Mtazamo wako kesi ya Mbowe na Wenzake watatu

JUMA KIDEVU

Senior Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
150
Reaction score
309
Hii ni Summary. Utaongezea nyama ili ambaye hakuwa anaifuatilia apate kuelewa zaidi.

Kwa mtazamo wako Je?. wana kesi ya kujibu au Lah.

Kwa mtazamo wangu.
Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu kwenye suala la ugaidi. Kuleta taharuki ya kisiasa na kiuchumi
(Hata kama walikuwa na nia, ila hakuna ushahidi).

Kwasababu zifuatazo;-
1.Mbowe ameshatakiwa kufadhili ugaidi ila mpaka shahidi wa 13 jana . Hajaweza kuonyesha pasipo kuwa na shaka kwamba zile hela jumla 699,000/- Mbowe alizokuwa anatuma kwa Urio kwa wakat tofauti tofauti ili awape washtakiwa 3 ilikuwa ni kufadhili ugaidi.
Maelezo ya ushahidi wa kimtandao zile hela ni kwaajili ya Kuwarudishia naul zako walivyofika Morogoro.

Kuwapa nauli kwenda Moshi
Kuwapa posho ya kwenda kununua nguo suti na kombat kama zile wanazovaa Chadema kwa ajili ya kumpokea Lissu. July 31,2020

2. Hoja ya Denis Urio, kuwa May,2020 wamekutana na Mbowe , maeneo ya Mikocheni na akamuomba amtafutie Makomandoo waliostaafu ili wafanye nchi isitawalike, ni ya mdomo na hakuna ushahidi wowote hata wa kurekodi sauti ya Mbowe, wala Telegram aliotoa Shahidi Urio. Kwahiyo kuna shaka kwenye hili pia.

3. Mshatikiwa wa kwanza na wa pili walikutwa mali inayodhaniwa kukusudia kufanya ugaidi ambayo ni Pistol yenye Risasi 3.. (Hawa Walikamatwa pia na madawa ya kulevya, bado wana kesi Moshi, ikiisha hii). Hawa wana kesi pia ya kutaka kumdhuru Sabaya.(haijasomwa bado - Iko kisutu). Hawa walikamatwa Rau madukan karibu na kwa dada ake mshtakiwa wa Kwanza.

4. Mshakiwa wa tatu . Alikamatwa Changombe, siku 10 mbele ya washtakiwa wa kwanza.Aug 2020. anashakiwa kula njama. Kukaa vikao na kukutwa na Raman na michoro ya inayodhaniwa vituo vya mafuta-Dar, ili kuvilipua.

Watatu wote walikamatwa kabla ya 9. August 2020. kabla hata ya Uchaguzi wa 28, October 2020.

Mbowe amekamatwa July 2021.

Mara baada ya kukamatwa Mbowe.

23 August,2021 Kesi ilisomwa Mahakama ya Kisutu.
Na walishtakiwa (wote wanne), kukaa vikao na kula nyama ya kutaka kuwadhuru Viongozi wa Serikali hasa Sabaya . (Hii bado pia haijasomwa. Ikiisha hii kesi itahamia kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]).

Sept 2021 , Kesi ikahamishiwa kwenda Mahakama ya Uhujumu Uchumi. Kwasababu waliona sasa ni kesi ya kigaidi.

Wakasomewa mashtaka 2.
1. Kukaa vikao vya kula njama kutaka kufanya matendo ya Kigaidi.
2. Mbowe kufadhili ugaidi.

Ambao sasa baada ya mashahidi wa Jamuhuri kusikilizwa. Mahakama inatakiwa iamue je wana kesi ya kujibu au lah.

Toa mtazamo wako jinsi unavyoielewa kesi baada ya kuifuatilia.
 
1644988615264.png
 
Fuatilia watoa shahidi michongo, ma kupanda kwao vyeo Kila mmoja ni baada ya kutekeleza jukumu katika mchongo Fulani, Kwa maelekezo ya wenye maslahi.
Kuna watuhumiwa 2 , including Kaaya (ambaye aliwah kuwa mfanyakaz wa Sabaya).
Walikaa ndan mwaka mzima.toka Aug 2020.
Na baadae July 2021 , siku 10 kabla ya Mbowe Kukamatwa, waliachiwa huru.
Kwamba Wameona hawana kesi ya kujibu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Jina la Kaaya lipo ndani ya wale mashahidi 24 wa jamuhuri.
Ila jamhuri imefunga ushahidi bila kumuita. Sasa kwann walimuweka?.
Maana kaaya anahusikaje shahidi kesi ya Ugaidi?.

Yaan Polisi yetu hii ina shida sana.
 
Kimsingi hawana kesi ya kujibu kutokana na udhaifu wa ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka, wameshindwa ku prove vitu vingi vilivyoibuliwa kwenye kesi beyond reasonable doubt.

