Ni hivi Lissu anataka Rais Samia kwenda hadharani na kumuhakikishia Lissu usalama wake ili aweze kurudi Tanzania.
Rais Samia anasita ingawa si kwa kumuogopa Lissu au Usalama wa taifa lakini ni...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua za haraka kuchukuliwa, ikiwamo kusimamishwa kazi kwa Watumishi wanne wa Wizara ya Maji...
Muda mrefu hofu ya watanzania ni nani mbadala wa CCM kama CCM ikiondolewa?
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi niseme kweli nchi yetu bado haijashuhudia chama cha kuiondoa CCM hata kama CCM...
Novemba 7, 2015 ikiwa ni siku mbili baada ya kuapishwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli alipiga marufuku safari zote za nje ya nchi na kuelekeza zifanywe na mabalozi, baadae...
Nimekuwa nikikufuatilia katikati michango yako uwapo Bungeni hakika nakupongeza,wewe sio chawa wa aliyeko juu.
Dhambi baridi itawatesa maafisa wengi sana kupitia haki zao za ustaafu...
Niko hapa nasikiliza michango ya baadhi ya wabunge wetu wakisisitiza kuwa wanaojitolea wapewe kipaumbele katika ajira.
Ikumbukwe kuwa ajira za wazi na ukweli zilikoma zaidi ya miaka 7...
Habari ya usiku huu watu wa Mungu naimani mpo salama kabisa, kwangu Mimi Mniombee Sana tu maana naandika uzi huu Hali haiko sawa .
Nimekuja kwenye jukwaa hili na kujaribu kuutangazia uma wote...
Mheshimiwa wa rais Dr Jakaya Kikwete nikivutio duniani kwa sasa baada yakuwa ni kiongozi wa kipekee Afrika na duniani,
Kwanza anaitwa/anajita Dr Jakaya Kikwete wakati hajawahi kusoma popote...
Yamesemwa mengi kuhusiana na Tanroads lakini hili ndilo lina ukweli mkubwa na kwa kweli Tanroads na Mrema ni taswira ya tatizo kubwa zaidi katika nchi yetu. MUNGU ATUNUSURU.
Pembetatu ya...
Kuna Wagombea wanafichiwa Fomu, kuna Wagombea wanatishwa Wasigombee, kuna Wagombea wanachafuana, kuna Wagombea wanawadharau Wenzao na kuna Wagombea pia wanasema CCM ni yao hivyo Washamba Washamba...
Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia CHADEMA Joseph Mbilinyi amemshangaa mh Rais John Magufuli kwa kitendo chake cha kutokusafiri nje ya nchi, akichangia bungeni mbunge huyo alisema haiwezekani Rais...
Tangu hii kampeni ianze, hakuna hata siku moja tuneambiwa makusanyo ni shilingi ngapi.
Hela zinakusanywa kwenye mifuko ya rambo, anayezihesabu hajulikani ni nani, ni rahisi watu kujichotea tu na...
Wasalaam
Mimi si mwandishi mzuri, lakini twende hivi!
Mbali na kwamba Chadema siipendi hasa kwa tukio la 2015, lakini hawa jamaa wanauongozi wenye watu waliojaliwa kuwa na akili kubwa sana...
Serikali imesema madereva wanapaswa kujiunga kwenye vyama vya wafanyakazi ambavyo ndio vinaruhusiwa kisheria kugoma.
Madereva hawana vyama vya wafanyakazi hivyo atakayethubutu kugoma atachukuliwa...
RMB Bank wanasema Tanzania haikuvutia sana kuwekeza|Uwekezaji FY2018|19|20 lakini imesonga mbele,today is within "The Top Ten list" tutarajieni mafuriko ya wawekezaji
" Hakuna kama Samia "...
Hivi wanazengo wenzangu mnafahamu ni kwanini Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan aliamua kupanda ndege ya Emirates na kuacha ndege 11 mpya zimepaki?
" Hakuna kama Samia "
Kutoka Dar es salaam...
Hivi madini ya pesa nyingi kama hizi yanatoroshwa na kwenda kuuzwa nje mamlaka husika hazina taarifa, huu ni uzembe mkubwa sana.
Taifa linaibiwa rasilimali zake kama shamba la bibi.
Hayati JPM...
Taarifa za kuadimika kwa kiasi kikubwa cha Samaki katika Ziwa Victoria zimewashitua wakazi wa Kanda ya Ziwa Victoria na wengi washauri kurejewa kwa utaratibu uliotumiwa na aliyewahi kuwa Waziri...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amezungumzia upungufu wa Watumishi wa Umma katika Sekta mbalimbali zikiwemo Elimu, Afya, Kilimo, Maji na Kilimo akisema Serikali haina budi kuja na...