Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vyama vyote vya siasa vina waajiriwa Kwa nini wafanyakazi waajiriwa vyama vya siasa CCM,CHADEMA nk huwa hawashiriki maandamano mei mosi? Sijawaona na mabango yao kulikoni? Sikukuu ya...
0 Reactions
4 Replies
528 Views
Sinema ya Taifa inaitwa 'Royal Tour'. Kwa nini sinema hii imepewa jina hilo? Maana ya 'royal' hapa ni ipi?
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Yani kila wakati najiuliza sana, Hawa maprof sijui akili huwa wanaziacha wapi, leo Prof katoa Pongezi na shukrani Hotuba nzima Mpaka nakaa najiuliza sana, hivi kazi ya Prof Wizara ya kazi ni...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Tupate Katiba Mpya ambayo itaweka wazi kuwa viongozi wa Tume ya Uchaguzi kuanzia mwenyekiti wa taifa mpaka wasimamizi wa uchaguzi wawe watu huru wasiofungamana na upande wowote na wasiwe na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tundu Lissu anasema atalipa malimbikizo yote ya mishahara na kupandisha vyeo vyote vilivyosimama toka mwaka 2015 mpaka leo 2020. Anasema lazima wafanyakazi walipwe fidia na Serikali yake...
43 Reactions
201 Replies
16K Views
Kuna mtumishi mmoja analalamika kwanini upandishaji mishahara umekuwa wa hisani ya Mhe. Rais nikamwambia akamuulize Mbunge wake aliyempeleka Bungeni. Nimemjibu hivyo Kwa sababu awali enzi ya JK...
1 Reactions
2 Replies
712 Views
Tanzania ni nchi pekee ambayo wanaotunza nyaraka za mikataba nyeti ya rasilimali za nchi siyo sehemu ya majadiliano na uandishi wa mikataba hiyo. Hivyo waliopewa dhamana ya kuhifadhi nyaraka hizi...
1 Reactions
3 Replies
775 Views
Kwa namna hali ilivyo nilitegemea mkuu wa nchi awe amekemea na kumpa Dotto Biteko Ultimatum. Yupo busy tu na kuwapongeza waliochangia Royal tour kimchongo. Utoroshwaji wa rasilimali za umma...
1 Reactions
62 Replies
4K Views
Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa likubaliane nao hata kama hauendani na mazingira ya nchi husika? Kwa mfano rais aliposema kwamba, kama mfanyakazi wa ndani ana mwenza wake, kwa...
0 Reactions
4 Replies
614 Views
Mabango yote yanayopita mbele ya Mh Rais Samia Suluhu mjini Dodoma yanaongelea maslahi na mishahara ya wafanyakazi lakini bango la mamlaka ya kodi yaani TRA wanasema Michezo ni afya hawajagusia...
7 Reactions
46 Replies
5K Views
Mh Rais Mama Samia nakusalimu kwa jina la JMT. Naomba kukupongeza na kukushukuru namna unavyopigania kuinua UTALII kupitia ROYAL TOUR.Ni wazi tena pasipo shaka kwamba ROYAL TOUR inakwenda...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Ili mwajiri aongeze mshahara lazima kwanza atambue hasara atakayoipata kwa kumkosa huyo mwajiriwa baada ya kuona nguvu ya kudaiwa.never expect simpo things. Hapa Tanzania viongozi tayari wana...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Huu ushauri ni mzuri unawiana na ushauri wa Trump kwamba Africa inatakiwa kutawaliwa upya👇
11 Reactions
92 Replies
6K Views
Mtajua, hamjua
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Chadema kaeni mkao wa kula maana sasa mpambano kwa ajili ya katiba mpya na mikutano ya hadhara umeiva. Lissu sio wa mchezo linapokuja suala la haki za wananchi 👇Lissu asisitiza Katiba mpya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea. Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii...
43 Reactions
149 Replies
9K Views
Sakata linaloendelea la Msigwa kuwa tofauti na wenzake ndani ya CHADEMA lina kila dalali yuko njiani kubwaga manyanga na kujiunga kwenye orodha hii ndefu; 1.Dr. Slaa 2.Davidi Kafulila 3.Mwita...
9 Reactions
91 Replies
6K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa temeke bw. Yona amepigwa na kuumizwa vibaya Leo usiku na kutupwa maeneo ya Ununio. Yona amekuwa ni akipinga vikali maamuzi ya kamati kuu CHADEMA kuwavua uanachama...
6 Reactions
329 Replies
48K Views
Kila mtu anayeingia anatambua wageni. Mgeni mmoja anatambuliwa hata na wazungumzaji watano. Huu ni ujinga
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa Samia ni kosa la jinai kutamka kwa namna yeyote eti Rais alikosea na hii ni kwa SABABU RAIS HUWA HAKOSEI. Muktadha wangu ni upi hapa; Kwanza ni wakosefu wa adabu wale wote wanao...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…