Jenerali Ulimwengu: Spika Ndugai alikuwa mnafiki

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,327
24,209
Jenerali Ulimwengu amemaliza kutia yake ya moyoni kuhusu uspika wa Ndugai.

Amenena kuwa kumkosoa Mama Samia sasa hivi, wakati hakuwahi hata siku moja kumkosoa Magufuli, ni unafiki wa hali ya juu.

Haya siyasemi mimi Jidduzz, ya Jenerali Ulimwengu haya.
Na yuko spot on.
Wengine na wasikie, wamwache mama afanye kazi.

IMG-20220119-WA0035.jpg
 
... kwamba Ndugai ndiye Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili hilo halina ubishi ila ndio hao wanaofaidi "keki ya taifa", atatunzwa na serikali hadi atakapokufa hata mazishi yake yatagharimiwa na serkali. He is completely useless kama anavyosema Jenerali. Bila Katiba ya Wananchi tutaendelea kubaki hivi hivi.
 
Wengi husema Magufuli aliogopwa na wote isipokuwa Lissu na Mbowe aliposema anamuogopa Mungu pekee wakati wa utawala wa Magufuli.

Naamini Ulimwengu anajua vizuri huko CCM hakuna mwenye ubavu wa kumpinga mwenyekiti wao, hata huyu aliyepo ikulu sasa hakuthubutu kufungua mdomo wake kumpinga Magufuli huku naye pia sasa hawezi kupingwa na yeyote, unafiki ni tabia ya CCM.

Kwangu afadhali Ndugai kuna wakati aliongea, wengi huko CCM huamua kubaki kimya forever.
 
Kuongea kimakuwa kitendo kirahisi sana kwa aatanzania bila kujali wao wamefanya nini.
 
Ama kweli alie juu mngoje chini..
Ndungai pwaa chini kabisa na wale aliowatisha wanaandika Obituary huku yupo hai...
 
Wakiwa kwenye ma VXR V8, lenye kiyoyozi cha kukulaza, wanajisahau hawa wanasiasa.

Sasa hivi wamejipitishia marupurupu mpaka kufa, ndio kabisa wamekuwa wafalme hapa duniani, na wanafikiri "nani kama mimi, hakuna wa kunibabaisha".

Kumbe pwaa.....ndugai sasa haonekani
 
Ulimwengu anasumbuliwa na msongo wa mawazo kama Lissu na Lema.

Ulimwengu huwa haeleweki anasimamia nini?

Ulimwengu huwa namfananisha na Hashim Rungwe!
 
Wengi husema Magufuli aliogopwa na wote isipokuwa Lissu na Mbowe aliposema anamuogopa Mungu pekee wakati wa utawala wa Magufuli.

Naamini Ulimwengu anajua vizuri huko CCM hakuna mwenye ubavu wa kumpinga mwenyekiti wao, hata huyu aliyepo ikulu sasa hakuthubutu kufungua mdomo wake kumpinga Magufuli huku naye pia sasa hawezi kupingwa na yeyote, unafiki ni tabia ya CCM.

Kwangu afadhali Ndugai kuna wakati aliongea, wengi huko CCM huamua kubaki kimya forever.
Maccm yote ni manafiki
 
... kwamba Ndugai ndiye Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili hilo halina ubishi ila ndio hao wanaofaidi "keki ya taifa", atatunzwa na serikali hadi atakapokufa hata mazishi yake yatagharimiwa na serkali. He is completely useless kama anavyosema Jenerali. Bila Katiba ya Wananchi tutaendelea kubaki hivi hivi.
kwamba Ndugai ndiye Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili hilo halina ubishi ila ndio hao wanaofaidi "keki ya taifa
He is completely useless kama anavyosema Jenerali. Bila Katiba ya Wananchi tutaendelea kubaki hivi hivi.
 
Technically the main take on this issue is that the mistake was done not by criticizing Samia (he was right to do so) ; But by not Criticizing the former president (thus being spineless - no guts) and thus by doing differently to Samia is hypocritical

My humble Opinion is I had rather continue with this Hypocrite who is critical than the now (arguably non hypocrite though I see her Different) who is not critical to be in a position which needs critics
 
kwamba Ndugai ndiye Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili hilo halina ubishi ila ndio hao wanaofaidi "keki ya taifa
He is completely useless kama anavyosema Jenerali. Bila Katiba ya Wananchi tutaendelea kubaki hivi hivi.
Nakazia
 
Watu wasojali wenzao ni nyani. Ccmama ni kama nyani tu hawawajali wengine.
 
... kwamba Ndugai ndiye Spika wa hovyo kabisa kuwahi kutokea katika historia ya taifa hili hilo halina ubishi ila ndio hao wanaofaidi "keki ya taifa", atatunzwa na serikali hadi atakapokufa hata mazishi yake yatagharimiwa na serkali. He is completely useless kama anavyosema Jenerali. Bila Katiba ya Wananchi tutaendelea kubaki hivi hivi.
Ni sawa, useless, fala, lofa ..LAKINIII... atafwaidi keki ya taifa kuliko ambaye si fala, ni useful na wala si lofa etc...

NB: Unapokuwa USEFULL halafu unachozalisha anakula yule USELESS ... Jipime ili uone nani ni useless kweli kati yenu
 
Ulimwengu anasumbuliwa na msongo wa mawazo kama Lissu na Lema.

Ulimwengu huwa haeleweki anasimamia nini?

Ulimwengu huwa namfananisha na Hashim Rungwe!
Hakuna mtanzania asiye na msonho wa nawazo,ulimwengu na rungwe wana maisha mazuri kuliko unavyofikiria
 
Jenerali Ulimwengu amemaliza kutia yake ya moyoni kuhusu uspika wa Ndugai.

Amenena kuwa kumkosoa Mama Samia sasa hivi, wakati hakuwahi hata siku moja kumkosoa Magufuli, ni unafiki wa hali ya juu.

Haya siyasemi mimi Jidduzz, ya Jenerali Ulimwengu haya.
Na yuko spot on.
Wengine na wasikie, wamwache mama afanye kazi.

Spika Ndugai anaweza kumuita Jenerali katika kamati ya maadili.Muonyeni Ulimwengu
 
Back
Top Bottom