Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza kabisa siwezi kubeza mchango mkubwa wa Mwalimu Nyerere kwa Taifa letu,,ikiwa ni pamoja na kupigania uhuru yeye pamoja na wazalendo wengine pamoja na kutuunganisha Watanzania pamoja. Lakini...
0 Reactions
4 Replies
45 Views
Mvua kubwa na mafuriko yanapotishia jamii zetu, hatari kubwa zaidi haitokani na maji yanayofurika pekee, bali na kuongezeka kwa mamlaka ya kiutawala yasiyo na mipaka. Nchini Tanzania, janga la...
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Ili niliwai liandika sana na kuandika sana, lakini nikaonekanika ni kibwengo tu nisiyejielewa, nilidhiakiwa sana na kubezwa Kitendo cha kuunganisha siku ya kumbukizi ya kifo cha Hayati mwalimu...
0 Reactions
0 Replies
30 Views
Ndugu zangu Watanzania, Tunaposema CCM itaendelea kuongoza Taifa letu hadi Mwisho wa Dunia tunakuwa tunamaanisha na wala hatutanii wala kukufuru . Hii ni kutokana na kuwa na Rasilimali watu wa...
3 Reactions
42 Replies
659 Views
Wananchi wa Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam wamehamasishana kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwa Tume ya Uchunguzi wa vurugu na uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu wa...
0 Reactions
5 Replies
79 Views
Shalooom Makamanda!!!! Jeshi la Polisi likiwa katika majukumu yake ya kawaida limeweza kuwakamata wahalifu jijini Arusha , Taarifa zinazotufikia hivi punde zinasema kuwa gari la Kanda ya Kaskazini...
0 Reactions
6 Replies
113 Views
Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE. Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu! Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa...
27 Reactions
123 Replies
2K Views
Happy nyerere day wakuu. Nimemuimba sana tangu vidudu sina shaka na mema yake KOSA KUBWA alilolifanya babu yetu ni kuipenda AFRICA kuliko TANGANYIKA Alikuwa tayar yeye na tanganyika yake...
1 Reactions
6 Replies
62 Views
Sina tabia ya kuposti sijui niko wapi, niko wapi, niko wapi... Sina tabia hiyo. Lakini hapa kilichonifanya niposti hii ni hawa wenzetu bwana ukija especially Europe...Ukija Europe yaani kama wako...
16 Reactions
61 Replies
923 Views
Wanabodi, Kiukweli kitendo cha VP Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi kufutwa uanachama CCM, kimenipiga bonge la shock la mwaka na kunikata kabisa usingizi! ukijumlisha na kule kujiuzulu kwake, this is...
9 Reactions
15 Replies
411 Views
Nchi yetu Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye rasilimali nyingi na adimu sana Tanzania bado kuna ardhi kubwa yenye rutuba inayofaa kwa kilimo, kuna mbuga za wanyama, madini mbalimbali...
1 Reactions
12 Replies
97 Views
Ngoja nikwambie kitu kimoja kuhusu kesi hii. Ukiisikiliza kwa juu juu, unaweza kudhani mjadala mkubwa ni kwamba Lissu alisema maneno gani na aliyamaanisha nini. Lakini ukiingia ndani ya sheria...
1 Reactions
22 Replies
275 Views
Wasalaam Jf. Record hii ya David Kafulila inanivutia kuwa mchumi, Akimkaribisha Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Ubia Tanzania, Bwana David Zacharia Kafulila, mchumi mahiri Dkt. Bravios Kaihoza...
8 Reactions
52 Replies
1K Views
  • Featured
Mkuu wa Mkoa Mstaafu wa Kigoma na Mtwara, Kanali Mstaafu Joseph Leon Simbakalia, amesisitiza kuwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) halijajiingiza kwenye siasa, bali linaendelea...
9 Reactions
48 Replies
1K Views
Vital Kamerhe, rais wa zamani wa Bunge la Taifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), amekosoa hatua ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila, kuongoza kundi jipya la kisiasa na kijeshi...
1 Reactions
2 Replies
40 Views
Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana. Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali...
13 Reactions
54 Replies
671 Views
Dar tuna zaidi ya Wilaya tano, tunawakazi takribani 8m. Huduma zinapaswa kuwa karibu na Wateja,sio Mbali na Wateja,ili kuwarahisishia maisha. Kila wilaya ingetenga eneo la stendi na wenye Mabasi...
1 Reactions
3 Replies
49 Views
  • Redirect
Baada ya hukumu ya Lissu kutolewa tu hiyo November 6 wanannchi watafanya vurugu kubwa ambazo hazijawahi kutokea hapa Afrika. Kila kona ya Tanzania wananchi wana hamu ya kujua hatima ya taifa lao...
2 Reactions
– Replies
– Views
Ngoja ninyamaze. Kuna maneno ameyatamka si rafiki kwa WENYE NCHI, CARTEL AMBAYO INAONGOZA TANGANYIKA.
6 Reactions
33 Replies
362 Views
YAH: OMBI RASMI LA KUMUOMBA MAKAMU WA RAIS KUTEMBELEA WILAYA YA CHUNYA ILI KUJIONEA CHANGAMOTO ZA UMEME ZINAZOWAKABILI WANANCHI NA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU. YAH: UWEPO WA WILAYA YA CHUNYA...
0 Reactions
2 Replies
65 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…