Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Meli zote tatu zinazotoa Huduma katika ziwa Nyasa zimeharibika na meneja wa TPA amesema matengenezo yanasubiri kwanza tathmini kutoka Shirika la Bima la taifa (NIC) Naye Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh...
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Mwalimu Nyerere, wakati wa Urais wake, kati ya vitu alivyowahi kukemea kabisa ni kumtukuza. Alikataa kuitwa MTUKUFU RAIS, alikataa kuitwa MHESHIMIWA. Mwalimu wakati wote wa uhai wake, na wakati...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe! Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma. Ndugai anayo mengi...
18 Reactions
79 Replies
6K Views
Ogopa sana viongozi wanaolamba miguu wakuu wao ogopa sana. Naamini mu wazima wa afya Leo ningependa kuzungumzia kuhusu aina ya viongozi ambao tupo nao Tanzania kwa sasa. Ogopa sana viongozi...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za...
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwafirikisha wale wasioifuatia, au...
2 Reactions
76 Replies
6K Views
Mwili wa marehemu Dr. Mwele Ntuli Malecela umewasili Dar es salaam mnamo saa sita usiku na ndege ya KLM. Mwili umepokelewa na baba yake mzee Samwel Malecela pamoja na waombolezaji wengi...
32 Reactions
225 Replies
22K Views
CHATO STADIUM KUJENGWA HIVI KARIBUNI‬ ‪Waziri Medard Kalemani amesema Serikali ipo mbioni kujenga Uwanja wa mpira wa Chato Stadium ambao amedai utatumika sana katika kuhamasisha Wawekezaji na...
11 Reactions
400 Replies
52K Views
Habari wana JF .. Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa...
54 Reactions
590 Replies
39K Views
Serikali imewahimiza vijana wa Tanzania kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kukamata fursa zilizopo nchini katika Sekta ya Mawasiliano. Hayo yameelezwa na Kaimu Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
930 Views
WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO WA ZOOM ULIOFANYIKA JUMAMOSI TAR. 19 FEB. 2022 1. Waziri wa Habari, Mawasiliano na TEHAMA NAPE NNAUYE 2. DG wa TCRA Dkt Jabiri Bakari 3. Mkurugenzi wa ITV/Radio One Bi...
1 Reactions
3 Replies
830 Views
Wakuu Moja ya marekebisho muhimu sana ya Sheria ya Mwenendo wa Mashitaka ya Jinai, Sura ya 20, (CPA) ya Sheria za Tanzania, yaliyomo katika Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kutojitukuza na badala yake kutoa nafasi ya kusikiliza maoni ya watu wengine hata kama...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu After 6 years Tz Utakuwa kama Ulaya. Wakuu Leo Chief Hangaya anatarajiwa Kuwa Mgeni Rasmi Kwenye sherehe za Kutimiza Miaka 50 ya Jimbo Katoliki Rulenge - Ngara -Kagera. Ànatarajiwa kutua...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Ameyasema hayo leo katika Jubilee inayofanyika Mkoani Kagera, ambayo pia imehudhuriwa na Mh Rais === skofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara, Severine Niwemugizi amemuomba Rais Samia Suluhu...
20 Reactions
81 Replies
7K Views
Sasa hivi kila anayeta kujipendekeza au kupitisha ombi kwa Rais Samia lazima aanze na kumponda Hayati Magufuli kwanza halafu ndio anaamini hoja yake itapita kirahisi. Nimekuwa niki-observe Sana...
9 Reactions
27 Replies
3K Views
Jana baada ya kumsikiliza kwa makini Waziri Nape pale Clouds TV ndio nikaelewa kwanini hayati Magufuli alikuwa anasema mambo yote anayofanya bunge linayajua na limeyabariki. Nape alisema kamati...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Sasa huku ni kukengeuka au kutokuwa na watu makini maana mnashupalia hoja zisizo na mashiko kabisa na kuonekana kama majuha. Hivi rais wa JMT kupanda dege la Emirates ni hoja ya kuishupalia ili...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa uzoefu wangu nimekaa England zaidi ya miaka mitatu. Nilikuwa pale London Mtaa wa Fullam Road. Nimejifunza mambo mengi sana mazuri na mabaya kwa hawa wenzetu White people. According to my...
53 Reactions
129 Replies
7K Views
HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu" Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA" Soma hapa...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…