Lakini kwa sababu kesi yenyewe ni ya mchongo kutokana na viashiria vingi vilivyooneshwa ikiwemo tabia za majaji waliopata kuisikiliza kesi husika, naamini Mbowe na wenzake watakutwa na kesi ya kujibu ili watimize malengo yao ovu.
 
Hii ni Summary. Utaongezea nyama ili ambaye hakuwa anaifuatilia apate kuelewa zaidi.

Kwa mtazamo wako Je?. wana kesi ya kujibu au Lah.

Kwa mtazamo wangu.
Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu kwenye suala la ugaidi. Kuleta taharuki ya kisiasa na kiuchumi
(Hata kama walikuwa na nia, ila hakuna ushahidi).

Kwasababu zifuatazo;-
1.Mbowe ameshatakiwa kufadhili ugaidi ila mpaka shahidi wa 13 jana . Hajaweza kuonyesha pasipo kuwa na shaka kwamba zile hela jumla 699,000/- Mbowe alizokuwa anatuma kwa Urio kwa wakat tofauti tofauti ili awape washtakiwa 3 ilikuwa ni kufadhili ugaidi.
Maelezo ya ushahidi wa kimtandao zile hela ni kwaajili ya Kuwarudishia naul zako walivyofika Morogoro.

Kuwapa nauli kwenda Moshi
Kuwapa posho ya kwenda kununua nguo suti na kombat kama zile wanazovaa Chadema kwa ajili ya kumpokea Lissu. July 31,2020

2. Hoja ya Denis Urio, kuwa May,2020 wamekutana na Mbowe , maeneo ya Mikocheni na akamuomba amtafutie Makomandoo waliostaafu ili wafanye nchi isitawalike, ni ya mdomo na hakuna ushahidi wowote hata wa kurekodi sauti ya Mbowe, wala Telegram aliotoa Shahidi Urio. Kwahiyo kuna shaka kwenye hili pia.

3. Mshatikiwa wa kwanza na wa pili walikutwa mali inayodhaniwa kukusudia kufanya ugaidi ambayo ni Pistol yenye Risasi 3.. (Hawa Walikamatwa pia na madawa ya kulevya, bado wana kesi Moshi, ikiisha hii). Hawa wana kesi pia ya kutaka kumdhuru Sabaya.(haijasomwa bado - Iko kisutu). Hawa walikamatwa Rau madukan karibu na kwa dada ake mshtakiwa wa Kwanza.

4. Mshakiwa wa tatu . Alikamatwa Changombe, siku 10 mbele ya washtakiwa wa kwanza.Aug 2020. anashakiwa kula njama. Kukaa vikao na kukutwa na Raman na michoro ya inayodhaniwa vituo vya mafuta-Dar, ili kuvilipua.

Watatu wote walikamatwa kabla ya 9. August 2020. kabla hata ya Uchaguzi wa 28, October 2020.

Mbowe amekamatwa July 2021.

Mara baada ya kukamatwa Mbowe.

23 August,2021 Kesi ilisomwa Mahakama ya Kisutu.
Na walishtakiwa (wote wanne), kukaa vikao na kula nyama ya kutaka kuwadhuru Viongozi wa Serikali hasa Sabaya . (Hii bado pia haijasomwa. Ikiisha hii kesi itahamia kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]).

Sept 2021 , Kesi ikahamishiwa kwenda Mahakama ya Uhujumu Uchumi. Kwasababu waliona sasa ni kesi ya kigaidi.

Wakasomewa mashtaka 2.
1. Kukaa vikao vya kula njama kutaka kufanya matendo ya Kigaidi.
2. Mbowe kufadhili ugaidi.

Ambao sasa baada ya mashahidi wa Jamuhuri kusikilizwa. Mahakama inatakiwa iamue je wana kesi ya kujibu au lah.

Toa mtazamo wako jinsi unavyoielewa kesi baada ya kuifuatilia.
Kimsingi hakuna kesi yoyote. Hapa CCM wanatekeleza azma yao ya kutesa watu.
Hii haina maana Mbowe amesalimika la hasha, kumbuka:
1. Waliowakamata washtakiwa ni askari wa DSM ( kiuhalisia waliwateka)
2. Askari walewale ndio waliofanya upelelezi
3. Askari walewale ndio wanaotoa ushahidi
4. Askari wote walipandishwa vyeo
5. Rais kasema mara mbili Mbowe ana hatia, tena kwa macho makavu
6. Jaji aliyeanza hii kesi alipandishwa cheo wakati alipokuwa anataka kutoa maamuzi kuhusu kuteswa kwa akina Adamoo, na akahukumu kwa mawazo yake badala ya sheria,
6. Jaji katolewa Mwanza kwa malipo mazuri, kumbika DSM kuna majaji wengi
7. Mawakili wa serikali wanalipwa vinono
8. Mara kadhaa Mbowe amenyimwa chakula kwa maelezo kutoka juu
9. Kumbuka Mbowe alionewa na kufungwa kwa kesi ya Akwilina, jaji hakuona aibu
10 kesi ya kikatiba aliyofungua Mbowe kuhusu ukamatwaji wake mahakama kuu iliipiga chini,
11. Jaji huyu mara kadhaa ameonekana kuundamaiza upande wa utetezi
12. Kesi ndogo karibu zote zilipigwa chini licha ya ushahidi usio na mashaka
HITIMISHO
ANAEWATEUA MAJAJI, NA KUWAPANDISHA VYEO ATAMFUNGA MBOWE ILI CCM IFURAHI. MBOWE HUENDA AKAFUNGWA
 
Kwa mwenendo wa kesi hii. Kama mahakama itaona washitakiwa hasa Mbowe wanahatia. Basi itakua jambo la busara kufuta Mhimilili wa Mahakama ili tuishi kama manyani basi..
 
Hakuna Kesi hapo. Shida yao ni kumkomesha tu Mbowe. wasichokijua ndo wamemuimarisha zaidi na kukifanya Chadema kuwa chama bora zaidi hapa Tz ,kilicho ndani ya mioyo ya watu.
Kimekuwa bora baada ya Mbowe kuwa gaidi? Ebu acha utani weweeeee!
 
Hii ni Summary. Utaongezea nyama ili ambaye hakuwa anaifuatilia apate kuelewa zaidi.

Kwa mtazamo wako Je?. wana kesi ya kujibu au Lah.

Kwa mtazamo wangu.
Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu kwenye suala la ugaidi. Kuleta taharuki ya kisiasa na kiuchumi
(Hata kama walikuwa na nia, ila hakuna ushahidi).

Kwasababu zifuatazo;-
1.Mbowe ameshatakiwa kufadhili ugaidi ila mpaka shahidi wa 13 jana . Hajaweza kuonyesha pasipo kuwa na shaka kwamba zile hela jumla 699,000/- Mbowe alizokuwa anatuma kwa Urio kwa wakat tofauti tofauti ili awape washtakiwa 3 ilikuwa ni kufadhili ugaidi.
Maelezo ya ushahidi wa kimtandao zile hela ni kwaajili ya Kuwarudishia naul zako walivyofika Morogoro.

Kuwapa nauli kwenda Moshi
Kuwapa posho ya kwenda kununua nguo suti na kombat kama zile wanazovaa Chadema kwa ajili ya kumpokea Lissu. July 31,2020

2. Hoja ya Denis Urio, kuwa May,2020 wamekutana na Mbowe , maeneo ya Mikocheni na akamuomba amtafutie Makomandoo waliostaafu ili wafanye nchi isitawalike, ni ya mdomo na hakuna ushahidi wowote hata wa kurekodi sauti ya Mbowe, wala Telegram aliotoa Shahidi Urio. Kwahiyo kuna shaka kwenye hili pia.

3. Mshatikiwa wa kwanza na wa pili walikutwa mali inayodhaniwa kukusudia kufanya ugaidi ambayo ni Pistol yenye Risasi 3.. (Hawa Walikamatwa pia na madawa ya kulevya, bado wana kesi Moshi, ikiisha hii). Hawa wana kesi pia ya kutaka kumdhuru Sabaya.(haijasomwa bado - Iko kisutu). Hawa walikamatwa Rau madukan karibu na kwa dada ake mshtakiwa wa Kwanza.

4. Mshakiwa wa tatu . Alikamatwa Changombe, siku 10 mbele ya washtakiwa wa kwanza.Aug 2020. anashakiwa kula njama. Kukaa vikao na kukutwa na Raman na michoro ya inayodhaniwa vituo vya mafuta-Dar, ili kuvilipua.

Watatu wote walikamatwa kabla ya 9. August 2020. kabla hata ya Uchaguzi wa 28, October 2020.

Mbowe amekamatwa July 2021.

Mara baada ya kukamatwa Mbowe.

23 August,2021 Kesi ilisomwa Mahakama ya Kisutu.
Na walishtakiwa (wote wanne), kukaa vikao na kula nyama ya kutaka kuwadhuru Viongozi wa Serikali hasa Sabaya . (Hii bado pia haijasomwa. Ikiisha hii kesi itahamia kule [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]).

Sept 2021 , Kesi ikahamishiwa kwenda Mahakama ya Uhujumu Uchumi. Kwasababu waliona sasa ni kesi ya kigaidi.

Wakasomewa mashtaka 2.
1. Kukaa vikao vya kula njama kutaka kufanya matendo ya Kigaidi.
2. Mbowe kufadhili ugaidi.

Ambao sasa baada ya mashahidi wa Jamuhuri kusikilizwa. Mahakama inatakiwa iamue je wana kesi ya kujibu au lah.

Toa mtazamo wako jinsi unavyoielewa kesi baada ya kuifuatilia.
Kwani Kesi ilifunguliwa lini na Urio alianza kutoa taarifa ya njama ya Ugaidi wa Mbowe lini?
 
Back
Top Bottom