Jiwe hilo la Ruby limetoroshwa na sasa liko mnadani huko Dubai.
Linanadiwa kwa kuwa na thamani ya 240 bilioni za kitanzania.
Kwa Serikali makini na kwa nchi yenye Bunge makini...
Ikumbukwe kuwa siyo wabunge wote 19 wa viti maalumu wa Chadema walikata rufaa, ni 6 tu ndio waliokata rufaa.
Baraza kuu litawasikiliza hao 6 tu na wale wengine wataendelea na ubunge wao kama...
Kama kweli maalimu Seif alikufa kwa covid 19 ilikuwaje dakika chache kabla ya kufariki azungumze na KC Zitto na kumwachia wosia kuhusu Masoud Othman?
Mgonjwa wa covid 19 anaweza kuwa na nguvu ya...
Kila sehemu ambapo CAG kagusa inasemekana kuna upigaji wa pesa,na wafuasi wa genge lako wameenda mbali wanasema Mheshimiwa Magufuli ndiye kaiba hizo pesa.
Sasa wewe ukiwa ndiye kiongozi mkuu wa...
Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi.
"Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina...
Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makala amesema wananchi wasiwe na wasiwasi kuhusu upatikanaji wa mafuta nchini kwani yako ya kutosha kabisa.
Makala amesema serikali ilijiandaa kikamilifu...
Baada ya kuvujishwa sehemu ya maongezi ya Bernard Membe na Katibu katika kijiji Rondo kata ya Chiponda katika mkoa wa Lindi akijidai na kumwambia, ‘’tunagonja sijui watatufukuzwa, mbona...
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso.
Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya...
Nilishituka awamu ya tano kumteua mke wa Rais mstaafu kuteuliwa kuwa mbunge viti maalum(ulikuwa ni udhalilishaji wala haikuwa heshima)
Nimeshituka mke wa Rais kudai mafao mara wakimaliza mda wao...
Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500.
Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika?
Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa mujibu wa kifungu cha 7 (1) (e) cha Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Sura ya 56 ya mwaka 2002 inaujulisha umma kuwa imefuta NGOs 29...
Jumuiya ya Watanzania kwa ujumla inasahau kwamba lilikuwa kosa la jinai kwa mazungumzo binafsi ya simu kati ya kina Makamba, Nape nk kunaswa na kurekodiwa? Je walikuwa wakipelelezwa na vyombo vya...
Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata...
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI.
KAZI INAENDELEA
Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza...