Mwaka 2016 wakati Waziri wa Habari na Utamaduni wa wakati huo, Nape Nnauye akitoa sababu za kusitisha matangazo ya Bunge live, pamoja na gharama alisema watanzania wengi mchana wako maofisini na...
Ni angalizo tu kwa CCM.
Mnaweza mkajisahau mkafikiri hicho kikundi cha wapinzani kinachohudhuria mikutano ya maridhiano hapo Ikulu kinatoa uwakilishi sahihi wa wapinzani, siyo kweli.
Kwa upande...
Waswahili wanasema hata kama humpendi sungura basi sifia hata mbio zake.
Ukweli ulio wazi CHADEMA wanaziongoza sana siasa za Tanzania. Vyama vyote vimeshiriki hadi chama tawala lakini mkutano wa...
TCD ni wafanyabiashara wa demkorasia;kama wanaweza kuwarubuni Viongozi wa NCCR kwenda kwenye kikao wakijua chama kimeshatoa msimamo kutoshiriki maana yake wamewafanyisha biashara watu hao ili...
Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa...
Huu ndo ukweli
Endapo Mungu akinipa uhai ndani ya miaka 9 ijayo na hatujafika Uchumi wa Juu, Basi kama sio kujiondoa JF nitakuja na Verified id
Kwa nini nasema haya?
1. Mradi wa LNG unaotarajiwa...
Dr. Bashiru ni Mbunge wa kuteuliwa ambaye kama walivyo Wabunge 19 wa upinzani ameonyesha kushindwa kabisa kurejesha confidence na taaluma yake ndani ya bunge. Nakubali ndugu yangu huyu alikengeuka...
Nimeona leo kwenye mkutano wa TDC wadau wengi wa vyama na haki. Haya yote ya vikosi kazi vyote havitasaiia chochote kama wadau watafukia yaliyopita bila kuongelea uchaguzi wa 2020.
1. Inabidi...
Ni dhahiri kuwa NCCR, CUF, Chadema na wengine pia wapo wanahitaji katiba mpya sasa.
Katiba mpya itakuwa mustakabala wetu ulio bora zaidi kama nchi. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuupinga...
Rais Samia amesema kuingia kwetu katika uchumi wa kati ni kupanda daraja na wafadhili wanapunguza sana misaada kwa sababu sasa tunastahili kujitegemea kwa kiasi kikubwa.
Rais Samia amesema hayo...
Naomba viongozi wa Serikali wawe na hofu ya MUNGU, nawaomba wawe na akiba ya maneno kwenye mikakati Yao, naomba wathamini maskini kuliko kuthamini watu wasio na uchungu na nchi hii. Ngorongoro...
George amewaeleza wananchi mambo muhimu sana ambayo kwa historia ya Kenya kwenye mchakato wa Katiba hakuna tofauti na Tanzania.
Kenya walikusanya maoni ya wananchi then chama tawala na Serikali...
Msajili wa vyama vya siasa amemtaka mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif ajieleze kwanini alisafiri hadi Kilimanjaro na kupanda jukwaa moja na Tundu Lissu wa CHADEMA kumpigia kampeni...
Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili.
Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea...
Wadogo zangu Dr.Mahera na Nyahoza mmeniangusha sana. Nia ya kukisaidia chama chetu cha CCM mnayo. Uwezo mnao. Nguvu mnazo. Kwanini hamna maarifa? Dr. Mahera umejitokeza mbele ya watanzania na...
Afisa kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama ameeleza kuwa iwapo vyama vinataka kuunda ushirikiano vinapaswa kufanya hivyo kwa kufuata utaratibu wa vikao rasmi na sio utashi wa viongozi.
Ameainisha kuwa...
Habari wanabodi,
Kwa haraka haraka ukiangalia harakati ndani ya chama cha mapinduzi utaona kuna watu fulani wanaondolewa kwenye muhimili wa Chama pamoja na kule serikalini na watu fulani...
Binafsi nilipenda sana utaratibu wa uwasilishaji wa report ya CAG kwa mwaka jana mwezi wa 4.
Aliwasilisha report na baada ya siku mbili aliita waandishi wa habari ikafanyika press ya kuchambua...
Kinana alizaliwa mwaka 1952 mkoani Arusha. Ni mwanasiasa aliyeshika nyadhifa mbalimbali serikalini, zikiwemo; Naibu Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Naibu Waziri wa mambo ya nje na...
Wah. Innocent Bashungwa na Hussein Bashe, mmeaminiwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama yetu Samia Suluhu Hassan, majukumu mliyopewa ni mazito saana hasa kipindi hiki ambacho...