendesha gari Zanzibar hadi upewe foreign driving permit. Ila wao wala hawaulizwi cha permit wala nini, kwa...
Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Tanzania, Balozi Edwin Rutageruka aliyefariki dunia 13 Februari, Hospitali ya Agha Khan, Dar es Salaam...
Hivi karibuni, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amekuwa akitoa majibu na kauli zisizojitesheleza pale anapotakiwa kutoa ufafanuzi kuhusu mambo ya msingi yanayohusu masuala ya...
Jana baada ya kusikia kauli za Waziri Simbachawene moyo wangu ulipigwa ganzi kwa muda.
Nilitarajia kuja kufikia majira kama haya tutakua na waziri wa mambo ya ndani mpya.
Waziri Simbachawene...
Itoshe tu kusema kwa sasa hatuoni faida yoyote ya waziri wa nishati, huduma mbovu na za hovyo za sasa kwa mara ya mwisho tuliziona miaka ya 2012 huko
Hapa nilipo mpaka sasa hakuna umeme tangu...
1. Watuhumiwa watatu kwenye hii walikamatwa mwaka 2020 na kuhojiwa Kisha kufunguliwa mashtaka yasiyo ya Ugaidi.
2. Watuhumiwa watatu baada ya kutoa maelezo Yao mwaka 2020 walipokamatwa awakuwahi...
Mwandishi wetu, Arusha
Waziri wa Nishati, January Makamba ameagiza kuondolewa Mara moja Afisa Habari wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) huku akiagiza kuvunjwa kwa idara ya uhusiano wa shirika...
Waziri wa viwanda na biashara Dr Kijaji amezitaka mamlaka zinazohusika kuwachukulia hatua wafanyabiashara waliopandisha bei za Soda, Cement, Nondo na bidhaa nyingine kinyume cha utaratibu.
Dr...