Mrisho Gambo, anza ziara ya kuaga wana Arusha, hakuna namna 2025 utarudi katika Ubunge

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,636
19,861
Buriani Mrisho Gambo!

Hiyo ndio kauli pekee inayomstahili Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo.

Baada ya "kukusoma" upepo wa SSH kwamba 2025 hakuna mbeleko, ameanza kutapatapa na kumlaumu Kila anayemuona mbele yake.

Sasa analaumu hata maafisa wa chama ambao walikesha usiku na mchana kumpigia "debe". Kwa maneno mengine, Gambo amekitukana chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha.

Namshauri aanze ziara ya kuaga, na Arusha inamtakia Kila la kheri huko aendako.
 
gambo sura ya mwisho, mnaagia wapi?
 
Gambo atashinda kwa kishindo Arusha...Hakuna wa kumtoa kwenye ubunge
 
Mrisho Gambo hata afanye miujiza gani hawezi kurudia ubunge wa Arusha mjini. Kile kiti ni cha Godbless Lema. Mtakuja kuniambia. Uchaguzi wa 2020 haukuwa uchaguzi wa haki. Hata kule Momba yule jamaa liyepata kura 5 na baadaye akaja kuwa Mbunge naye aanze kuaga.
 
Buriani Mrisho Gambo!

Hiyo ndio kauli pekee inayomstahili Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo.

Baada ya "kukusoma" upepo wa SSH kwamba 2025 hakuna mbeleko, ameanza kutapatapa na kumlaumu Kila anayemuona mbele yake.

Sasa analaumu hata maafisa wa chama ambao walikesha usiku na mchana kumpigia "debe". Kwa maneno mengine, Gambo amekitukana chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha.

Namshauri aanze ziara ya kuaga, na Arusha inamtakia Kila la kheri huko aendako.
Hakuna na bado ajatokea bado wa kumtoa mrisho gambo Arusha nyie endeleeni kupiga kelele Mrisho tunaye mpaka 2030
 
Ugomvi uliopo ni nichimbe nikuchimbe

nikose ubunge nawe ukose Ukatibu wa UV CCM

Pambano la Mvuta bhangi na Mbongo fleva
 
Gambo atapoteza pambano, ni rahisi kumdhoofisha Gambo kwa kuwa yeye anategemea kura, Katibu hategemei kura
 
Buriani Mrisho Gambo!

Hiyo ndio kauli pekee inayomstahili Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo.

Baada ya "kukusoma" upepo wa SSH kwamba 2025 hakuna mbeleko, ameanza kutapatapa na kumlaumu Kila anayemuona mbele yake.

Sasa analaumu hata maafisa wa chama ambao walikesha usiku na mchana kumpigia "debe". Kwa maneno mengine, Gambo amekitukana chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha.

Namshauri aanze ziara ya kuaga, na Arusha inamtakia Kila la kheri huko aendako.
Mtu mwenyewe amekuja Arusha akiwa mkubwa
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom