johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,898
- 141,836
Wakili msomi Halord Sungusia amesema sheria za Tanzania hazijaweka utaratibu wa mtu aliyewekwa mahabusu kwa muda mrefu kudai fidia pindi itakapobainika aliwekwa mahabusu kimakosa, akishinda kesi au DPP akiamua kutoendelea na kesi.
Hii imeumiza watu wengi sana lakini ndivyo utaratibu wa sheria za Tanzania ulivyo kwasasa, amesema Sungusia.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!
Hii imeumiza watu wengi sana lakini ndivyo utaratibu wa sheria za Tanzania ulivyo kwasasa, amesema Sungusia.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia!