CHADEMA tumetoka mbali sana

CHADEMA tumetoka mbali sana

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,228
Reaction score
98,188
Hakika hakuna marefu yasiyo na ncha.

WanaCHADEMA tumefanyiwa vitimbi vingi sana ukiwemo kunyanyaswa.

Tazameni na msikilize tunapigwa marufuku kuingia majumbani mwetu dsm na wenye mamlaka.

Nimeamini hakuna anaye ijua kesho yake.

 
Back
Top Bottom