swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,251
- 1,467
Ili mwajiri aongeze mshahara lazima kwanza atambue hasara atakayoipata kwa kumkosa huyo mwajiriwa baada ya kuona nguvu ya kudaiwa.never expect simpo things.
Hapa Tanzania viongozi tayari wana mentality kwamba watumishi wa umma hawana ujasiri wa kusimama na kudai haki zao.watumishi wamekaa miaka 7 bila nyongeza wa la madaraja kupanda kwa taratibu wa kisheria walikaa kimya,unategemea rais asukumwe na kipi kuongeza mishahara! Nothing.Vyama vya wafanyakazi vyote vimeshakuwa sehemu ya serikali na unafiki kwenye vyama umekitjiri.mfano kiongozi wa CWT ni mtu mwenye interest ya kuwa mbunge kupitia ccm na anategemea hisani ya Mwenyekiti wa chama kupata nafasi hiyo unategemea atakuwa na nguvu gani inayomsukuma kusimamia waalimu kudai haki zao?nosense.
Tucta kama shirikisho ndo usiseme.viongozi wengi pia wa vyama hivi vya wafanyakazi wana matumizi ya hovyo ya pesa za vyama hivyo kuepuka nongwa na kuhatarisha nyadhifa zao wameamua kuwa vipenzi wa viongozi wakuu wa serikali kama vile kusaporti miradi ya serikali ili wasiguswe,je utegemee waitikise serikali?foolish.
Mfano tu,katibu wa chama cha waalimu CWT alitumia vibaya pesa kwa kwenda kuangalia kombe LA dunia ulaya kwa fedha za wanachama,baada ya Takukuru kuanza kushughulikia kashfa hiyo alitangaza akiwa mbeya kuwa cwt watachangia mifiko 500 ya saruji kila mwezi kusapoti miradi ya serikali na skendo mahakamani blabla ndo zinaendelea,hapa waalimu wategemeee nguvu ya kudai chochote?only crazy and numb can trust.
Tatizo kuu LA watumishi kukosa maslahi bora ni udhaifu wa vyama vyao wala siyo serikali.Tunakumbuka Sereka la migomo ya madaktari kipindi cha nyuma na waalimu enzi za mkapa ma jk,serikali ilikuwa inaheshimu mapendekezo yao,CWT chini ya akina Gratian Mkoba ilikuwa tishio na hao ndiyo alama ya aina ya viongozi wa vyama vya wafanyakazi wanaoweza kutimiza maono ya wafanyakazi kama waalimu.
Rais kutokutangaza kiwango cha nyongeza ya mishahara ni wazi hana kile ambacho watumishi wanakitarajia baada ya kukwama kwa miaka 7 na ushee, na kwa sababu anajua hakuna msukumo wa vyama wala watumishi wenyewe,anajua chochote watakachokutana nacho hawana LA kumfanya.
Kuna wanaosema oooh akitaja vitu vitapanda bei! Haya ni mawazo ya kijinga na mfu.Kwani mishahara ni siri tena?je bei zilivyopanda kwa sasa kuna mishahara mipya iliyokuwa imeahidiwa!hakuna.Je wafanyabiashara ni akina nani si ndiyo hao ambao mama kasema wanaenda "Kupiga hesabu". Je tunafahamu kuwa Mabenki huwa ni wa kwanza kujua ongezeko lolote LA mishahara kabla hata ya walengwa wenyewe? Uhayawani.
Kitendo cha watumishi kujifanya sehemu ya serikali na kwa sehemu ya udhalimu hususani kupitia usimamizi wa Upigaji kura,kitendo hiki kinaipa nguvu serikali kuwadharau na kufanya lolote like.
Ombi langu watumishi,Subirini msimamie sensa mpate hizo posho maana serikali inajua ndio vilio vyenu.
Wasalaaam.