Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tulishuhudia mkuu wa mkoa wa Dar Bw. Amos Makala alipoapishwa tu alitoka mbio mbio kwenda kutangaza oparation ya kuondoa machinga na ombaomba wote ili jiji lirudi kwenye hadhi yake ya usafi...
12 Reactions
63 Replies
6K Views
Hii ndio taarifa mpya iliyosambazwa na Chama hicho duniani kote . Kwamba Jumamosi Tarehe 28/05/2022 kuanzia saa 5 Asubuhi chama hicho kitakuwa na maelezo mazito mno kwa Waandishi wa Habari...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Jamani mnajuwa tunaweza kufunga macho nakuwa watu tunapenda kutukuza viongozi nakudharau uhalisia wa uku chini kwa kuwa na agenda binafsi ambayo mwisho wake waweza kuwa mbaya kwa chama na taifa...
26 Reactions
137 Replies
7K Views
Spika Tulia Ackson amesema wabunge wote wana hadhi sawa na hakuna mbunge wa ajabu, ametolea mfano Msukuma ameshawahi kuchangia kuhusu bangi na hakuna mtu aliyemuita mbunge wa ajabu na kudai...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi. Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Wengi wetu tunajua harakati za kila aina zinazofanywa na baadhi ya watu kumdhihaki JPM. Nimeamini bila shaka kwamba JPM alikuwa moto wa kuotea mbali. Ebu fikiri, watu wazima walio hai wanaunda...
19 Reactions
43 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Leo Julai, 7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwasili mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili katika maeneo ya Msamvu...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Tasnia ya Habari imeonekana kama moja ya muhimili wa serikali hata hivyo tasnia ya habari imeonekana kupoteza uwezo wake wa kuibua mambo na kuleta uwajibikaji kwa mihimili mingine ya serikali...
1 Reactions
0 Replies
564 Views
Waziri wa Habari Nape Nnauye akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi 2022/23 Laini za simu Aprili, 2021 - laini 52,965,816 Aprili, 2022 - Laini 55,365,239 Sawa na ongezeko la...
4 Reactions
8 Replies
4K Views
Katibu Mkuu Wizara Ya Afya Prof. Abel Makubi Ametoa Wito Kwa Wananchi Kuachana Na Mila Na Desturi Potofu Kuhusu Hedhi Na Kusisitiza Juu Ya Upatikanaji Wa Huduma Na Vifaa Vya Kujihifadhi Hasa Taulo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna habari zimeenea kuwa kuna kiongozi mmoja mkubwa wa upinzani nchini Tanzania amenunuliwa aende CCM. Kwa kuangalia upepo wa mambo namuona mpare ndugu JAMES MBATIA aliyekuwa NCCR Mageuzi. Japo...
5 Reactions
133 Replies
22K Views
Hoja ya mbunge wa viti Maalumu Halima Mdee kuhusu Sh10 bilioni imeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii wengi wakihoji alipata wapi kiasi hicho. Hata hivyo jana Mdee alizungumzia jambo hilo...
4 Reactions
48 Replies
4K Views
Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia. Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa...
5 Reactions
63 Replies
4K Views
Mheshimiwa huu ujumbe unakuhusu ni jambo jema sana kama umefanikiwa kuupitia hapa nq kuusoma. 1. Wasaidizi wako wanakuhadaa Kinachofanyika sasa ni propaganda kwamba unakubalika na unapendwa...
19 Reactions
77 Replies
4K Views
Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wilayani Arusha imemkosoa mbunge wa jimbo hilo, Mrisho Gambo kumtuhumu hadharani Katibu mkuu wao, Kenani Kihongosi kujihusisha na vitendo vya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hakika hakuna marefu yasiyo na ncha. WanaCHADEMA tumefanyiwa vitimbi vingi sana ukiwemo kunyanyaswa. Tazameni na msikilize tunapigwa marufuku kuingia majumbani mwetu dsm na wenye mamlaka...
10 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa Sasa Kenani Kihongosi ndio kiongozi wa juu wa UVCCM kulingana na sera ya CCM ya mtu mmoja cheo kimoja kwa kuwa aliyekuwa Mwenyekiti kwa Sasa ni DC na Makamu Mwenyekiti ni waziri wa SMZ hivyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa sasa Arusha imepata mbunge sahihi wa kuwasemea. God bless.Lema alipokuwa waziri wa mambo ya ndani ( kivuli) alikuwa bubu kabisa kwenye ufisadi wa Arusha. Sijui aliogopa nini!!
0 Reactions
1 Replies
398 Views
Buriani Mrisho Gambo! Hiyo ndio kauli pekee inayomstahili Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo. Baada ya "kukusoma" upepo wa SSH kwamba 2025 hakuna mbeleko, ameanza kutapatapa na kumlaumu Kila...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Mbunge wa viti maalumu asiyefungamana na upande wowote Halima Mdee amesema kwa mujibu wa ripoti ya BoT ya February 2021 deni la taifa limefikia Tsh. 71 trillion. Hi maana yake ni kama kila...
12 Reactions
151 Replies
61K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…