Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,597
- 46,224
Sakata linaloendelea la Msigwa kuwa tofauti na wenzake ndani ya CHADEMA lina kila dalali yuko njiani kubwaga manyanga na kujiunga kwenye orodha hii ndefu;
1.Dr. Slaa
2.Davidi Kafulila
3.Mwita Waitara
4.Julius Mtatiro
5.Vincent Mashinji
5.Joshua Nassari
6.Halima Mdee na wenzake 19
7.Petrobus Katambi
8.Pauline Gekul
9.Profesa Abdallah Safari
10.David Silinde
11.Kalist Lazaro
12.Abdallah Mtolea
13.Cecil Mwambe
14.Julius Kalanga
15.Godwin Molel
16.Kitila Mkumbo
18.Anna Mghuwira
19.Maulid Mtulia
20.James Ole Millya
21....
22..
Hawa ni baadhi tu ya waliokuwa wapinzani waandamizi kwenye vyama vya upinzani au bungeni, machachari na wajenga hoja wazuri haswa lakini mwishowe walitandika daruga kusaka fursa upande wa pili. Hii ni kuanzia 2016 mpaka mwaka huu tu.
Siasa za upinzani kwenye nchi hii nzuri ni ngumu, chungu na zenye maslahi kiduchu sana kwa walio mstari wa mbele. Zinahitaji moyo mkuu kudumu nazo, wachache historia itawakumbuka nazo.