Ramadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya...
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imesema mpaka sasa Tanzania haina Uhaba wa Mafuta, hivyo hakuna Sababu ya Watanzania kuwa na Taharuki ya Ukosefu wa Nishati hiyo Muhimu.
Kauli hiyo imetolewa...
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, CCM Abdulahman Kinana amewataka wanachama wa chama hicho kubadilika kuacha tabia ya kutukuza Viongozi Wakuu kwa nia ya kusaka nafasi za uongozi.
Kinana...
Magufuli City ni mji wa kiserikali ulio kilomita 17.5 Kutoka Dodoma Mjini.
Mji huu umebuniwa na Hayati Kipenzi Chetu Rais Magufuli ili uwe wa ofisi za serikali na BALOZI ZA NCHI MBALIMBALI...
Wakuu.
mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema...
Thomas Sankara alijitoa uhai wake kwa ajili ya Afrika na watu wa Bukinabe.
Alitaka taifa lake lijitegemee na na umasikini uliolikabiri taifa lake uondokane kwa nguvu za wananchi wa taifa hilo...
January Makamba anahofiwa na wanaoutaka Urais 2030 kwakuwa 2015 alifika 5 bora..na katika wote walioingia 5 bora yeye ndio 2030 pekee atakuwa na umri usiozidi miaka 60 hivyo wenzake wanne ni wazee...
Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama.
Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila.
Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
Makamu mwenyekiti wa CCM mzee Kinans amesema imezuka tabia kwa watu wanachaguliwa au kuteuliwa katika nafasi fulani kujiona wao ni Watukufu, tabia hii iachwe mara moja siyo nzuri.
Kinana amesema...
Leo Rais wa JMT ametua kwa mara ya kwanza na ndege kubwa katika uwanja wa ndege Chato,hii ni kusema sasa ni rasmi Chato imefunguliwa kwa kutua ndege yenye ukubwa huu na inatoa picha kuwa uwanja...
Katika mawazo ya mzee mwenye Busara nyingi kutokana na mvi kama wasemavyo wahenga mvi zina busara anajiuliza kwanini alienda kumpigia kampeni bwana Uhuru Kenyatta Lakini katika kupokezana...
Mkuu wa nchi yangu na mwenyekiti wa chama dume africa nzima, kwanza naupongeza uongozi wako uliotukuka,
Mheshimiwa kupitia maoni ya watu mbali mbali kutoka kwa watu kwanza wanakukubali kwamba ni...
MATUKIO KATIKA PICHA
Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ambaye ni Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi Shina namba tisa tawi la Masaki, kata ya Msasani, Wilaya ya Kinondoni Mkoa wa...
Rais Samia jana alisema hapo katikati tulitetereka kidogo tukaanza kubaguana kwa itikadi, ukanda na ukabila, hakutaja ni kipindi cha Magufuli, lakini wafuasi wengi wa Magufuli wakasema anamlenga...
Habari zenu wanajamii ambao najua mtakuwa katika majukumu mengi kulisukuma gurudum la maendeleo,
Kwa miez kadhaa nimekuwa kimya kuhusu suala la mvua ya Thailand, ambayo mwaka 2007 waziri mkuu wa...
Julius Mtatiro kijana asiye na uzoefu wowote katika masuala ya Serikali juzi ameanza kazi za chama chake kwa kutaka Serikali ifanye anavyotaka yeye.
Katika taarifa yake kwa umma, ikiwa ya kwanza...
Mimi ni kijana ambaye nilikuwa nafanya kazi benki kama afisa mauzo , mwaka 2013-2014 ,Kipindi hicho kulikuwa na ujenzi wa mradi fulani mkubwa tu kuna mkandarasi kutoka China jina nimeliifadhi,Huyo...
Nadhan kila mtu analitambua hili kwamba wapinzani ucheza vemaaa na siasa wanaziweza katikati ya kipindi cha mtawala yeyote, tatizo sasa wanakuja kuvuruga mwishoni kabisa
Kuna masuala matatu...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba ile Kampeni kabambe ya kuchangia Chadema, sasa imeanza kugombewa kama ilivyogombewa Sukari enzi za RTC, taarifa kutoka Tandika Mwembeyanga (ambako mimi ni mkazi...
Kasalali Mageni amesema anaamini Tume iliyokwenda Mto Mara inahitaji kuchunguzwa, akisisitiza "Hata kwa Wasomi wa Nchi hii inatuleta walakini kuhusu Utaalamu wetu, Elimu yetu na viwango vyake"...