Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ndio Taarifa mpya tunayokuletea jioni ya leo , Ambako Mwamba Mwenyewe , Ustaadh Aboubakar Mbowe anaongoza mashambulizi . Mwitikio ni mkubwa mno , michango ina miminwa kwa wingi na wadau...
17 Reactions
48 Replies
3K Views
Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Magufuli anatarajiwa kuzungumza mubashara na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kuhusu ugonjwa wa Corona kutokea Chato saa 9:45 alasiri leo tarehe...
41 Reactions
2K Replies
197K Views
Kwa taifa letu Karantini lingewezekana? Kwamba wakulima wa kitanzania, wauza samaki na nyanya wa kitanzania, mama ntilie wa kitanzania uwaweke karantini sasa hivi tungekuwa na hali gani? Mkopo...
6 Reactions
6 Replies
843 Views
Ndicho anachotaka USA, Makonda apelekwe mahakamani peleka stoo huyu mtu, mahusiano ya nchi yetu na USA ni muhimu kuliko huyu mtu mmoja asiye na faida yoyote. Juzi kanusa ziara ya mama kwenda kwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna hali ngumu ya maisha itokanayo na mfumuko mkubwa wa bei ambao serikali imechagua kujiweka pembeni kiaina: Kama vile haitoshi kuna usumbufu mkubwa barabarani. Zinatakiwa pesa, mengine kama...
2 Reactions
4 Replies
658 Views
Gazeti la the Citizen la leo limekuja na ufafanuzi wa kwa nini uchumi na uwezo wa Tanzania kuuza nje ya nchi (exports)uliongezeka kwa kasi mwaka 2020 licha ya kuingia kwa ugonjwa wa corona nchini...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Kufuatia kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha zaidi ya vifo 300 katika Jimbo la KwaZulu-Natal Nchini Afrika Kusini, siku chache zilizopita, Rais Samia Suluhu amtuma salamu za rambirambi Rais wa...
1 Reactions
3 Replies
629 Views
Kuna special move nilitaka niianzishe lakini niliona ina madhara kidogo. Uliwahi kujiuliza maswali haya ya msingi? 1. Kwanini Zanzibar Ana special treatment? Anapewa hata ambavyo hakusitahili...
11 Reactions
54 Replies
9K Views
Wanabodi, Hivi karibuni, bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania lilipitisha bajeti ya waziri mkuu baada ya vikao kadhaa. Majadiliano yali husisha changamoto mbali mbali zilizopo kwenye majimbo...
1 Reactions
5 Replies
892 Views
Mimi ni mwana ccm, Baada ya kuona uchaguzi wa mwaka 2020 CCM itashinda kwa mbinu na Itakuwa Slide land victory kwa kuifanya CHADEMA ibaki Tweeter na Instagram hivyo sikujisumbua kwenda kupiga kura...
8 Reactions
44 Replies
3K Views
• Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19. • Watanzania wengi wazalendo na...
20 Reactions
165 Replies
7K Views
Raisi Samia na Watanzania wengi wanajua huu ukweli kwamba uchaguzi wa 2020 haukuwa wa huru na wa haki. Hivyo kabla ya uchaguzi wa 2025 Raisi atafanya kila jitihada kueleza huu ukweli kwasababu...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Moja kwa moja kwenye mada 👇 Waziri wa OR-TAMISEMI, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali ilinunua Pikipiki 68 zenye thamani ya Tsh Milioni 789.8 kwa ajili ya Maafisa Ustawi wa Jamii ngazi ya...
7 Reactions
125 Replies
14K Views
Kufuatia kutokea kwa mafuriko yaliyosababisha zaidi ya vifo 300 katika Jimbo la KwaZulu-Natal Nchini Afrika Kusini, siku chache zilizopita, Rais Samia Suluhu amtuma salamu za rambirambi Rais wa...
0 Reactions
1 Replies
696 Views
Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku (3) kuanzia leo tarehe 22 hadi 24 Oktoba, 2021. Mhe. Ndayishimiyeamepokelewa na mwenyeji wake...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionyeshwa baadhi ya nguo na vifaa vilivyoko kwenye makumbusho kwenye kiwanda cha nguo cha Garment 10 Corporation textile mill kilichoko Nguyen Van Linh Street in Sai...
5 Reactions
66 Replies
13K Views
WanaBodi Wasalaam, Zifuatazo ni baadhi ya nukuu za Hayati Mwl. J. K. Nyerere unaweza zisoma na kuweka komenti kwenye nukuu moja wapo ukihusianisha na Tanzania ya leo. "Amini nawaambieni enyi...
2 Reactions
32 Replies
10K Views
MWAKA mmoja wa uongozi wa Rais John Magufuli unaotarajiwa kukamilika Novemba 5, mwaka huu unatajwa kuwa na tija kubwa kiuchumi, kidiplomasia na hata kimichezo, tofauti na ilivyokuwa kwa mtangulizi...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Serikali imetenga Tsh. bilioni 10 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa soko jipya la Kariakoo na kukarabati soko kuu lililoungua moto Julai 2021 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naona Wabunge wa CcM hasa wanaotoka maeneo yanayozalisha nguzo za umeme hasa Mkoa wa Iringa wanapiga kelele juu ya hii ishu. Nani kaleta hili dili linalopigiwa kelele ambalo litasabaisha wananchi...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…