Nilimsikiliza Zitto Kabwe, mmoja wa vigogo katika viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani hapa Tanzania, akitoa hotuba yake katika mkutano wa Baraza la Vyama vya siasa. Nilimsikia akimuomba...
Tuhuma za askari polisi kutesa na kupiga watuhumiwa zimekithiri hapa Tanzania. Iwe ni kwa kesi ndogo hadi kubwa linapokuja suala la kuandika maelezo ya onyo ili yatumike mahakamani, watuhumiwa...
Kuna taarifa kwamba Kanda zote nchi nzima zimeandaa usafiri wa kuhudhuria hukumu hiyo ndogo , ambayo inatarajiwa kutoa mwelekeo iwapo Washitakiwa hao watakutwa na kesi ya kujibu au La
Hii hapa ni...
Aisee kumbe usione vyaelea vimeundwa. Hii inatupa picha gani nyie wataalam
Mgombea wa Chama kikuu cha Upinzani Mh Tundu Lissu alikuwa akilindwa na hawa ma x commandos yaani Khalfani Bwire, Adamu...
Nauliza hivi kwa mshangao sana. Ni kuhusu suala la maji. Yapo maeneo maji wanapata kila siku. Kuanzia Bima kwenda hadi relini kule maji ni kila wakati. Mshangao kwao ni maji yakikatika.
Maeneo...
Zababu za kujiuzulu ni hizi hapa.
1. Aliteua bodi ya TANESCO yenye watu walio na kashfa nyingi. Hapa utamkuta Majaar wa Rex Attorneys, Gachuma na wengineo ambao wana historia ya kuwa na kashfa...
===
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe. Ummy Mwalimu amewataka Wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida kuzitunza barabara zilizojengwa na...
MRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497.
Mradi huo unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira...
Swali langu limejikita kutokana na ukweli kwamba barua ya Msemaji wa Ikulu hajasema wamekutana lini?
Pili, what if kukatishwa kwa ghafla kwa kesi ya Mbowe kumetokana na preemptive measures ya hii...
Pamoja na kubezwa elimu yake Joseph Musukuma ni mbunge anajiamini na hutoa ya moyoni na wahusika kama ni kushupaza shingo washupaze lakini ujumbe unawafikia mojakwamoja.
==========
Mheshimiwa...
Chama Cha Mapinduzi Kwa miaka zaidi ya mitatu walifunga milango ya fahamu waliyopaswa kutumia kuwasiliana na Mwenyenzi Mungu kumwombea hekima wakamruhusu shetani atumie ndimi zao kupandikiza chuki...
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu imeibuka na mfumo mpya wa kujulisha umma Serikali inayoyafanya kwa njia ya Kiingereza. Hii imeminya umma usiojua Kiingereza kutojua yanayoendelea nchini...
Katika jiji la Dodoma (makao makuu ya chama na serikali) mifuko ya plastic imerejea kwa kasi kwelikweli, ukienda sokoni, ukanunua matunda unawekewa kwenye mfuko wa plastic kama ile mifuko ya...
Nimesikitiswa sana na wale wasomi wanao jaribu kuaminisha Watanzania kwamba kuna mikopo ya bank za biashara mizuri kwa serikali. Mikopo yenyewe mingi ni ya miaka 5 na riba zinakuwa 8%~10%. Hii...
Wanaomshauri Rais Samia wamshauri akutane na viongozi wa upinzani sasa na akisubiri zaidi ndiyo itakuwa ngumu zaidi.
Kwa sasa ni rahisi kukutana nao na kuwaambia umma ni kujadili corona, katiba...
Jenerali Ulimwengu amemaliza kutia yake ya moyoni kuhusu uspika wa Ndugai.
Amenena kuwa kumkosoa Mama Samia sasa hivi, wakati hakuwahi hata siku moja kumkosoa Magufuli, ni unafiki wa hali ya juu...
Mwanzoni kabisa wa kesi ya Freeman Mbowe na makomandoo, Wakili msomi Peter Kibatala alisema miongoni mwa mashahidi watakaomtetea Mbowe ni pamoja na IGP na DC mstaafu Lengai Ole Sabaya.
Nauliza...
Nimemsikia Waziri Makamba akisema apewe miaka minne Kama Kalemani na Kero zote za TANESCO atakuwa kazimaliza. Kiuhalisia Miaka minne haitoshi kuiweka TANESCO Sawa, na matatizo naona ndo naona...