Wajanja wa kutafuta connection wameanza kumtumia mwamba wa mitikasi huku wakiamini unganiko lao na yeye ndiyo njia sahihi ya kupata chochote kitu kwa kipindi hiki.
Mwamba alizimwa lakini sasa...
Kila nikijaribu kupitia maoni ya wananchi katika mitandao ya kijamii ni dhahiri wananchi wengi wanaonekana kukosa imani na serikali ya awamu ya sita. Ukiwasoma kwenye mitandao utaona wamekaa...
===
Kwanza, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya TZS 12.6BL kujenga kilometa 12.6 za Lami kuzunguka eneo la Viwanda la UMMY MWALIMU Yaani "Ummy Mwalimu Industral Park " ikiwa ni pamoja na...
KATIBU MKUU WA CCM TAIFA CDE DANIEL CHONGOLO AFANYA MAZUNGUMZO MAALUMU NA JOEL NANAUKA, DODOMA.
28.03.2022
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Cde Daniel Chongolo, Leo amekutana na...
Mwendazake aliwa brainwash sana watanzania. Kila alichofanya kilikuwa kinyume cha sheria, lakini walimpigia makofi na wakamuita mzalendo namba 1.
Apart from kujenga viwanja vya ndege inasemekana...
Mbunge wa Vunjo, Dkt. Charles Kimei amesema Mchakato wa kulenga vikundi haufanyi kazi duniani kote akisisitiza, "Tutumie mbinu mpya kutoa mikopo hata kwa mtu mmoja mmoja. Kutoa kwa Vikundi inaleta...
Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga amemuomba Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Tawala za Mitaa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Innocent Bashungwa kuwatafuta waliochukua Sh222 bilioni za mikopo ya...
Sakata la Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda lililopo Mahakamani limekuwa likiwatatiza wengi hasa baada ya awali kuonekana kwa wengi ni kama anaipotezea Mahakama kabla ya...
Asema bila kujali ulianzishwa na nani na kwa malengo gani ni uwekezaji usio na tija. Ungefanywa na kampuni binafsi ingeeleweka
Asisitiza, tena kwa sasa ndio haufai kabisa kufuatia Serikali...
Kama mitaa ya nchi ni michafu sana, demokrasia ya uchaguzi bado hatuna, vilio vya katiba havijakoma na wasiojulikana bado hawajakamatwa, je, tunadhani kuwa watalii hawana akili?
Je, wananchi...
CAG: NGORONGORO ILITUMIA TSH. MILIONI 278.42 KUKARABATI NDEGE YENYE MIAKA 47
Kupitia Daftari la Mali za Kudumu za Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, CAG alibaini kuwa Mamlaka inamiliki...
Hii issue imenishtua na kunisikitisha.
Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.
Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni...
Habari wakuu
Hizi taarifa ziwafikie wapinzani wote na vyama vipya ambavyo vinaanzishwa kuwa ni rahisi Sana ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Chama kikubwa na chenye wafuasi nchi nzima...
Tunaambiwa kwamba filamu ya Royal Tour yenye kupromote Utalii imegharimu Shilingi za Kitanzania Bilioni tisa. (9).
Leo tunaambiwa Rais ana safari ya kikazi yeye na delegation yake marekani na...
ITIKADI ni moja ya msingi muhimu katika kuyafanya mnaisha ya mwanadamu kustawi zaidi, hakuna binadamu yeyote ambaye anaweza kuishi bila ya kuwa na itikadi.
Neno itikadi linamaana nyingi na utata...
Watanzania wengi walikuwa wanafikiri kodi ni kitu cha watu wengine! Sasa ndiyo wanajua ni lazima kulipa kodi. Zile risiti ambazo tulikuwa hatuziombi ni pesa ambazo serikali imekosa na sasa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amesema CCM itaendelea kuweka msukumo kuhakikisha miundombinu ya barabara na vivuko inaboreshwa Kwenye Wilaya ya Kigamboni kwa sababu...
Zitto amekuwa akimshambulia Hayati Magufuli kama mtu binafsi ( Rais) ilhali katiba ya JMT inaeleza wazi Rais hashtakiwi popote , pia zuzu Zito Kabwe anashindwa kuelewa kuwa anapomtukana Magufuli...
Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani
Watanzania hatukujua hilo, naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa...
Makusanyo ya kodi za Tanzania hayafikii malengo kwa sababu ya vitu vitatu vikubwa
1. Machinga: Hatuwezi kuwa na kundi la watu wasiolipa kodi na wawe na haki kuliko walipa kodi. Huwezi kuruhusu...