"Tume pia ilipokea ushahidi kutoka baadhi ya mashahidi waliodai kwamba polisi ilitumia nguvu katika kudhibiti ghasia kama ifuatavyo:
Tarehe 30 Oktoba 2020, mkazi wa Mombo, Songwe, anasema kwamba...
Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi...
1. Samia hakutoa amri kuamuru mauaji ya raia na wananchi- Hii itasemwa ili kujaribu kumsafisha Samia kwenye jumuiya ya Kimataifa na kujaribu kumuepusha na kikombe cha ICC.
2. Wakuu wa Majeshi ya...
Hicho ndicho kilichozuia machafuko zaidi! Bunduki haijawahi, haitawahi na haiwezi kumzuia mwanadamu anayetaka kujinasua kwenye uovu wa mtesi. Jeshi la wananchi lilitumia mbinu ya ulaghai...
Yaani baada ya kushugulikia kiini hasa ya maandamano tarehe 29 report imejikita kumsafisha muuji Samuya.kwa sababu mmekataa kushugulikia kiini cha matatizo basi jiandaeni zaidi .This is Nonsense
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume imewasilisha mapendekezo mbalimbali ya muda mfupi, wa kati na mrefu, huku akisisitiza kuwa hakuna pendekezo lolote linalopendekeza...
Vilevile mashahidi walioshiriki kufanya ghasia waliokuja mbele ya tume na kukiri kuwa baadhi yao walipewa simu maalum za mkononi na kupewa kazi ya kupiga picha na video za matukio.
kama vile...
Ni vema jambo hili likaeleweka vizuri na kila mmoja wetu, kwamba kinachosubiriwa n.a. Wananchi siyo ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Chande, Hii Tume ilishakataliwa kote Tanzania, Kinachosubiriwa ni...
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema ni maoni ya Tume kwamba ni muhimu Katiba Mpya ipatikane ifikapo mwaka 2028 ili iweze kutumika katika uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa...
Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29...
Jaji Chande amesema kuwa tume imebaini kuwa kuhusu maridhiano na katiba mpya, tume imebaini kuwa matukio ya Oktoba 29 pamoja na changamo vimesababisha nyufa na majeraha kwa taifa hivyo maridhiano...