Nawasalimu kwa jina la JMT.
Mwaka mmja wa Rais SSH madarakani,wakala wa barabarani za Vijijini na Mijini Tarura imeendelea kuleta mageuzi makubwa ya barabara za Vijijini na Mijini kwa kufungua...
SHAKA AWASHA RASMI MTAMBO WA KUSAMBAZA MAJI PAMOJA NA KUSHIRIKI UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI YA WASICHANA .
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka...
Twende moja kwa moja kwenye mada.
Toka nimeanza kufuatilia ripoti za CAG anazowasilisha kwa Rais, Bunge na Waandishi imekuwa ikiibua uozo na uzembe wa Serikali mwaka hadi mwaka.
Cha kushangaza...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Viongozi wa Wizara za Nishati naadini nendeni Botswana mkajifunze mbinu wanazotumia wenzetu kunufaika na Rasilimali za madini walizonazo ikiwemo Makaa ya Mawe..
Ili...
Msikilizeni jamani huyu kada wa Nccr Mageuzi anavyolalama.
VIDEO:
Katibu Mkuu NCCR Mageuzi Bi. Martha Chiomba akieleza namna alivyotukanwa na kudhalilishwa na wanaoitwa 'Makada wa NCCR Mageuzi'...
Perdiem.
Tsh
250k , 220k,170k,150k
kwa Jiji
200k,180k,150,130k
kwa Manispaa
130k,120k,100k, 80k
kwa Halmashauri
Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine...
Nchi kama Tanzania inayoendesha budget yake kwa kiwango kikubwa kwa misaada na mikopo, elimu na teknolojia viko chini sana pia huduma zingine bado ni duni kweli inaweza kukusanya watumishi wa umma...
Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani.
Ni upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili.
Watu ni walewale, nchi...
Hao ndio wale wabunge walioteuliwa na Magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba.
Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao...
Benki ya Dunia imeipa Serikali ya Tanzania trilioni 1.2 kwaajili ya tabia nchi, barabara na viwanja vya ndege.
Nadhani sasa ni muda wa kuondoa tozo au kuambiwa siku ya ukomo.
Kiuchumi mkopo...
Siasa za wapinzani ni illusion tupu!
Zimejaa zaidi mambo ya kufikirika yanayozidi uwezo wa utendaji wao.
Utasikia "mwaka huu tunachukua nchi saa nne asubuhi" ilihali wakijua fika aina ya tume na...
"Siasa Ina sura Nyingi, Vijana Tubadilike Tuwe Watu Wa Logic Tukashinde Mihemko Yetu." -ntigahela, Mwanaharakati Huru.
Vijana Tumekariri, Tunaendeshwa na Mihemko ya Kisiasa, Yaani Tunaamini Lugha...
Hakuna wananchi walioituma CHADEMA kudai Katiba Mpya kwa niaba yao, nie kiherehere cha Ufipa tu
Katiba mpya itadaiwa na Wananchi wenyewe siyo vyama vya siasa
Mungu ni mwema wakati wote
Kumekuwepo na mijadala na majibizano mitandaoni kwamba kipi kianze kupatikana kati ya Katiba Mpya na tume huru ya uchaguzi.
Chama cha Chadema wao wanataka katiba mpya wakiamini ndio mwarobani wa...
Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima.
Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za...
Zitto Kabwe pamoja na kumtosa mgombea wa chama chake na kuhamia kwa mgombea wa Chadema lakini Tundu Lissu bado aliambulia 13% tu ya kura zote.
Magufuli ambaye alifanya kampeni kwenye mikoa...
Dar es Saaam. Wakati wadau mbalimbali hapa nchini wakitaka watumishi wa umma wanaohusika na ubadhirifu wawajibishwe, Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema...
Moja kwa moja kwenye mada..
Watumishi wa Umma tunasema hivi, Kwa kuwa mama ametuheshimisha kwa kutulipia malimbikizo yetu, kutupandisha madaraja, kupunguza Kodi na Sasa atatupandishia mishahara...
Kila nikitazama jinsi abiria wa mataifa mbalimbali wakisafiri na boat za Azam na pia boat za Zanzibar one na mahali ambapo abiria wanapumzika kusubiria safari kwakweli hapaleti picha nzuri yaani...