Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,962
Waswahili wanasema hata kama humpendi sungura basi sifia hata mbio zake.
Ukweli ulio wazi CHADEMA wanaziongoza sana siasa za Tanzania. Vyama vyote vimeshiriki hadi chama tawala lakini mkutano wa leo (Aprili 5, 2022) wa TCD umepoa sana na hata waliopo huko hawana hamasa ni kama wanapigishana story.
Ngoja niwakumbushe, siku Rais anakutana na Tundu Lissu nchi nzima ilisimama na kuzungumzia hilo. Siku Rais anakutana na Mbowe nchi zima ikasimama tena. Leo anakutana na kina Zitto na Lipumba na wanasiasa wengine wakongwe tu lakini hakuna mwenye interest ya kufuatilia.
Hapa ni lazima tukubali, ni either CHADEMA ina watu wengi sana na inapendwa sana au inaongoza siasa zote za Tanzania.
Leo Chadema wangekuwa kwenye huu mkutano, basi nchi nzima ingekuwa inazungumzia mkutano wa leo.
Nimeona huu ukweli niutoe niwe huru, nisije kupata sonona.