Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bi Khadija alimfundisha Mh. Rais Hesabu na Kiingereza alipokuwa form two/three. Je, huyu Mwl Khadija alisomea combination gani mpaka akaja kufundisha Hesabu na Kiingereza?
5 Reactions
47 Replies
5K Views
Ukikaa na kusikiliza watu unaweza kufikiri Tanzania ilisimama kwa miaka 5 na hakuna kilichofanyika lakini uchumi unaongea tofauti. Bank ya crdb imetoa taarifa ya faida kwa miaka 5 iliyopita...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
Tuwe na subira Mambo mazuri huja taratibu.
7 Reactions
67 Replies
5K Views
Ni AIBU kwa walikuwa Wanachochea UHASAMA na CHUKI kwa WATANZANIA kupitia CCM na CHADEMA. Hakika RAIS SAMIA na Mh. MBOWE "LEGACY" ya Kutafuta MARIDHIANO itakumbukwa na VIZAZI Vilivyopo na VIJAVYO...
3 Reactions
7 Replies
857 Views
Vijana wa Mbatia wapo vizuri kabisa.
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwanini watu hawasemi ukweli kuwa Samia hakubaliki Bali wanapiga propaganda tu? Kuanzia masokoni, vijiwe vya kahawa,mitaani ,maofisini mama hakubaliki ,shida ni nini jamani? Juzi tukiwa ofisini...
20 Reactions
168 Replies
8K Views
Mbunge Neema Lugangira amesema mchakato wa Anuani za Makazi unaleta changamoto kubwa ya Usalama wa Taarifa Binafsi za Watu, akitoa wito wa kuharakishwa kwa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi...
1 Reactions
3 Replies
975 Views
Mkuu wa nchi baada ya kuona watanzania wanamashaka namna royal tour ilivyodhaminiwa aliahidi kuwataja hadharani waliochanga na namna michango ilivyochangwa. Sasa hivi naona watanzania...
4 Reactions
7 Replies
890 Views
Kwako Mhe Raisi Naomba mswada upelekwe bungeni ili sheria itungwe kuwapa nafasi watanzania wapige kura ya maoni kwenye Ile rasimu ya katiba iliyoletwa na Jaji warioba. Hakuna sababu ya kupoteza...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Anaweza kubezwa leo kwa anachofanya lakini akakubwa kesho na kiongozi bora hafanyi kwa ajili ya leo tu anafanya kwa ajili ya kesho. Baadhi ya nukuu na hotuba za Mwalimu Nyerere bado zinaishi mpaka...
1 Reactions
3 Replies
719 Views
Nilipomuona komredi Kinana tu kwenye kile kikao nikajua Chadema keisha habari yao. Vikao kama vile bila Tundu Lissu ni sawa na Ufipa kutwanga maji kwenye kinu. Mungu ni mwema!
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Nasikia watafunguka mengi. Na hawa ndio wataweka mambo hadharani 👇 1. Job Ndugai huyu atafunguka mengi maana inasadikika namna alivyog'olewa ni sababu alitaka kuleta kauzibe kwa wapiga madili...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu, Leo wakati rais Magufuli akipokea ripoti ya Uchunguzi wa Madini ya Tanzanite na Almasi uliofanywa na Bunge, ameataka wateule wake wote waliotajwa kwenye hiyo report wakae...
1 Reactions
43 Replies
14K Views
UVCCM_ TAIFA MEI 22, 2022 PICHA NA MATUKIO. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN akizungumza na Mjumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa...
2 Reactions
2 Replies
644 Views
Katibu mkuu wa CCM amesema chama chake kitawachunguza wakuu wa mikoa na wilaya kwa vitendo vyao vya kukaa kimya bila kuisifia awamu ya 6 kama walivyofanya wakati wa utawala wa hayati magufuli wa...
1 Reactions
11 Replies
873 Views
Kama mtu.anaweza.kudeliver kwanini asiteuliwe? Umri ni namba tu Vijana akina Sabaya, Nassari, Makonda, Silinde, Kigwangalla, Waitara, Katambi nk.... nk wamewahi kufanya maajabu gani? Hapa Jf...
0 Reactions
8 Replies
695 Views
Tunasikia tu maridhiano lakini hatuambiwi juu ya mfarakano uliopo? Huyu mwanasheria mkuu wa Serikali anahusika vipi?
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Huyu Bwana ameandika tweets kadhaa kuhusu hiyo kampuni ya kichina na namna wanavyopewa tender huku akionyesha kumtilia mashaka/ kumshangaa waziri Mwigulu. Binafsi sisemi mengi hapa ila natoa with...
22 Reactions
51 Replies
4K Views
Nashauri upatikanaji wa Wabunge wa EALA Tz tuzingatie umakini, haki na weledi. Tukiendekeza tabia za wajumbe tumepata hasara. Sasa hivi desturi ya dunia hii ni kunyang'anyana fursa. Kama...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
CAG mstaafu mh Uttoh amesema hakuna shirika la ndege lolote duniani lililowahi kupata faida katika miaka ya mwanzo ya operations zake. Kuhusu gawio mh Uttoh amesema dividend hutolewa baada ya...
43 Reactions
261 Replies
19K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…