Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenye utawala wa kifalme, nchi na serikali ilikuwa ni mali ya mfalme. Tofauti na kwenye demokrasia ambapo nchi na serikali ni mali ya wananchi wote, wakimuweka Rais kuwa mdhamini. Binadamu ni...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu kwanza nikiri kabsa kwamba mwanzo kabsa wakati mama anakabidhiwa kijiti nilikua side yake kutokana na namna alivokua anaupiga mwingi lkn badae nkaona kama anaanza kupoteza nafas za waz kabsa...
1 Reactions
12 Replies
708 Views
Wadau JF! Nawasalimu. Moderators, Nawasalimu. Twende kwenye mada. Ni hivi karibuni tulimsikia Rais wa JMT mama Samia Suluhu Hassan. Akiwa kwenye kikao elekezi na baraza jipya la mawaziri na...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Mara ya kwanza niliposikia msamiati wa “mzungupori” sikuelewa, nilidhani msemaji anamtania mzungu mshamba anayetoka Ulaya kijijini. 1. Lakini baadaye nilipomuona mlengwa, nikaelewa kumbe...
5 Reactions
8 Replies
3K Views
MKURUGENZI wa Mashitaka nchini ( DPP), Sylvester Mwakitalu, amesema kwa sasa hakuna mwalifu atakayenufaika na mapato ambayo ameyapata kwa njia ya rushwa au uharifu, kwa maana hiyo fedha na mali...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeutaka uongozi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kuendeleza bunifu za wanafunzi wa chuo hicho pamoja na kulinda...
1 Reactions
1 Replies
817 Views
TCD inaundwa na vyama vitano CCM, Chadema, NCCR-Mageuzi, CUF na ACT-Wazalendo. TCD imesajiliwa kama NGO non Partisan lkn inahudumiwa kwa pesa za Umma. Uongozi wake niwa mzunguko wa kipindi cha...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
"Rais Mwinyi aliwahi kusema, kila zama na kitabu chake. Tumuombee Rais Samia Suluhu aandike kitabu chake, kurasa 365 amezimaliza, tunaamini ataendelea vizuri", - Nape Nnauye, Waziri wa Habari...
1 Reactions
5 Replies
681 Views
Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu kila wakati kuwa, katika hii duniani ambayo imekuwwpo kwa mamilion ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya zaidi ya teknolojia tu. Yote...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Tukiadhimisha mwaka mmoja wa kumpoteza Jemedari mwenye uthubutu hususani uthubutu dhidi ya wakoloni mamboleo kama Taifa tunapaswa kumuandaa "Magufuli " wa Pili. Inaeleweka wazi kuwa The legend...
36 Reactions
174 Replies
8K Views
Nimemsikiliza kwa makini mh.Hamad Rashid mwenyekiti wa chama ADC alipochangia mada kwenye kongamano la tathmini ya mwaka mmoja wa uongozi wa raisi SSH ,hapa chuo kikuu Cha UDOM. Nimegundua hatuna...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
10 Februari 2022 TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISATANZANIA), imepokea taarifa ya uamuzi wa serikali kuyafungulia magazeti manne, yaliyofungiwa kufanyakazi...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
"Katika siku 365 za Rais Samia Suluhu, kitu cha kwanza tulichokifanya, ni kuhakikisha vyombo vya habari vinafanya kazi kwa Uhuru bila bugudha na kuhakikisha vyombo vya habari vinakua," - Msemaji...
2 Reactions
11 Replies
837 Views
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA walisusia bunge la katiba likiwa katikati ya majadiliano na likiwa ktk hatua nzuri ya kupata katiba nzuri ya wananchi. Sababu...
3 Reactions
8 Replies
787 Views
Tukielekea katika siku maalum ya kilele Cha sherehe ya kuadhimisha mwaka mmoja wa utawala wa raisi wa awamu ya sita nchini Tanzania,Nina maswali kadhaa kwa wadau wa siasa nchini. Je ni raisi gani...
13 Reactions
48 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Viongozi wa dini nchini wamewaasa Watanzania watakaomkosoa Rais Samia Suluhu Hassan wawe tayari kutoa ushauri wa nini kifanyike ili aendelee kuliongoza vyema Taifa na kufikia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ripoti ya CAG inatanabaisha sintofahamu kuhusu UTARATIBU wa ujenzi wa Bwawa la umeme la Nyerere mto Rufiji.. mfano, 1. Ujenzi wa bwawa ULISIMAMA KWA MIEZI MI(5) Baada ya kuta za bwawa...
3 Reactions
10 Replies
3K Views
“Mheshimiwa Rais nilikupigia simu lakini kwa bahati mbaya sikukupata lakini baadae ulinipigia na nikakuomba uhudhurie shughuli hii ukakubali na uliniahidi kuwa utakuja japokuwa sikuomba kwa...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Na Thadei Ole Mushi. Watu wa Kilimanjaro sio wajinga kiasi hicho, watamchagua Rais Magufuli kwa Kura nyingi Sana kuliko wagombea wengine wa uraisi. Twende sawa na agenda zetu.... 1. Kilimanjaro...
15 Reactions
85 Replies
7K Views
CHADEMA HAI, YAANZA KUTAPATAPA, WAMTUMIA MBUNGE SAASHISHA KAMA NGAZI YA KUKUSANYA WANANCHI KWENYE UJIO WA MBOWE Hai, Kilimanjaro Salaam wanajamvi Andiko hili ni majibu ya andiko la upotoshaji...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…