Hapa tulipo ikiwa ni njia panda basi tuelekezane muelekeo sahihi ni upi kuifikia ile nchi ya asali na maziwa.
Waisraeli wakamlilia Musa wakisema ni heri uturudishe Misri kwenye " makaburi"
Mungu...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, jana Machi 14, 2022 aliwatembelea na kuwajulia hali Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay pamoja na Mama mzazi wa Mbunge wa...
Tumemsikia Magufuli akiongea na nchi Iyumbu, Dodoma akadai Utawala NHC una matumizi makubwa na ya kutisha, tena yasiyo na tija.
Kuanzia kufanya vikao Dubai, kununua ardhi kwa bei ya ajabu...
Na Mwl Udadis
Mwenye macho haambiwi tazama. Kazi iliyofanywa na Rais Samia katika kipindi hiki cha mwaka mmoja ni ishara ya uwezo mkubwa wa kiuongozi. Tuangazie baadhi ya mambo yanayojenga...
Sasa ni dhahiri kwamba awamu ya 6 imebaini kwamba wapo watu kadhaa walioongoza sekta , vitengo au mashirika ya umma waliondolewa kimakosa au kwa wivu tu na awamu iliyopita , tukaaminishwa kwamba...
Niliwaeleza kuhusu ugomvi wa viongozi wakubwa wawili wa chama, wapo waliotukana wapo waliobeza Ila baada ya siku mbili gazeti la raia mwema likaandika niliyoeleza na ukweli umejulikana.
Nawasanua...
Kazi kubwa za vyuo vikuu ni tatu:
Kuelimisha/kifundisha (teaching)
Kuandika vitabu (publication)
Kufanya tafiti (Research).
Kati ya kazi hizo tatu research ndiyo huleta maana kubwa sana kwa...
Tume ya Rais aliyounda itapeleka maoni yake wapi bila kuvunja katiba ya JMT.
================
74 (11) Katika kutekeleza madaraka yake kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii, Tume ya Uchaguzi...
Nehemia Mchechu could be a better ministry ever in Tanzania. Ni mtu makini mwenye weredi wa hali ya juu. Nakumbuka alichukua NHC ikiwa negative na madeni ya kutosha hadi anaondoka NHC ilikuwa ina...
Itifaki imezingatiwa!
Kwanza hongera mkulu wa nchi kwa kuyashughulikia haya majizi ya nchi hii, yenyewe ndiyo yanalizamisha taifa hili kiuchumi, "hongera"
Jana ilishuhudiwa mapapa ya "Escrow"...
Tundu Lisu amesema kwa sasa akiwa nchini Ubelgiji anafanya kazi za uconsultancy ambayo kiswahili chake amesahau pamoja na uandishi wa vitabu.
Vitabu anavyoandika ni kwa ajili ya UN na taasisi...
Nadhani ni wakati sasa Mama Samia ajionyeshe kwamba yeye ni Rais na Mwenyekiti wa CCM, kama Humphrey anaweza kumdharau waziwazi na hachukui hatua, basi anajipalilia mazingira ya kuonyesha anaweza...
Wapiga dili ni watu hatari sana.
Ni hawa hawa walikuwa wanadai kwanini Magufuli hakutani na Mbowe ambaye ni mpinzani mkuu kama walivyofanya Uhuru na Raila Odinga?
Lakini ndio hao hao leo...
Uteuzi wa mabalozi wapya leo ni dhahiri utaendana na mabalozi hao kupangiwa vituo vipya na kwa maana hiyo mabalozi wazee wanastaafu na kurudi nyumbani.
Ni wazi Balozi Slaa, Balozi Migiro na...
Nimeikuta mahali hii
Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo...
Na Mwandishi wetu Mihambwe,
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amezungumzia mwaka mmoja wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan madarakani kuwa wenye mafanikio na...
Wakati huu wa kwaresma ni wakati wa kukumbuka pamoja na kwamba Mwenyezi Mungu anatulinda tusimjaribu. Mungu ametupa uwezo wa kujua na kugundua dawa hivyo tusiache kutumia na kusubiri Mungu.
Kwa...
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, amepigilia msumari kuhusu umuhimu wa Katiba Mpya, na kutaka maoni ya wananchi yasipuuzwe kwa kuwa ndiyo mara ya kwanza...
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Dr Mwinyi amesema kuanzia sasa ,hakuna mwananchi visiwani humo atakayeuziwa nguzo ya umeme ambayo kiukweli unauziwa nguzo lakini bado hiyo...
Waziri wa Afya Nassor Mazrui (ACT-Wazalendo) akimkabidhi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Riziki Pembe Juma (CCM) wakati wa makabidhiano ya ofisi...